Nguvu ya Media: Aliyepaswa kuwa maarufu ni OYADEPO sio TB Joshua

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,586
15,369
Ukiteka vyombo vya habari umeteka dunia.

TB Joshua (hayati) alikuwa amkaribii kwa chochote Mzee Oyadepo.
Oyadepo ndio mchungaji Tajiri kuliko wote ulimwengini.

Amehamasisha watu wengi kuwa matajiri duniani. Ukisoma kitabu cha Oyadepo ukaja ukisoma cha TB ni sawa na kula Mua na kisha ukaletewa menyu ya miwa iliyotafunwa na kutolewa utamu.

Ndio Muafrika wa kwanza kuwa na makanisa hadi ulaya. Ukraine alikuwa na kanisa kubwa lenye waumini wazungu kibao wakati TB anaarika wazungu SCOAN na kuwapa coverage kubwa.

TB alikuwa bingwa wa kuaminisha kwa kutumia media. Hata alipofungiwa na serikali akafanya mchongo wa kuhamia kwenye Satellite broadcast hapo ndipo alipoteka soko kote duniani hasa Africa huku wanigeria wenzake wakibaki local.

Somo : Kuna nguvu katika Media, Ukiwa na kitu chako lakini hujitangazi utabaki kuonekana duni licha ya kuwa na uwezo mkubwa.

SOMO: Oyadepo na yeye anafundisha watu tufocus katika matokeo sio maneno. Oyadepo anamengi ya kufundisha kuliko.

Note: Oyadepo ndio mmiliki wa makanisa ya Winners.

Mnaomfahamu zaidi mtujuze na mambo ya kujifunza kutoka kwao ukiacha figisu zao visonzoni mwa sadaka.
 
Habari bila picha ni sawa na ushuzi bila harufu.
 
Umepotea kuwalinganisha watu wa Mungu kwa vingezo vya materials things na worldly possessions
Angalia their impact in the lives of people , soul winning, how many lives they have touched and changing spiritually..

Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
Hata Yesu alizumzia material things kuliko mambo ya imani.

Sio vibaya kuzungumzia. Maana Hata Yesu alikuwa hatembei na magombo Bali mfuko wa fedha chini ya mhasibu Yuda.

Usiogope kuzungumzia fedha na material za watumishi maana Yesu alimiliki na kuzungumzia pia mkuu
 
Nakazia.
Hata Yesu Kuna kipindi alikuwa anachungulia sadaka nani katoa kingi Na nani kaminya.

ref ile inshu ya mwanamke aliyetoa sent ndogo.
biblia inasema Yesu alikuwa amekikazia sana macho kule chombo akiangalia watu wanavyotoa.
 
Hahahahaha
Asante kwa mkazo shemasi...

Hata yule jamaa aliyepewa pesa akazificha asizalishe Yesu alimwita Mwovu
Kwa hiyo ni uovu kutojadili uchumi wa watumishi hahahahha
 
Huyu jamaa ni mwanzilishi wa makanisa ya Living faith church world wide aka winners chapel international.

Ni tajiri mbali na kupata utajiri kupitia uchungaji na makanisa yake, ni muandishi wa vitabu kupitia kampuni yake ya Dominion Publishing House.

Vilevile ni mmiliki wa vyuo vikuu zaidi ya saba, mbali na kuwa na vyuo na mengineyo mengi anamiliki pia kampuni katika British islands ambavyo hujulikana kwa sheria zao kama ni heaven tax island.

David Oyedepo anamiliki Private jets zaidi ya 4.
 
Yuko vzr.
Hana mbwembwe sana
 
Umepotea kuwalinganisha watu wa Mungu kwa vingezo vya materials things na worldly possessions
Angalia their impact in the lives of people , soul winning, how many lives they have touched and changing spiritually..

Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
Unakosea sana, manabii na wachungaji ni somo kwetu hivyo lazima tuwajadili
 
Namkubali Sana Rev David Oyedepo, mafundisho yake yalinisaidia Sana mwaka 2001 nikiwa kijana mdogo WA miaka 16 ninae soma kidato cha tatu
Ukiteka vyombo vya habari umeteka dunia.

TB Joshua (hayati) alikuwa amkaribii kwa chochote Mzee Oyadepo.
Oyadepo ndio mchungaji Tajiri kuliko wote ulimwengini.

Amehamasisha watu wengi kuwa matajiri duniani. Ukisoma kitabu cha Oyadepo ukaja ukisoma cha TB ni sawa na kula Mua na kisha ukaletewa menyu ya miwa iliyotafunwa na kutolewa utamu.

Ndio Muafrika wa kwanza kuwa na makanisa hadi ulaya. Ukraine alikuwa na kanisa kubwa lenye waumini wazungu kibao wakati TB anaarika wazungu SCOAN na kuwapa coverage kubwa.

TB alikuwa bingwa wa kuaminisha kwa kutumia media. Hata alipofungiwa na serikali akafanya mchongo wa kuhamia kwenye Satellite broadcast hapo ndipo alipoteka soko kote duniani hasa Africa huku wanigeria wenzake wakibaki local.

Somo : Kuna nguvu katika Media, Ukiwa na kitu chako lakini hujitangazi utabaki kuonekana duni licha ya kuwa na uwezo mkubwa.

SOMO: Oyadepo na yeye anafundisha watu tufocus katika matokeo sio maneno. Oyadepo anamengi ya kufundisha kuliko.

Note: Oyadepo ndio mmiliki wa makanisa ya Winners.

Mnaomfahamu zaidi mtujuze na mambo ya kujifunza kutoka kwao ukiacha figisu zao visonzoni mwa sadaka.
 
Ukiteka vyombo vya habari umeteka dunia.

TB Joshua (hayati) alikuwa amkaribii kwa chochote Mzee Oyadepo.
Oyadepo ndio mchungaji Tajiri kuliko wote ulimwengini.

Amehamasisha watu wengi kuwa matajiri duniani. Ukisoma kitabu cha Oyadepo ukaja ukisoma cha TB ni sawa na kula Mua na kisha ukaletewa menyu ya miwa iliyotafunwa na kutolewa utamu.

Ndio Muafrika wa kwanza kuwa na makanisa hadi ulaya. Ukraine alikuwa na kanisa kubwa lenye waumini wazungu kibao wakati TB anaarika wazungu SCOAN na kuwapa coverage kubwa.

TB alikuwa bingwa wa kuaminisha kwa kutumia media. Hata alipofungiwa na serikali akafanya mchongo wa kuhamia kwenye Satellite broadcast hapo ndipo alipoteka soko kote duniani hasa Africa huku wanigeria wenzake wakibaki local.

Somo : Kuna nguvu katika Media, Ukiwa na kitu chako lakini hujitangazi utabaki kuonekana duni licha ya kuwa na uwezo mkubwa.

SOMO: Oyadepo na yeye anafundisha watu tufocus katika matokeo sio maneno. Oyadepo anamengi ya kufundisha kuliko.

Note: Oyadepo ndio mmiliki wa makanisa ya Winners.

Mnaomfahamu zaidi mtujuze na mambo ya kujifunza kutoka kwao ukiacha figisu zao visonzoni mwa sadaka.
Jehovah na mwanae Yesu wako mdomo wazi! Hii ndio Injili siku hizi, nani ana pesa?!
 
Back
Top Bottom