Nasumbuliwa na tatizo la low blood pressure

Nasumbuliwa na tatizo la low blood pressure

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
14,653
Reaction score
12,368
Tatizo nimekuwa nalo Kwa mwezi mmoja sasa, nilianza kujihisi dhaifu wa mwili kwa wiki kadhaa na pia kuanza kupata maumivu mepesi mepesi eneo la moyo pamoja na bega pamoja na mkono wa kushoto.

Katika kujitafakari nilipojipima blood pressure nikagundua kumbe ipo chini, hilo tatizo wiki ya pili sasa kila nikijipima tena hali ndio ile ile. Naombeni ushauri wakuu
 
Kuna kitabu natamani nikutumie usome peke yako ni tiba tosha
 
Jaribu kupitia hizo nyuzi

 
Punguza mawazo, kunywa soda ya koka, oga maji ya vugu vugu, achana na mikopo kausha damu. Muhimu kumuona daktari.
 
Jitahidi ukiwa umekaa usiinuke ghafla, pia usivae nguo au viatu vinavyobana sana, piga milo kamili, usiku usile vyakula vizito na ukilala lalia mto.

Mambo ya pombe achana nayo kama unatumia.
 
JE NAWEZA kuanza mazoezi ya jogging nikiwa na hii hali au ni hatarishi?
 
Back
Top Bottom