taswira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Elon Musk anafifisha dhana ya matajiri kuwa juu ya wanasiasa na taswira ya umwamba juu ya masuala ya dunia?

    Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jua tunaloliona nyakati za mawio na machweo sio jua halisi

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii situation ikijadiliwa kuwa wakati wa mawio hadi kufikia mida ya saa 2 na pia mida ya kuanzia saa 12 kasoro mpaka jua linapochwaa, hilo jua tunaloliona si jua halisi. Ni taswira tu Kuna ukweli wowote kwenye hili?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Propaganda za CHADEMA na mkakati wa kuchafua taswira ya nchi

    Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho. Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usichukuliwe poa, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo 14 Oktoba, 2024. Amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na Wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania mnataka kunambia uteuzi wa kabudi na lukuvu ulibeba taswira ya ukombozi wa ngorongoro?

    nimeliona hili baada ya kuteuliwa hawa jamaa na je,hii presidency decree itakaa kwa muda gani?huwenda ni kwa mwaka mmoja but after election wamasai wanarudi kwenye maandamano. but all in all,CCM wana wajinga wengi wa kufikiri,
  6. JamiiForums Tanzania Taswira nyuma ya kinyago

    Wana mageuzi waliogeuzwa: Road Map to 2025. Walionja shubiri ya chamtema kuni. Unaweza pia kutumia neno "mchanja kuni." Kipigo na mateso vilionekana kama njia ya kujilinda, lakini pia vilikuwa ni visasi na onyo. Je, kuna kitengo maalum cha kuumiza, kutesa, na kupoteza watu ambacho kina kibali...
  7. JamiiForums Tanzania Majeneza getini mwa Hospitali ya Amana hayaleti taswira nzuri kwa Wagonjwa.

    Habari wanaJamiiForums. Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima tulionao. Pili nishukuru kwa jukwaa hili ambalo linatupa fursa ya kutema nyongo zetu kwa usalama. Kwa yeyote kati yetu ambaye ameshawahi kufika hospitali ya Mkoa wa Dar es Salaam (Hospitali ya Rufaa) atakubaliana na mimi kwamba kuna...
  8. JamiiForums Tanzania TEARS VIDEO: Hii Inaweza Kukupa Taswira kwa Nini Watanzania Mnanyimwa Elimu

    Naona kabisa kwa nini Elimu inakupa nguvu na uelewa katika maisha yako. Hawa kina mama wapewe ulinzi popote walipo na natamani waje wafanye indoor conference na seminars kwa wamama wa tizii!.
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo ya kuboresha katika Jiji la Dodoma ili kuleta taswira ya makao makuu ya nchi

    UTANGULIZI. Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati alipopewa wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi/CCM. Rais John Pombe Joseph...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taswira mpya ya Tanzania kuelekea 2030, katika nyanja tofauti tofauti za kimaendeleo

    Dira ya Tanzania Tuitakayo: Kukumbatia Mustakabali Tanzania inapokaribia enzi mpya, ni muhimu kuweka dira inayotupeleka kwenye mustakabali wa ustawi na endelevu. "Tanzania Tuitakayo" inajumuisha matarajio ya pamoja na mikakati inayoweza kutekelezeka ambayo inaweza kuubadilisha taifa letu katika...
  11. JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinamuonaje/vinatoaje taswira ya Mungu?

    Maandiko ya dini yanaamini kuwa binadamu wa kwanza ni adamu hii inakubaliwa katika pande zote za imani ya kiislamu na ukristo. Kwenye maandiko ya Bibilia yanasema kuwa mungu amekuumba kwa mfano wake na hata ukiangalia mwanzo wa ulimwengu aliummbwa adamu hivyo kwa nadharia hii wengi wa waandishi...
  12. 1

    JamiiForums Tanzania Jinsi Hyati Magufuli alivyochafuaga sera ya Mambo ya Nje na kupaka doa sehemu ndogo ya taswira ya mzee Mwinyi (kupitia kwa Rais Samia)

    Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa kumpatia zawadi mzee Mwinyi ambalo linatia doa haiba ya marehem mzee wetu. Kama sijasahau ilikuwa siku...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa umma kumiliki vitu vya anasa huku kundi la unaowatawala wakipitia dhiki haijengi taswira nzuri

    Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini. Tanzania kuna watu wengi sana wanaishi katika dhiki isiyo ya mfano, kama wewe ni mtafutaji wa mtaani au pembezoni mwa mji...
  14. JamiiForums Tanzania Kamchape wanachafua taswira ya Serikali

    Kutoka Kata ya Rungwe Mpya Kasulu Kigoma. Hivi karibuni kumezuka watu wanaojiita kamchape katika Mkoa wa Kigoma na viunga vyake, watu hawa wanadanganya wananchi kwa kutumia mazingaombwe kwamba wanatoa uchawi kitu ambacho si sahihi, mbali na jamii ya watu wa Kigoma kuamini hayo mambo, kikundi...
  15. JamiiForums Tanzania Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

    Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki. Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani...
  16. JamiiForums Tanzania Nyimbo za maudhui ya matusi zina utofauti gani na taswira ya madanguro?

    ■Mashairi ya matusi na ngono ■Kuvaa nusu uchi ■Uchezaji dance wa namna ya kingono Hauwezi ukaangalia hizi kama uko na mtoto wako au mtu wa wa kuheshimiana. Ila ndio nyimbo madogo wanakalili huku wakijijengea picha ya kuwa wanayao yaona au kuyasikia katika videos hizi ni ya kawaida na modernity...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

    Ukisoma na kutafakari kwa umakini kuhusu Yesu unagundua kwamba alikuwa ni wale watu ambao jamii inawachukulia kwamba wamepinda yani outcast. Hata wale wanafunzi wake aliokuwa akiongozana nao jamii inaonekaan ilikuwa inawachukulia kama watu wasiokuwa na maadili waliopotoka yani waliopinda. Ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Wanafunzi kushambulia kwa mawe Ofisi za Mtaaluma Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda kunatoa taswira gani kwa walimu na wanafunzi shuleni hapo?

    🥲
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Kutimiza ahadi kwa kiongozi ni taswira ya heshima yake: Ahadi ya mama ya goli moja sh 10M kwa Simba

    Wote tulisikia na tulielewa!! Kuwa mama amewaahidi simba sh 10M kwa kila goli watakalofunga!! Hayo maelezo ya ziada hakuyasema na hatukuyasikia (kuwa simba mpaka ishinde, kama angekuwa amesema hivyo, Msigwa asingekuwa na sababu ya kutoa maelezo na Simba isingetarajia pesa hizo) na yamekuja...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ni utamaduni sahihi kwa Marais kuteua viongozi wakiwa nje ya nchi? Inaleta taswira chanya?

    Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu? Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu? --- - Rais Samia ateua Katibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…