Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026.
https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q
UTANGULIZI
Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
🚗 OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! 🔧
Unapata shida kujua tatizo la gari lako?
Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi 💯
✅ Inasoma matatizo ya engine (Check Engine)
✅ Rahisi kutumia – Plug & Play
✅ Inafaa kwa magari mengi ya...
Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri.
Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
Tuseme tu ukweli hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira, isipokuwa kuna tatizo la kukosekana kwa kazi rahisi , au kazi zenye hadhi tunayotaka ,, kiukweli kazi za kupima matokeo nikazi ngumu kuliko zote wengi tunapenda ile kazi ambayo hata usipofanya hakuna anayeweza kuipima moja kwa moja...
Natumai hamjambo, nina tatizo la damu nyingi mwilini. Pia damu ni chafu, naomba maelekezo nini cha kufanya niweze kupunguza damu mwenyewe kabla sijaenda kuchangia.
Ahsanteni.
=====
UFUATILIAJI WA JAMIICHECK
Watanzania wengi Mimi nawaita vichaa kwasababu hawana uwezo wa kuhoji mambo ndani ya nafsi zao. Ikutokea mtu mwenye ushawishi katika jamii ameongea jambo, jambo hilo kwa 100% wataliunga mkono na kuliona liko sahihi.
Kuna hoja ilitolewa na wapinzani na baadhi ya watu kuwa mfumo wa Elimu yetu ni...
Tunaiomba mamlaka husika hasa TANESCO kutatua tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika eneo la Nyamhongolo Stand, Wilaya ya Ilemela, Mwanza.
Wananchi na wafanyabiashara wa eneo hili tunaendelea kupata hasara kubwa kutokana na umeme kuwa mdogo muda mwingi. Mashine za kazi haziwezi kufanya kazi...
Anonymous
Thread
ilemela
kuboresha
kutatua
low voltage
mada
mamlaka
mdogo
mwanza
ombi
stand
tanesco
tatizotatizo la umeme
umeme
umeme mdogo
Habari Wakuu, nina tatizo la Vichomi upande wa Kushoto, nikikaa kwa mda mrefu sana, kichomi kinauma, nikilala au kupumzika vinaacha kuuma.
Nilienda kupima nikaambiwa sina titizo, Sijui shida ni nini hapa?
Hili ndio tatizo: Kulinda wauaji, majizi na mafisadi hata kama yanagharimu nchi na watu wake
Huu mfumo una nguvu katika nchi za hovyo hovyo na kidogo umedhibitiwa katika nchi zilizostaarabika zinazoheshimu raia wake na zenye mifumo inayolinda maliasili za nchi dhidi ya ujambazi wa viongozi...
Mara nyingi tunaona nchi kama
Sudan
South Sudan
Chad
Somalia
Burundi
Madagascar
And some parts of
Nigeria
Kenya
Ethiopia
Kila mwaka lazima usikie kutoka hizi nchi kuwa millions wanaface hunger. Kwa nini AU wasijadili jinsi ya kumaliza hili tatizo?
Mfano Tanzania huku huwezi kusikia...
Onyo! Kaa mbali na vitoto vya 2000; visipokutegua nyonga vitakufilisi! Sitaki kuwapotezea muda, hebu msikilize mhusika mwenyewe alichotendewa na kinda wa 2000:
MAONI YANGU
Jamani hawa watoto wa 2000 sio wa kuhongwa vitu vikubwa kama fedha (e.g. Tsh 400,000) au smartphone. Hawa saizi yao ni...
Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu...
Huwezi kutoka kwenu Mali kuja hapa kutukana watu na kukoromea marefa. Afungiwe haraka sana kuanzia mechi tano.
Mnasuburi nini mpaka muda huu? Kama hamna posho za kikao, semeni mimi nitawalipa
Wakuu kwa ambae kanunua umeme,luku jana na leo kwa kutumia voda simshauri kuna tatizo kubwa sana huko voda watu tulionunua umeme jana leo tunalia na kusaga meno pesa zetu hazijarudishwa kampuni ishaanza wizi hii
Hivi ili linaweza kuwa tatizo gani la saikolojia?
Mtu kuwa uuongo sana yaani anadanganya kupitia kiasi. Kushindwa kujitambua ( yaani kuwa mtu ambaye anashindwa kudadavua mambo yake mwenyewe au kujisimamia )
Kuwa mtu mwenye wivu wa kupita kiasi, Mchonganishi, Mpenda sifa sana na kuongea kupita...
Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi.
Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
Anonymous
Thread
kibaha
kibaha kwa mfipa
maji
mtaa
tatizotatizo la maji
tatizo la maji kibaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.