tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Sababu kwa nini Ulaya ina tatizo dogo sana la ajira

    Hizi ndio sababu kwa nini tatizo la ajira sio kubwa sana Ulaya 1. Ulaya ina makampuni mengi sana Nchi nyingi za Ulaya kama Germany, United Kingdom, France nkzina makampuni mengi sana makubwa kama BMW, Siemens, Volkswagen nk Makampuni haya yanatoa mamilioni ya ajira, direct na indirect 2...
  2. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anavaa shanga na hajui kukatika ni matumizi mabaya ya shanga

    Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
  3. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Ikifika Hatua kama hii ujue Tatizo ni kubwa kuliko kawaida

  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata majanga ya majina ajira portal

    Jina langu katika cheti cha kuzaliwa ni BAHATI NJEMA DAIMA JINA LANGU KWENYE KITAMBULISHO CHA NIDA NI BAHATI NJEMA DAIMA. JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM FOUR NI BAHATI N DAIMA JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM SIX NI BAHATI N DAIMA JINA LANGU KWENYE CHETI CHA SHAHADA NI BAHATI N DAIMA...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Hatua Gani Zinachukuliwa Igundulikapo Tatizo la Afya ya Akili kwa Kiongozi?

    Hebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo? Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD: Waziri Mkuu Mwigulu yuko sahihi ila tatizo liko hapa….

    Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu. Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono. Tatizo linaweza kuwa maeneo haya: 1. Je waliopigiwa makofi mengi...
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Orodha ya raisi wafuatano wanaweza kuingiza dunia kwenye vita kwasababu wana tatizo la wenge

    Donald Trump Ni raisi mwenye chokochoko hana tofauti na kidawa mpenda kufunua Makaburi na vyungu vya sumu ambavyo havikutakiwa kufunuliwa, kesha funua vyungu vingi vipo wazi vinatema sumu na sasa dunia nzima inakohoa Kim Jong Un Ni raisi mwenye mikono inayowasha sana anapenda kuchezea moto...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo sugu la kukatika kwa umeme Wilaya ya Mvomero huku mamlaka zikiwa kimya

    Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Dakawa, Dumila, Gairo, Mvomero, Turiani, Madizini, Kibati mpaka Pemba, kuna...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Sakata la Michango Shuleni: Matamko ya Viongozi hayatoshi, tunakwepa Mzizi wa Tatizo

    Sera ya "Elimu Bure" ilikuja kama mkombozi kwa wazazi wengi wa Kitanzania wenye kipato cha chini. Lengo lilikuwa wazi: kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya msingi ya elimu bila kikwazo cha kifedha. Hata hivyo, uhalisia mtaani na mashuleni kila uchwao unazidi kuthibitisha kuwa, huenda elimu hii...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama tatizo ni mabeberu mbona viongozi wetu ni matajiri?

    Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu. Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
  12. Tunguja

    JamiiForums Tanzania Sina tatizo la tezi dume wala sukari,Ila nakojoa sana siku,nikila mboga aina fulani tatizo linaisha

    Miaka kadhaa liyopita nilikuwa nikiishi na mwanamke ambaye alikuwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku na mchana,nilidumu naye kwenye mahusiano miaka minne tu tukaachana. Miaka mitatu baada ya kuachana (2023 ) na mimi nikajikuta nina tatizo lile lile lake, tofauti yetu ni moja tu mimi...
  13. Farolito

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kumbukumbu iliyopitiliza

    Habari, Nimekuwa na tabia ya kukumbuka vitu na matukio yaliyopita kuliko kawaida,au kukumbuka vitu ambayo naweza kusema sio vya muhimu sana. Mfano kuna watu nimesoma nao levels za chini tangu shule za msingi kuna wengine hua nakutana nao nawakumbuka vizuri ila wao ni kama hawanikumbuki labda...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

    Hamjambo! 1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu. 2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume. 3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
  15. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Je, macho yanahusika na tatizo la kujisikia kichwa kizito?

    Mambo vipendhy Husika na mada apo juu je, macho yanachangia na mtu kujiskia kichwa kizito? Mda mwengine kama kupata kizunguzungu mda huo huo ninavyojiskia hivyo na macho pia huwa kama yanavuta hivi kwa dalili hizi ni sahihi kwenda kwa daktari wa macho?
  16. Asantehene

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Tatizo la Wizi wa Mita za Maji na pendekezo kwa mamlaka husika

    Wakuu nimekutana na hii hoja, nimeona niiweke hapa iwafikie wadau wengi zaidi, na DAWASA kama wanaweza kujibu itakuwa vizuri zaidi. Majuzi tuliamka tukakuta mita yetu ya maji haipo. Cha kushangaza, mita tatu zilizo karibu hazikuguswa. Wazo la kwanza lililotujia ni kwamba huenda DAWASA wameitoa...
  17. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la "Sinus Tachycardia" anayejua tiba yake aniambie nimechoka kuteseka

    Habari zenu, kwa mwaka sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la Sinus tachycardia, nimetumia propranolol miezi kibao ila zimenisaidia kupunguza maumivu tu ila sijapona. Mwenye tiba ya huu ugonjwa anipe suluhishi maana doctor aliniambia hiyo hali ukitumia dawa itatoweka ila hakuna kilichosaidia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya za Nissan Dualis kuwaka moto… Sio tatizo la kiwandani bali uzoefu mdogo wa mafundi wetu kwenye magari ya Nissan hata ukizingatia service

    Sio kwamba Nissan Dualis zina kasoro ya kiwandani hadi zote ziungue moto. Tatizo kubwa ni service duni na mafundi wasio wataalam wa Nissan. 1. Kuna Plastiki ya kuzuia joto (heat shield/insulation) nyuma ya engine na lipo karibu sana na bomba la moshi, loki za plastiki, zikipata joto kali...
  19. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kuwasha

    Jaman kuna tatizo limenipata kipindi hiki huwa nawashwa kwenye mwili ikifka muda wa kulala ndio kabisa nazidi hii inatokana na nn jaman inanisumbua mno
  20. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la ‘short temper’. Nisaidieni jinsi ya kuepukana nalo

    Mimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili. Ahsante snaa
Back
Top Bottom