tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kuroga Mvua kubwa inyeshe Mwarabu afe. Je, una Wachezaji wa kucheza katika Madimbwi na Matope?

    Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio NEMC, uchafu wa Mazingira ni ugonjwa wa akili unaotakiwa utibike Kisaikolojia. Hata baadhi ya Viongozi wanaumwa

    Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia. Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele. Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na...
  3. JamiiForums Tanzania Kusudi la Mungu na uongozi wa Tanzania-simameni katika kweli, haki na toba-msiogope

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa. Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali makusudi ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Uongozi ni fulushi zito mnoo ambalo kama si kwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

    Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya! Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta. Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mahubiri yamezidi kuwa holela sana. Tatizo ni Viongozi wa jiji

    Asubuhi ninapokwenda Kariakoo kwenye mishemishe zangu lazima niwahi kupanda Mwendo kasi pale Mbezi mwisho. pale ninaposubiria gari kuna wale jamaa walioweka Spika zao na kakikapu ka sadaka huku wakihubiri, huwa nashindwa kuongea na Simu sababu ya sauti za spika. Afadhali ingekuwa ni mara moja...
  6. JamiiForums Tanzania Ni uoga au tatizo nini?

    Habari za wakati huu wana JF, Samahani nitaenda haraka kidogo na kwa ufupi. Niko Mubashara muda huu hapa kupitia TBC1 kuna mkutano wa hadhara unafanyaka jijini dar es saalam,kati ya Wafanyabishara na Mhe.Waziri mkuu Kassimu Majaliwa. Niende kwenye hoja,hoja yangu ni mpka saaa nimemsikilia...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Hili ni tatizo gani?

    Habari Madaktari na wanadau wengine huku ndani. Kama wahenge wasemavyo "Mficha maradhi Kifo Humuumbua" nipo njiani narudi tena hospital kuonana na daktari kufanya uchunguzi na kupata matibabu lakini ningependa kuwashirikisha na naomba msaada wenu juu ya tatizo langu. Siku ya Jumapili nilianza...
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

    Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo. Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ukitatuliwa kwa ushawishi wa vyombo vya dola tutakuwa tunaahirisha tatizo

    Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi. Siku dola ikipewa jukumu la kuimarisha usalama biashara zifanyike usiku na mchana nchi itapiga hatua. Lakini...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie jicho mkoa wa Arusha, kuna tatizo kubwa!!!

    Kwanza vuta picha ya tukio lenyewe kisha sikilizeni hawa vijana, wote hao; wanaoongea na mwandishi na hao wengine wanaoreact! Mkishamaliza poromosheni matusi kama kawaida yenu, nimekaa paleeeeee nayasubiri!
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na ukungu katika kutunza kumbukumbu limenianza taratibu, nifanye mambo yapi ili kulitatua ama kulipunguza?

    Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu, Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+ Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba sio Wachezaji, ni mashabiki

    Ndugu zangu makolo hongereni kwa kumaliza msimu huu na makombe kedekede.Timu yenu mmeiharibu wenyewe kwa kuwapa wachezaji wenu sifa zisizofaa na hiyo imepelekea wachezaji wenu kuwa na OVER CONFIDENCE. Kipa wenu hamna kila kitu ila mnavyompaisha sasa. Chama wenu hamna kila kitu mnavyompa misifa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Tatizo la Simba SC lilianzia hapa

    Watu wengi wanazunguka zunguka lakini mikosi kwa simba ilianzia hapa kwa kumkejeli mungu. Lakini wangekua na msimu bora sana mwaka huu
  14. JamiiForums Tanzania TATIZO NI NJAA

    Jalala liko na arufu fulani hivi amazing.. yaani sawa na haja yako unayoichukia wakati umeitoa mwenyewe 😁 Tambua taulo unalofutia matako iko siku utalifutia uso wako #MunguMkubwa jitie kichaa Wakati tatizo ni Njaa
  15. B

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu Tanzania yasaini makubaliano na Clearfront kukabiliana na tatizo la ukwasi Sekta ya Fedha

    BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA FRONTCLEAR KUKUZA MASOKO YA FEDHA Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) imetia saini hati ya makubaliano (MoU) na Taasisi ya Kukuza Masoko ya Fedha - Frontclear, yanayolenga kukuza sekta ya fedha nchini...
  16. JamiiForums Tanzania Raha ya single mother akupende mwenyewe, tatizo mnafosi

    Niseme nisiseme! Tatizo lenu mnadandia dandia Wanawake hovyohovyo alafu mkija kupigwa za uso mnaanza kutukana Single Mother, Wanawake ni walewale, ukijichanganya wanakufanya kitu mbaya. Huyu single mother kiukweri amenipenda mwenyewe, she is my body, Sio kulazimishana. Mtasubiri sana... Sijui...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tatizo gani katika jamii yetu ya leo?

    Mshiriki huyu wa American Idol mwenye umri wa miaka 19, Benjamin Glaze, anatoka katika familia yenye maadili sana. Majaji wanamuuliza kama ameshawahi ku-kiss. Benjamin anasema kuwa hajawahi kwasababu kwake ku-kiss ni kitu kikubwa sana na anasubiri hadi aingie kwenye mahusiano ya kueleweka...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji wetu wanagundu au wana tatizo na mfumo?

    Za asubuhi wakuu wote wa hapa JF. Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na wachezaji wetu wa timu ya taifa na hata wale wa club ambao ni watanzania. Mbona sijawahi kuwaona wakigombea au kuchaguliwa kuwa wabunge kama wenzao wasanii? Mbona sijawahi kuwaona wakichaguliwa au kuteuliwa kuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya wahitimu wa zamani (2019 kurudi nyuma) kufanya usaili wa kuandika (written interview) pamoja na wahitimu wapya (2022-2021)

    Siyo siri, kuwa mtu akikaa miaka mingi baada ya kuhitimu huku kila siku anapambana na maisha akili huwa inachoka. Halafu unapambanishwa na vijana fresh toka vyuoni akili bado inacharge hasa. Ila hamna jinsi, itabidi mpambane tu. Tatizo ni kwamba unakuta mtu steam ishakata, baada ya kufanya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…