team

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania CDM hawataruhusu aina ya Magufuli waingie madarakani, bora waunge mkono timu SSH. Sawa kwa CCM asili pia, ni mchezo mgumu kucheza!

    Yaani Chadema Bora muwaue kuliko team Magu warudi madarakani, na Bora CCM asili muwaue kuliko wakubali team MAGU warudi madarakani. Hard cards to play
  2. Shark

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karim Benzema astaafu Timu ya Taifa

    Karim Benzema has announced his retirement from international football on his 35th birthday, just a day after France suffered a heartbreaking penalty shootout defeat to Argentina in the World Cup final on Sunday. The 2022 Ballon d'Or winner missed the tournament in Qatar with a thigh injury and...
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa huu ukaribu wa Ronaldo na Mbappe na Mwamuzi Mreno kuihukumu fainali Jumapili, mashabiki wa Argentina tuna hofu

    Haiwezekani Mchezaji Christiano Ronaldo Siku zote alikuwa hana Urafiki na Kylian Mbape na Timu ya Ufaransa leo hii amekuwa nae na kuwa nao bega kwa bega. Haiwezekani FIFA wanajua fika kuwa Wareno kwa Upendo walionao kwa Ndugu yao Christiano Ronaldo Wanamchukia Mchezaji Lionel Messi halafu leo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Logo mpya kutoka mnyilinga team

    Sasa unaweza kujipatia logo kari sana kama hizi kwa bei nzuli kabisa na kwa muda lafiki karibu sana MLB (Mnyilinga logo bank ) 😁😁 Kwa mahitaji ya logo nichek DM tuongee kwa bei nzuri sana na kwa muda lafiki wa kufanya kazi yako .
  5. Palestine Will be free

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila la heri Morocco team

    Kila la heri Morocco team, wengine tupo nyuma yenu dhidi ya Portugal, wale maadui na wasiowapenda Morocco/waarabu haiwahusu mada hii. Kila la heri ndugu zetu Morocco, tupigieni hao ndugu zao brazili warudi nyumbani kwao haraka kama ilivyo kwa croatia jana wamemfukuzisha kocha wao tite, leo ni...
  6. Investaa

    JamiiForums Tanzania Team Buying(Group Buying)

    Habari wazee wa business. Kwenye kuzurura mtandaoni nimekutana na business idea ambayo inaweza kutumia ata hapa bongo na kufanya vizuri, nimegundua hili baada ya kwenda kkoo kununua vitenge vya jumla nakuona ambavyo sipat faida kubwa kama ningenunua kama team/group. Kuna winga uwaga namtumia...
  7. Page 94

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania England National Football Team (Three Lions), Special Thread

    Huu uzi ni mahususi kwa ajili ya matukio yote yanayoihusu timu ya mpira wa Miguu ya Uingereza. Timu hii inajulikana kwa jina la Utani la Three Lions, yaani Simba Watatu. Jina hili limechochewa zaidi na nembo ya timu hiyo yenye alama ya Simba watatu (tazama picha) Timu hii ipo chini ya...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ya Kenya kujirudia Tanzania Team Hustlers(Bashiru) vs team mabwenyenye

    Kiutani utani tu popularity ya Bashiru imeongezeka ghafla Sana yeye ni Team Hustlers anawapigania wanyonge wacha nao wanaowapigania mabwenyenye tuwaone wanaendeleaje
  9. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

    Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima. Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bila uchawa, kusema uongo, kuwa praise team member hutoboi

    Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake. Nasema inawezekana hili limemuondoa maana may be alitaka kusema ukweli badala ya utaratibu wa kusema uongo unaokubalika ndani ya CCM...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Field Project Team Assistant at UNIDO

    Requisition ID: 1056 Grade : SB2 – Local support Country: Tanzania, united republic of Duty Station : Dar-es-Salaam Category: Local Support Personnel Type of job Posting: Internal and External Employment Type: NonStaff-Regular Duration (tentative): 3 months Application deadline: 26-Sep-2022...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachokikwaza ni kuwa tu katika hili li team

    Chama ni mchezaji mzuri sana wala nisiwe mnafiq.... Ni bonge la mchezaji yaani huyu bwana kama unataka kujifunza kucheza mpira si vizuri kumwangalia. Anaweza kukudanganya ukaona mpira ni mchezo rahisi sana. Ukaamini hata wewe unaweza enda cheza kama anavyocheza. Chama si mchezaji wa kumwamini...
  13. ShL

    JamiiForums Tanzania Timu ipi ina Jersey nzuri msimu huu 2022/2023?

    Kati ya Simba, Yanga na Azam
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga day kupambwa na Red Arrows ya Zambia, Dar itatikisika

    Watu wakiambiwa Senzo ni genius wanabana pua na kuanza kutikisa masikio, yanga ya sasa ni mooto wa kuotea mbali kiuongozi nje na ndani ya uwanja, wakati itakapokuwa imetoka katika kambi ya kisasa huko morogoro kijijini matombo tarehe 6 machampion wa nchi watapata mechi ya kujipima nguvu na...
  15. ANT DRUGS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeumia sana kuona Mushimba Mugalu akibezwa na baadhi ya mashabiki

    Nimeumia sana kuona mchezaji (Mshambuliaji)wangu ndani ya kikosi changu cha Msimbazi KOPE MUSHIMBA MUGALU akibezwa na baadhi ya mashabiki wasiojielewa. Nani hajui mziki wa huyu jamaa? Nani hajui mchango wake kimataifa? Kwanini hamtaki kumpa hadhi yake huyu mkongomani? Bila shaka hiyo ni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

    Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri . Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:- 1. Rais Hussein Mwinyi 2. Bashiru Ally 3. Askofu...
  17. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Upendo wa Senzo akimtuliza Manara akiipigania timu yake

    Haya mambo ya watu kuheshimiana na kupendana hivi huwezi kuyakuta kwa makolo, manara wakati anayapigania makolo na kupiga marufuku washabiki wa yanga kuingia uwanjani mechi ya CAF Barbra alitoa statement ya klabu kupinga maamuzi yake, hawakumuunga hata mkono kwenye vita dhidi ya kitenge, Shafih...
  18. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshindo Msolla anatosha, kaipa timu (Yanga) mafanikio makubwa

    Team mwaka huu imechukua ubingwa chini ya Msolla na inaenda kuchukua ubingwa wa Afrika ama kwa hakika anatosha kabisa kuupata Urais wa klabu bora kwa viwango vya CAF eneo la Afrika Mashariki yaani the MIGHTY DAR YOUNG AFRICANS.. Kubabaika na wageni toka Somalia ni ukosefu wa akili, twende na...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Administration and Procurement Team Leader at WASSHA inc Tanzania

    1. JOB INFORMATION Organization: Division: Corporate WASSHA Inc. Tanzania Workstation: Dar es salaam Department: Number of applicants; 1 Administration Application email: hr@tz.wassha.com Job Title: Application dealdline:23rd May 2022 Procurement and administration Team...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga Names His 'Dream Team'

    Azimio La Umoja coalition leader Raila Odinga has announced a list of nominees who will be part of his Cabinet if he ascends into power in the August General Election. He was speaking on Monday at the Kenyatta International Conference Center (KICC) as he unveiled his presidential running mate...
Back
Top Bottom