tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  2. JamiiForums Tanzania Mafuta yamejaa kila kona ya nchi, tatizo lilikuwa ni nini?

    Baada ya bei mpya kutangazwa jana, leo asubuhi, mafuta yamejaa kila kituo cha mafuta.
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la serikali hii ya Awamu ya Sita si wateule bali ni Mteuzi na Mwapishaji

    Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu. Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua. Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo la network kwa Airtel leo tarehe 05/09/2023

    Nauliza kwa kifupi tu, kuna tatizo gani leo, maana network inapatika kwa dakika chache tu kisa inakata masaa.., whats going on?! ========================= Update: Tatizo linazidi kuwa kali zaidi, masaa mawili mfululizo ‘NO SERVICE’. Ndio network imerudi sasa hivi. ===========================
  5. JamiiForums Tanzania Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

    Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu. Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila kikiisha naweka mpira kwapani maana ni ngumu kurudi kipindi cha pili. Mechi ya Kwanza naipania Sana...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la board ya mikopo Helsb

    Kwa mwenye kujua namna ya utatuzi katika mfumo huu mpya wa bodi ya mikopo Helsb yaan kila niki attach file kwenye Guarantor id card in pdf form ina leta mrejesho wa Invalid file type naombeni msaada
  7. JamiiForums Tanzania Nadhani tatizo kuu la umasikini wa Watanzania linaanzia hapa...

    Unajijua kabisa huna Uwezo ( Fedha ) na Maisha mazuri kama GENTAMYCINE halafu kila mwaka Unampachika tu Mimba Mkeo huku ukiwa na sababu ya Kipumbavu ( Kipopoma ) kuwa kila Mtoto anakuja na Baraka zake.
  8. JamiiForums Tanzania Kutenguliwa ubalozi Dr W Slaa: Mnaliona tatizo ninaloliona?

    Dr Wilbroad Slaa ni mpinzani wa siku nyingi, toka kuanzishwa siasa za vyama vingi. Dr Slaa ni kama yule mchezaji katika timu, si wa kutegemewa sana, lakini anaweza kutokea nyuma na kufunga goli la ufundi. Tunaikumbuka List of Shame. Alopoteuliwa kuwa Balozi wengi tulishangaa sana, lakini ndo...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la wasiwasi na hofu

    Ugonjwa wa Wasiwasi (Anxiety disorder) unaweza kutokea ghafla, kama hofu, au hatua kwa hatua kwa dakika nyingi, saa, au hata siku. Wasiwasi unaweza kudumu kutoka sekunde chache hadi miaka na hudumu kwa muda mrefu. Wasiwasi ni kati ya mashaka ambayo hayaonekani sana hadi hofu kamili...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la PC

    Ninaomba anayejua jinsi ya kufix tatizo hili kwenye PC anisaidie. Nimejaribu kuupdate graphics. Nimeinstall window mpya lakini tatizo bado lipo. kuna muda huwa screen inakuwa sawa. Kuna muda screen inazingua kama hivyo. Chief-Mkwawa Ninatanguliza shukrani Nimeambatanisha picha hapa
  11. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Wizara ya Katiba na Sheria mpaka Mawaziri hawakai?

    Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni. Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani? Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015 2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019 2019 - 2020 2020 -...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la maji Kibaha Mwanarugali mwezi mzima hayatoki, huduma kwa wateja wanasema tumpigie Waziri Aweso

    Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso aje! Kweli ndio tumefika huko? Tukumbuke wakati tunaomba kazi, Amina.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme na maji

    Nakaa chini najiuliza kila Mara haya mambo mawili yatakwisha lini nchini mwetu? Swala la umeme limekua sugu Sana huku Mwanza hazishiki siku mbili lazima mshinde masaa 12 Bila umeme na hii inachukuliwa kama sababu pia maji hayapatikani kabisa. Miaka 60 ya uhuru. Hivi nikwanini huu umeme Kama...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

    Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la saratani ya ini

    Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo chake, baada ya hap tumeambiwa tiba ni india na marekani, saali ni je kansa ya ini ina matibabu huoo...
  17. JamiiForums Tanzania Diaspora wanatamani sana kuwekeza Tanzania tatizo watanzania wengi sio waaminifu

    Leo naandika kwa masikitiko makubwa kuhusu hali ya watanzania wengi kutokuwa waaminifu kwenye mambo ya msingi hasa yanayohusu pesa, kuna taarifa nimezipokea kutoka kwa rafiki wa rafiki yangu kwamba kuna rafikiye alipata connection ya kuingia partnership ya kibiashara na mtanzania mmoja aishie...
  18. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watoto wasiocheza nje (Wanaokaa Ndani Sana) wako hatarini kupata tatizo la Macho kutoona mbali

    Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho. Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni sisi wenyewe

    Mimi ni bwana mdogo tu sijaona mengi kbsaa kuliko kaka na baba zangu lakini katika hichi kipindi kidogo nilicho zawadiwa uhai na kuishi huku na kule pamoja na kuona haya na yale nmekuwa nikijiuliza kwanini mataifa haya ya Africa na hasa Taifa langu hatupigi hatua na sio kwenye eneo moja ni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuvimba uso wakati wa asubuhi

    Wandugu habari! Mzee wangu ameanza tatizo la kuvimba usoni kila asubuhi kwa wiki tatu sasa na baada ya muda mfano saa nne asubh kuendelea anakuwa powa! Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna mtu anafahamu hii hali, kwa sasa Mzee yuko kijijini nategemea kumfuata weekend hii ili tuwaone watu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…