Phone4Sale Nauza Simu Tecno Camon 18i

mysteryman99

Member
Sep 15, 2015
5
4
Nauza simu yangu aina ya Tecno Camon 18i, ina Ram 4GB, ROM 128GB, ina support 4G, Camera 48MP ya nyuma, na mbele ni 8MP, battery yake ina ukubwa wa 5000mAh, ina glass protector, box yake ipo kama utahitaji, nimeitumia miezi miwili tu, bado iko kwenye hali nzuri, haina scratches wala crack yeyote.

Bei ni 280,000/=

Kwa mawasiliano, namba yangu ni 0678794479
 

Attachments

  • tecno camon 18i 3.jpg
    tecno camon 18i 3.jpg
    111.1 KB · Views: 14
  • camon 18i 2.jpg
    camon 18i 2.jpg
    29.8 KB · Views: 11
  • camon 18i.jpg
    camon 18i.jpg
    74.3 KB · Views: 12

Similar Discussions

Back
Top Bottom