Waliolipwa kumchafua TB Joshua BBC wafichuliwa

Concoo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
314
480
Wakati huu ambapo Shetani anajaribu kuingiza Agenda yake ya technologia ya kuingiziwa chip watu kwebye mapaji ya uso na mikononi (666) ili kufanya manunuzi kwanza anataka auchafue ukristo ambapo amemchafua Baba mkuwa wa imani ya Kinabii Prophet TB Joshua ili ukristo udharauliwe na kutukanwa ikiwa wale wote waliotestify wamelipwa.

Mmoja wa wanawake Sihle Sibisi ambaye aliwahi kumpaka kashfa Pastor Chris Oyakhilome ni mmoja wa waliopata tenda iyo ya kuigiza BBC na pia akiwepo yule mwenye jicho upande ambaye alitakaga kulazimisha kuolewa na TB Joshua.

Link ya Youtube ya Maongezi ya uto dada ya Jay Isarael SNR iyo hapa…
View: https://youtu.be/FYpSo94kdCU?si=FD-mSU-BVC7Rwzhy
91491A2A-5F9B-44CF-8D6F-045CB294B5C8.png
 
Mnaibiwa sadaka na hawa manabii na mitume feki.

Mnawapa cover kutajirika kwa kufanya biashara haramu na uhalifu kwa kivuli cha dini.

Wanafanya human trafficking, arms deals, drug deals na uhovyo hovyo mwingi kwa kivuli cha kanisa.

Huyo Joshua na masalia yake kina Mwamposa, Gwajima na matapeli wengine ni waabudu shetani, mashirikina, majizi na majambazi, shtuka mtanzania
 
Ukristo hautafutwa na awaye yote! Walikuwepo kina Farao, waliagiza hata Yesu auwawe lakini wapi

BBC wasipojirekebisha, hawana muda watapigwa na mkono wa Mungu
 
Binafsi mimi ni mkristo ambaye ninaamini katika Mungu na Yesu Kristo.

Sijajenga imani yangu kwa binadamu awaye yeyote, hivyo ninauhakika hata kama kiongozi wangu wa kiimani akifanya mambo ya hovyo bado hainiyumbishi kwa chochote maana sijajenga tumaini na msingi juu ya mwanadamu.

Ndani ya ukristo wapo watumishi wa kweli na wengine wa mchongo, sasa ikitokea umejenga tumaini kwa kiongozi wako halafu akawa wa mchongo, watu wakikusitua utawaona hamnazo kumbe wasemalo ni kweli.

Tukija kwa TB Joshua, huenda na yeye akawa na mambo ya giza au laa, maana ukweli wa mtu anaujua mwenyewe na Mungu wake.
 
Kwanza 666 sio cheap elewa hili.
666 ni mfumo wa uchumi wa Dunia ambao haukwepeki
 
Mnaibiwa sadaka na hawa manabii na mitume feki.
Mnawapa cover kutajirika kwa kufanya biashara haramu na uhalifu kwa kivuli cha dini...
Kwanini watu mnamtukuza sana shetani yani mnaamini kuwa ananguvu sana? Wakati shetani mwenyewe kuna baadhi ya malika waliohasi wanamshinda kwa nguvu wanmfuata sababu ya akili zake tuu
 
Binafsi mimi ni mkristo ambaye ninaamini katika Mungu na Yesu Kristo.

Sijajenga imani yangu kwa binadamu awaye yeyote, hivyo ninauhakika hata kama kiongozi wangu wa kiimani akifanya mambo ya hovyo bado hainiyumbishi kwa chochote maana sijajenga tumaini na msingi juu ya mwanadamu...
Tupo pamoja mkuu
Unawaza kama mimi
 
Back
Top Bottom