Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,817
- 4,566
Mwili wa TB Joshua unatarajiwa kuzikwa Mwezi huu, Nchini Nigeria
Kwa Mujibu wa ripoti kutoka Nchini Humo TB Joshua atapumzishwa kwenye Makazi yake ya Milele Siku ya Jumapili (julai 11, 2021).
Ikumbukwe TB Joshua alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 57 mwaka huu juni, 5 nchini humo.
Taratibu za mazishi zitaanza hii leo saa 12 jioni kwa saa za Nigeria na kuruka live kupitia runinga ya Kanisa hilo ambayo ni Emmanuel TV.
TB Joshua ndiye mwanzilishi wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (Scoan) na kituo cha televisheni cha Emmanuel TV ambacho amekuwa akikitumia katika mahubiri yake na kuwavutia watu wa mataifa mbalimbali.
PIA SOMA: