Samaki waliosindikwa kisasa (Sanilado Universal Technology)

Oct 27, 2017
92
94
Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania.

Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba kusindikwa. Samaki Hawa huweza kaa siku nyingi pasi haribika Wala kupoteza Radha.

Machine yetu huweza kusindika pia nyanya, vitunguu, kuoka mikate, kusindika mwani, kusindika viazi na mengineyo. Kuna machine ambazo Ni self controlled(automatic) na ambazo Ni manual controlled. Tunatoa huduma ya utengenezaji wa machine hizo pia.

Tunapatikana Geita.
Kwa mahitaji ya samaki hao waweza wasiliana nasi, kwa wakazi wa mbeya samaki hupatikani kila jumamosi na jumatano. Tunasindika zaidi ya kg 150 kwa awamu moja.

Karibuni sana.
Pia waweza leta samaki wako tukakusindikia pia.
Sanilado Universal Technology
We are the future
 
Attachments

  • IMG_20220518_120256_8.jpg
    IMG_20220518_120256_8.jpg
    864.1 KB · Views: 13
  • IMG_20220518_120317_9.jpg
    IMG_20220518_120317_9.jpg
    730.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220703-214020.png
    Screenshot_20220703-214020.png
    304.1 KB · Views: 13
1. NIKITAKA MASHINE NI BEI GANI?

2. JE USINDIKAJI WENU NI TOFAUTI NA WA VIWANDA VYA SAMAKI WA KUGANDISHA KWA MAFRIJI?

3. FAFANUA KIDOGO HIYO TECHNOLOJIA NA BAADA YA KUSINDIKA SAMAKI ANAKUA FRESH KWA MUDA GANI NA JE NI SAMAKI WABICHI AU SALIOKAANGWA?
 
1.Asante Sana mkuu, machine zinatofautiana Bei kulingana na ukubwa wa machine na matakwa ya mteja ama anataka full stainless au galvanized.
200kg capacity galvanized full automatic ni 3 million lakini ambayo sio automatic Ni 2.5million. zipo za Bei juu ya hapo na chini ya hapo pia.
2. Usindikaji wetu Ni tofauti ndio sisi tunakausha kwa kutumia umeme na gas katika joto ambalo linakuwa controlled. Wakisha kauka hukaa muda mrefu zaidi ya mwezi pasi haribika na mteja akitaka samaki wa kukaa zaidi ya mwaka mmoja pia inawezekana ilimradi asiwaweke kwenye maji ama unyevunyevu.
3. Samaki unaowaona hapo kwnye picha hawaja kaangwa Wala kuwekewa mafuta Bali wamekaushwa kwa kutumia huwa moto ambayo ipo controlled. Samaki hao hawapotezi Radha yake hata wakikaa muda mrefu ili mradi tu wasimwagiwe maji.
 
🙏🙏 Sasa mbona umeenda kuweka kambi Geita ukaacha Kagera, Mara na Mwanza wanakolimwa na kuuzwa samaki?
 
hapa namm najiuliza
Asante Sana mkuu: niliamua kuweka kambia Geita kwasababu Kuna samaki wanatokea nkome,chato, senga hivyo Bei ya samaki ipo chini ukilinganisha na mwanza. Kwenye mpango kazi niliona Ni vyema kuanzia geita na machine ya Kwanza ipo geita vijijini. Lengo kubwa Ni kuifikia jamii kubwa ya watanzania mkoa wa mara,bukoba, mwanza, kigoma vyote vipo kwenye plan lakini huwezi kuanza pote kwa wakati mmoja ila ndani ya muda mfupi tutafika huko.
Asante Sana kwa ushauri wako
 
sawa bosi nimekuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom