tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania World Hearing Day: Watu Bilioni 1.5 Duniani wanaishi na tatizo la usikivu

    Machi 03, 2022 ni Siku ya Usikivu Duniani ambapo inaelezwa takriban Watu Bilioni 1.5 Duniani kote wanaishi na tatizo la usikivu. Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanasema idadi hii inaweza kuongezeka hadi Bilioni 2.5 kufikia Mwaka 2030 Inaelezwa, Mamilioni ya Vijana wapo hatarini...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Abnormal menstrual bleeding: Je nini chanzo na ni kwa namna gani tunaweza kutibu tatizo la kutokwa damu ukeni (kipindi cha hedhi) bila kukata?

    Habari za wakati huu wana JF! Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi? Mwenye kufahamu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la mwili kuchoma ninapo pata joto

    Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi kumpata tena aliniambia ni minyoo akanipatia dawa za minyoo sizikumbuki ni aina gani nlipona kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye tatizo la nguvu za kiume, tiba imefika Aga Khan

    Wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo. Upasuaji huo ambao ni wa kwanza kufanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki, umekuja wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Watanzania wengi ni cha kuandika, kusoma na kuongea kwa kusoma maandishi. Tatizo ni kusikiliza, kuelewana na kuongea freely

    Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Habari za weekend..... Wauzaji wa bidhaa za forever living, kwanza hongereni kwa kufanya hiyo biashara inayohitaji kipaji cha hali ya juu kuweza kuongea sana na kumshawishi mteja, ni kipaji kwakweli. Back to topic, mmekua mnatumia mbinu za uongo na kulazimisha sana mteja ili mtangaze...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natatuaje tatizo hili kwenye simu yangu?

    Salamu wana Jf..natumai wote ni wazima,Kama Kuna mgonjwa Basi Mungu akuponye Simu yangu ni aina ya Infinix Hot 10,hii simu inazima zima Sana na ikizima huwa unachukua muda kuwaka,huwa unachukua Kama dakika 10-15 yaani mda huo inakua inaonyesha neno Infinix baada ya muda ndo inawaka Nawezaje...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Ripoti ya CAG ni ya uongo, nimechafuliwa sana. Prof. Adolf Mkenda ndiye aliyeratibu mimi kuchafuliwa

    Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). "Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo zinapelekea kamati ya PAC kuzijadili na kuwasilisha taarifa zake bungeni. Katika taarifa zake CAG si...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

    Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo. Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4. Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Prodyuza Yogo anaacha muziki, tatizo Ali Kiba au malipo?

    “I QUIT THE GAME SITAKI TENA MZIKI. F** THIS GAME” Ndiyo ambavyo Prodyuza Yogo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kisha pembeni yake kwenye caption akaongezea kwa kuandika “Too Much Hunting”. Bado hajaweza sababu hasa za kuamua kufanya hiyo, maamuzi ambayo yanakuja wiki chache tangu...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Hakuna tatizo Wamasai kuishi na wanyama Ngorongoro

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa “Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo nini mpaka baadhi ya binadamu kuwa homoni za kike au kiume?

    Maandiko yanasema Mungu ndio muumba wa kila kitu, alimuumba mwanamume na baadae akaona siyo vyema aishi peke yake akamletea msaidizi mwanamke. Kuna video nimeiina mitandaoni inasikitisha sana vijana wadogo wakiume sasa ni mashoga, kuna mmoja wao wakati anahojiwa akadai amezaliwa akiwa na homoni...
  13. JamiiForums Tanzania K Vant na tatizo la kusahau

    Wakuu, wote tunajua pombe zina athari nyingi ingawa pia zina utamu wake. Mimi ni mnywaji wa pombe ingawa hazijawahi kunisumbua kwa maana ya kuwa addicted ila nikinywa siku yoyote naenjoy tu. Sijawahi kuwa mpenzi wa konyagi au pombe za aina hiyo. Juzi juzi hapa nilipiga K Vant, ilinipeleka sana...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani tatizo la Uraibu wa Kamari limeharibu maisha yako upande wa kijamii, kiimani na kiuchumi?

    Tatizo la uraibu (addiction) wa kamari linaendelea kukua siku baada ya siku kwa vijana wengi wa Kiafrika hususani Tanzania. Makampuni ya kamari yanakimbilia sana katika mataifa ya kiafrika ambako umaskini umetamalaki kuja kuwekeza huku wakilenda soko lao kubwa kuwa ni vijana.Vijana ambao wana...
  15. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI KUHUSU MILABAHA ILIYOTOLEWA MANENO NI MENGI MH RAIS LIANGALIE NA HILI NI TATIZO

    Habari Mh Rais! Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati , Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuzubaa kwenye miradi yao. Je, tatizo ni Wananchi au Wapinzani?

    Raisi anasema wananchi wamelala kwa kutokulalamika wakati miradi imekaa miaka mingi . Je tatizo ni wananchi kutokulalamika au wananchi walikuwa wana puunzwa kwasababu ya wabunge kuwa wapinzani? Mimi siamini kwamba wabunge wa Chadema walikuwa hawapeleki malalamiko serikalini. Imefika mahala...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio VAR, hao marefa wanazijua vizuri sheria za mpira?

    VAR ije Tanzania ili iweje? Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside. Mimi labda ingependekezwa waingie na simu zenye internet nzuri ili likitokea tukio refa aingie Google kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Nikifanya kazi moyo unaenda mbio

    "Nikifanya kazi moyo unaendaaa mbio nikiinamaa sana nikisimama sana pia nikitembeaa sana au nikipata mshtukoo tu basi unaanza kwenda mbio pia nikiwa na mawazo." Ushauri wa kitaalam unahitajika kwa haraka.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kutatua tatizo la wafugaji

    Ndugu zetu Wamassai na Wamang'ati wamekuwa na ufugaji kiholela karibu Tanzania nzima. Kwa ufupi hawa wafugaji wanaishi kwa utaratibu wao wenyewe bila kufuata sheria yeyote. Lakini kibaya zaidi wanaharibu mazingira sana na ni lazima kuwekwe utaratibu. Huko Arusha ndiyo kabisa kumekuwa kama jagwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu tatizo la kushindwa kukojoa kwa wazee

    Kama unamfahamu mzee yoyote mwenye tatizo la kushindwa kukojoa mkojo (urine) au mkojo hautoki kwa usahihi naomba niunganishe naye tiba yeetu ni bure.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…