team

  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

    Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima. Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bila uchawa, kusema uongo, kuwa praise team member hutoboi

    Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake. Nasema inawezekana hili limemuondoa maana may be alitaka kusema ukweli badala ya utaratibu wa kusema uongo unaokubalika ndani ya CCM...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Field Project Team Assistant at UNIDO

    Requisition ID: 1056 Grade : SB2 – Local support Country: Tanzania, united republic of Duty Station : Dar-es-Salaam Category: Local Support Personnel Type of job Posting: Internal and External Employment Type: NonStaff-Regular Duration (tentative): 3 months Application deadline: 26-Sep-2022...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kinachokikwaza ni kuwa tu katika hili li team

    Chama ni mchezaji mzuri sana wala nisiwe mnafiq.... Ni bonge la mchezaji yaani huyu bwana kama unataka kujifunza kucheza mpira si vizuri kumwangalia. Anaweza kukudanganya ukaona mpira ni mchezo rahisi sana. Ukaamini hata wewe unaweza enda cheza kama anavyocheza. Chama si mchezaji wa kumwamini...
  5. ShL

    JamiiForums Tanzania Timu ipi ina Jersey nzuri msimu huu 2022/2023?

    Kati ya Simba, Yanga na Azam
  6. N

    JamiiForums Tanzania Yanga day kupambwa na Red Arrows ya Zambia, Dar itatikisika

    Watu wakiambiwa Senzo ni genius wanabana pua na kuanza kutikisa masikio, yanga ya sasa ni mooto wa kuotea mbali kiuongozi nje na ndani ya uwanja, wakati itakapokuwa imetoka katika kambi ya kisasa huko morogoro kijijini matombo tarehe 6 machampion wa nchi watapata mechi ya kujipima nguvu na...
  7. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana kuona Mushimba Mugalu akibezwa na baadhi ya mashabiki

    Nimeumia sana kuona mchezaji (Mshambuliaji)wangu ndani ya kikosi changu cha Msimbazi KOPE MUSHIMBA MUGALU akibezwa na baadhi ya mashabiki wasiojielewa. Nani hajui mziki wa huyu jamaa? Nani hajui mchango wake kimataifa? Kwanini hamtaki kumpa hadhi yake huyu mkongomani? Bila shaka hiyo ni...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

    Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri . Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:- 1. Rais Hussein Mwinyi 2. Bashiru Ally 3. Askofu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Video: Upendo wa Senzo akimtuliza Manara akiipigania timu yake

    Haya mambo ya watu kuheshimiana na kupendana hivi huwezi kuyakuta kwa makolo, manara wakati anayapigania makolo na kupiga marufuku washabiki wa yanga kuingia uwanjani mechi ya CAF Barbra alitoa statement ya klabu kupinga maamuzi yake, hawakumuunga hata mkono kwenye vita dhidi ya kitenge, Shafih...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mshindo Msolla anatosha, kaipa timu (Yanga) mafanikio makubwa

    Team mwaka huu imechukua ubingwa chini ya Msolla na inaenda kuchukua ubingwa wa Afrika ama kwa hakika anatosha kabisa kuupata Urais wa klabu bora kwa viwango vya CAF eneo la Afrika Mashariki yaani the MIGHTY DAR YOUNG AFRICANS.. Kubabaika na wageni toka Somalia ni ukosefu wa akili, twende na...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Administration and Procurement Team Leader at WASSHA inc Tanzania

    1. JOB INFORMATION Organization: Division: Corporate WASSHA Inc. Tanzania Workstation: Dar es salaam Department: Number of applicants; 1 Administration Application email: hr@tz.wassha.com Job Title: Application dealdline:23rd May 2022 Procurement and administration Team...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga Names His 'Dream Team'

    Azimio La Umoja coalition leader Raila Odinga has announced a list of nominees who will be part of his Cabinet if he ascends into power in the August General Election. He was speaking on Monday at the Kenyatta International Conference Center (KICC) as he unveiled his presidential running mate...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Team Member - Data Quality Assurance (multiple positions) based in Mwanza at ICAP

    Job no: 496272 Work type: Temporary Full-Time Location: Tanzania – Mwanza Categories: Strategic Information/Surveillance/Monitoring & Evaluation ICAP at Columbia University, a global health leader situated within the Columbia University Mailman School of Public Health in New York City, seeks...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Team Leader - Data Quality Assurance (multiple positions) at ICAP

    Job no: 496273 Work type: Temporary Full-Time Location: Tanzania – Mwanza Categories: Research ICAP at Columbia University, a global health leader situated within the Columbia University Mailman School of Public Health in New York City, seeks highly qualified candidates to serve as Team Leader...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Umoja Party chahusishwa na Team Magufuli

  16. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Caf confederation cup team of week

    Nimeifuma mahala
  17. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Simba SC wanatupa somo la mpira, kwamba uwanja wa nyumba ndio uwanja Sahihi wa Team kusonga mbele

    Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga. . Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani. . Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani. . Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Team Kiduku tunamtaka Mwakinyo tumchakaze

    Kabangu ameendelea na dharau kwamba Mwakinyo ndiyo bondia bora kwa Tanzania. Hata baada ya jana kumpa kichapo bado ameendelea na msimamo wake uleule. Sasa tunatoa tamko kama kweli Mwakinyo kidume atoe tamko yupo tayari. Sisi tupo tayari popote hata kama ni Mkwakwani tunakuja kumchakaza
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni team waungwana adui hawamuumizi wala hawamtesi, wanamvuta karibu na kummonita

    Mama ni muungwana na anafwata ushauri wa kikwete na jk alikuwa ni mtu muungwana. MFANO WA MWANDOSYA Wakati wa utawala wa jk MWANDOSYA alikuwa tishio sana na infact MWANDOSYA na JK walishazinguana miaka ya 90 wakati wa utawala wa mwinyi. Wakati huo JK alikuwa waziri wa nishati na MWANDOSYA...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Water Resources Management Team Lead (1 Position) at Tetra Tech International

    Water Resources Management Team Lead The Tanzania Maji na Usafi wa Mazingira (MUM) Activity funded by USAID/Tanzania and implemented by Tetra Tech International Development (International Development) is currently accepting expressions of interest for qualified candidates to fill various...
Back
Top Bottom