tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na maji yenye harufu sehemu za siri

    Habari, Mimi ni binti nasumbuliwa na maji kutoka sehemu zangu za siri yenye harufu sana. Nilienda hospitali mara 4 kwa vipindi tofauti tofauti nikafanyiwa vipimo wakakuta nina vivimbe maji kwenye mirija ya uzazi. Nikapewa dawa, baada ya miezi mitano hali imerudi upya. Nakosa amani kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini flyover Ubungo haimalizi tatizo la foleni?

    Naipongeza Serikali yetu kwa juhudi kubwa za kutuletea maendeleo ikiwemo kuboresha miundombinu yetu. Leo daraja la juu pia limefunguliwa kwa magari yanayotokea mwenge kuelekea Riverside lakini kinachonishangaza ni kwanini foleni bado ni kubwa sana kwa magari yanayotokea Kimara? Huenda...
  3. JamiiForums Tanzania NIDA bado tatizo: Wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili

    Wanajamii, nafikiri wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili. Binafsi nimejiandikisha tangu mwaka jana mwezi wa 3 lakini kila nikifuatilia kitambulisho naambiwa kwa sasa wanatoa namba tu vitambulisho wamesitisha. Kwa akili ya kawaida huu ni upumbavu uliokithiri kwa sababu; 1...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

    NKOME, GEITA VIJIJINI WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA" Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya tatu hii Alikiba kashindwa kung'ara YouTube, tatizo nini?

    Naona alikiba tangu atoe juzi ngoma yake ya mediocre hakaweza kabisa kuwa trending namba one youtube, Tatizo ni nini?
  6. JamiiForums Tanzania Uwasilishaji wa Hitajio Katika Uandaaji wa Mchanganuo wa Mradi (Preparing a Need Statement)

    Uwasilishaji wa Hitajio (Need Statement) ni kipengele MUHIMU sana katika uandaaji wa andiko la Mradi. Uwasilishaji wa Hitajio una malengo makuu mawili (2) ambayo ni: Kuonyesha ni kwa namna gani TATIZO la mradi wako linarandana na matakwa/maslahi ya mfadhili (funder's interests/priorities)...
  7. JamiiForums Tanzania NEC na ZEC wanaweza kulipasua taifa. Wanaharakati na viongozi wa dini mko kimya? Subirini tatizo

    Haiwezekani nchi nzima wanaokosea kujaza forms ni wagombea wa upinzani, haiwezekani wanazijaza forms vizuri ni wagombea wa ccm tu.Wagombea wa CCM wamesomea shule za nchi tofauti? Wakati NEC na NEC zinatoa semina kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa, CCM walikua na semina yao ya tofauti? Liwake...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

    Hapa JF tunapigana vijembe na hasa watu wa CHDEMA wakijaribu kuonesha kwamba wao wako fit kuliko CCM na kwa ujumla hawazungumzii vyama vingine utadhani kweli nchi hii ni ya CCM na CDM. CCM wana udhaifu wa kuwa na viongozi ambao wanahangaikia kuiba na kujitajilisha na chama kuwa maficho ya watu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Askari Magereza posho hawajalipwa, tatizo ni nini?

    oi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupata maumivu chini ya kitovu kwa mwanaume

    Preview Nina Maumivu chini ya kitovu, takribani ni miezi mitano sasa nime angalia Utra sound wamesema kuna vijiwe,nimetumia dawa lakini maumivu bado yapo pale pale na sina UTI, henia wala tezi dume. Naombeni msaada wenu wakuu
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Kama umeshindwa kutatua tatizo la Kahawa kwa miaka 5, utaweza sasa hivi?

    Amani iwe nanyi wandugu! Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni?
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli amka Lissu ameshapita tatizo hukuona hata vumbi

    Yaani namshangaa Mheshimiwa Magufuli amebaki na kuachwa akiangalia live band tu,anakula starehe, Sijui kama anazo taarifa au wahusika hawampi na kumwambia ukweli,kuwa Tundu Lissu ameshauteka umma wa walio wengi na anaendelea kukata mbuga kwa kasi ya ajabu. Ukiangalia vizuri utaona Polepole...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania: Nafasi za Ajira ya Ualimu 13,000, waliotuma maombi kuziomba wafikia 80,000+ hadi leo!

    Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana. Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera ZEC kwa maamuzi ya akili. NEC ni tatizo katika Uchaguzi wa Bara

    Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa za kuegemea Ukabila, Dini na Ukanda ni tatizo linalokuja

    Katika kampeni zinazoendelea, tumeona sasa hata nyinbo za kisukuma zinatumika kueneza sera za chama. Kwa nini wa-TZ wanaanza kuona lugha za kienyeji ni muhimu kuliko ujumbe wa kitaifa? Je ni kufurahisha nafsi ya mkuu wa nchi bila kujali umma unaotawaliwa? Si mara ya kwanza. Kuna wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    1.Ufungwaji wa Dish - Uimara wa sehemu ilipofungwa - Fundi amefungaje je kama huyu - Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal) - kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable inayopeleka signal kwenye king'amuzi imefunikwa ili maji yasiingie n.k? 2.Cable kama imeungwa (ilikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya miaka mitano ya CCM, wateule wa Rais Magufuli hawatatui kero za Wananchi. Hapa tatizo lipo wapi?

    Mimi Idugunde huwa sipendi unafiki hata kidogo. Ni kweli CCM imefanya makubwa kipindi hili cha awamu ya kwanza ya uongozi wa JPM. Lakini kuna kasoro moja kubwa sana imejitokeza kwenye utawala wa huu. Maana kila anapofanya ziara zake Rais Magufuli huwa anakutana na watu ambao wana kero ambazo...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaponyoa kiduku huwa anatafuta nini hasa? Ni tatizo la kisaikolojia?

    Frankly speaking, mimi hata nikaibiwa kitu mahali, mtu wa kwanza kumuhisi atakuwa ni mtu yeyote alienyoa kiduku, regardless amevaa vizuri vipi. Shida ni nini hasa?
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la gonjwa la sukari Tanzania

    Kwa tatizo hili la ugonjwa wa kisukari hapa nzchini kwanini wanasiasa wanaotengeneza ilani ya vyama vyao asiwepo mmoja akaliona hili tatizo na kuja na sera ya matibabu yake yawe bure Kama magonjwa ya TB na Homa ya ini, hasa chanjo. Kwani kwa Sasa swala la chanjo ya Homa ya ini ni tatizo kuipata...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kama wagombea wengi wa Vyama mbali na CCM wameenguliwa na wote kupingwa kuliko mwaka 2015, tatizo ni nini hapa?

    Mwaka 2015, kwenye uteuzi wa wagombea udiwani na wabunge mambo yalikuwa kama ifuatavyo: 1. udiwani, rufaa zilikuwa 223, nyingi zikiwa za CCM (83) na Chadema (87). Hakuna mgombea wa udiwani wa CCM aliyekatwa, wakati wale wa vyama vingine waliokatwa walikuwa 11, na wengi wao (9) ni Chadema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…