Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,496
215,347
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !

Mimi kifurushi kikiisha kuliko niangalie TBC naweka Dish 100, hata week mbili!
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Ingekuwa inaonesha idadi ya watu wanaoiangalia kwa muda flani nadhani wangeshaifunga, ila kwasababu inaendeshwa na kodi zetu inaendelea kurusha matangazo ya mrengo mmoja.
Eti TBC....Tanzania Broadcast my foot😬😬
 
Hakika
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Wewe umejuaje yote hayo kama huangalii TBC?

Hadi kipindi cha Mama ndege unakijua!!
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Katiba ya enzi za Adam and Eve 1977 inamkinga dhidi ya mashitaka yote
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Kamanda, hivi chama chetu kina mpango kweli wa kuanzisha angalau karedio ili iwe rahisi kuwasiliana na wananchi ambao ndo wapiga kura? Nauliza swali tu!
 
Yusuph Makamba and some CCM members,walifanya fitina sana kwa huyu mzee hadi kufutwa kazi TBC,pia walimpa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi,sijui kesi hii iliisha vipi!
Baba yake Februari ndiye aliyekuwa nyota wa hiyo filamu, hasa baada ya Tido kugomea kusitishwa kwa kile kipindi midahalo majimboni na wagombea urais kwenye ule uchaguzi, akiwa katibu mkuu wa chama.
 
42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom