tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania kupata passport mbona longolongo kibao nini tatizo

    Hapa naomba nifahamu mbona kuna ugumu wa kupata passport ya kusafiria na kuna mzunguko mwingi sana .
  2. JamiiForums Tanzania Ustaarabu na unyenyekevu utakusaidia siku ambayo akili yako imeshindwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo lako

    Nimekumbuka vitu kadhaa leo ngoja nijitahidi kuandika japo sio mwandishi mzuri sana. Kunawakati tunapitia vitu vingi na tunakutana na watu wengi tofauti tofauti kwenye maisha wenye kutufurahisha na kutukwaza lakini tujitahidi kujifunza ustaarabu na unyenyekevu hasa tunapokwazika inawezekana...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo /Vingunguti

    📌 Penye miti hakunaga wajenzi nikiongezea na msemo wa ndugu zangu wahaya(zagwa mbali batazilya)... 📌vingunguti kuna machinjio ila tembelea mighawa sijui niseme vihotel VIDOGO vya mitaani mtanisaidia wataalamu wa kiswahili.. nyama ambazo wanapika sijui wanaokotaga wapi? Maana nyama kilo sio...
  4. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mpinzani halisi mwenye contents. Tatizo wapinzani wanapingana

    NIlipata wasaa wa kumsikiliza Zitto kwenye mkutano wa hadhara kwanza wa ACT Wazalendo 2023 pale uwanja wa Zakhem Mbagala. Niseme kwa kukiri kwamba, kiongozi huyu ambaye ameanzia na kukulia Upinzani ana viwango vyote sahihi vya kuitwa mwanasiasa mwenye hoja. Katika kuunda hoja na kuzijengea...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Simba tatizo ni mbinu na kutokuwaheshimu Raja

    Ukiangalia mechi vizuri Simba tuliwadharau RAJA mpango kazi wa kucheza nao ukawa kama tuncheza na ruvu. Haiwezekeni ucheze na RAJA uaache magap nyuma na ktkt makubwa namna ile. SImba tubadilike namna ya kucheza na wapinzani. Katika palikufa kabisa kwa sbb saido ilibdi awe anakuja kukaba chini...
  6. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Ngorongoro kuna tatizo kubwa sana

    Huwezi amini hili eneo linapokea na kulaza wageni zaidi ya 100 kila siku. Ngorongoro Simba camping site huu mlango una zaidi ya miezi mitatu bila kufanyiwa matengenezo baada ya kuharibiwa na tembo ila tangu uharibike haujawai kutengenezwa na wala hakuna kiongozi anayeona hili ni tatizo. Pia...
  7. JamiiForums Tanzania Ningependa kumzungumzia huyu adui namba moja ambaye ni Ujinga

    Wakati wa uanzishwaji wa falsafa ya ujamaa na kujitegemea, Mwalimu alitaja maadui watatu wakubwa wa kupambana nao ili taifa liweze kupata ustawi ulio bora maadui hao ni pamoja na :- i, UJINGA ii, UMASIKINI iii, MARADHI Ningependa kumzungumzia huyu adui namba moja ambaye ni Ujinga. UJINGA Kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa tatizo la mtoto kupata degedege

    Mtoto wangu miaka(4) alipatwa na homa mwaka Juzi 2021 mwez wa 11. Joto ilikuwa juu sana mpaka ikamsababishia dalili za degedege kutokwa na povu mdogo. Tulimpa Panadol kushusha homa na kumkimbiza hospitali ikaonekana ana infection kwenye damu akapatiwa dawa akapona. Mwezi ulioisha tena alipata...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  10. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

    Natumaini ni wazima Sio muandishi mzuri mnivumlie Kama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri Baada ya muda kidogo hivi nikaanza kujihisi homa nikaenda hospitali sikukutwa na tatizo lolote zaidi ya dalili ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nur Islamic seminary S1078 nini tatizo?

    Matokeo ya kidato cha nne yametoka ni zaidi ya wiki, lakini kwa wanafunzi zaidi ya 40 wa shule ya NUR ISLAMIC SEMINARY bado matokeo yao hayajafunguliwa wameekewa alama E. Necta wanasema watoto hawakulipiwa na ili matokeo yafunguliwe kunahitajika malipo, tumefuatilia shule wanasema kulitokea...
  12. JamiiForums Tanzania JE NINA TATIZO GANI LA KIAFYA.

    Habari wakuu. Nimeamka nije hapa Jamii Forum niweze kupata Ushauri WENU ndugu zangu. Ninasumbuliwa na Ugonjwa kwa Miezi Mitatu sasa. Historia Fupi ya Ugonjwa. Nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi kikavu kwa week Tatu kuanzia Tarehe Tano 5 Desember 2022 Hadi 23 Desember 2022. Ndipo nilipona...
  13. JamiiForums Tanzania Naunga mkono msimamo wa serikali juu ya kutoingilia bei ya chakula, tatizo ni kwamba katiba yetu bado inasema 'Tanzania ni nchi ya kijamaa'

    Masuala ya bei ni masuala yanayohusu uchumi wa soko, yaani bei huwa inaamuliwa na nguvu za demand and supply au huwa tunaita 'Price mechanism'. Muasisi wa falsafa hii ni baba wa uchumi, na mwanafalsafa wa Uskochi Adam Smith kupitia kitabu chake kilichoandikwa zaidi ya miaka 240 iliyopita (1776)...
  14. JamiiForums Tanzania 40% ya Wagonjwa wanaotibiwa Saratani Hospitali ya Bugando ni Wanawake wenye Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali iliangalieni suala la aina ya mipango ya elimu, hali ni mbaya

    Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji kwa kuhusisha wadau wote wa elimu. Mambo hayo ni pamoja na: 1. Viongozi kujikita zaidi kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uchache wa madawati mashuleni limekithiri litatuliwe hivi...

    Ni jambo la kusikitisha kuona hadi sasa idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya msingi na hata sekondari wakiwa wanakaa chini katika shule zetu si mjini wala vijijini. Japo tunapongeza jitihada za kuongeza madarasa bado inashangaza Sana kuona hao wataalam wa mipango wanashindwa kuona ukakasi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Dawa ya GAMMORA kutoka kampuni ya Zion Medical ni kweli kwamba inatibu HIV?

    Wana Jukwaa la JF Shalom Shalom, Assalamu aleykumu, Tumsifu Kristo Yesu. Bila kuwapotezea mda wadau naomba msaada wa maelekezo kwa mwenye information kuhusu kampuni ya Zion medical ya huko Israel, kuwa ina tengeneza dawa aina ya Gommora ya kutibu H.iv. Kumekuwa na matangazo kwenye baadhi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu na matibabu ya tatizo la kujamba kwa Uke

    Hii ni hali ya utoaji wa hewa au gesi uliyojikusanya ndani ya Uke. Tofauti na kujamba kwa kawaida ambako hutokea kwenye tundu la haja kubwa, uke huwa hautoi gesi chafu ambazo hutoa harufu kali. Kitendo hiki kinaweza kutokea wakati wa tendo la ndoa, mazoezi au pale ambapo mwanamke anakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania 2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…