Wasalaam JF
Niende kwenye mada moja Kwa moja, hivi makatazo ya mikutano na uhuru wa kisiasa ilijikita katika muktadha upi na hi dhana ama kasumba ya viongozi na serikali ya CCM kuogopa kukosolewa, ni nini kama sio umwinyi na ujima wa kizandiki, na kama wanajiita chama Cha mapinduzi hayo...
Januari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais.
Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura...
Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi.
Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana...
Makamu wa Rais Dkt. Phili Mpango amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Camillus Wambura, kuangazia malalamiko yanayotolewa na #Wananchi kwa Jeshi la Polisi na kuwachukulia hatua askari wachache wanaoharibu taswira yake.
Dkt. Mpango amelitaka Jeshi hilo kutenda haki pasipo kuonea mtu yeyote na kwa...
Uteuzi wa wamama hawa wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao.
Inachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM...
Heshima sana wanajamvi,
Uwanja wa ndege wa kimataifa (KIA) Kilimajaro International Airport ni lango la utalii Tanzania.Uwanja huu umekuwa ukipokea wageni wengi wanaokuja kutalii katika Hifadhi zetu zilizojaliwa kila aina ya vivutio.
Bahati mbaya yupo askari mmoja kijana Mwanaume anayevalia...
Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ambae alifika nchini Marekani kuupamba Utalii, kuonana na Kamala Harris na kuhudhuria...
Soko la Karume limechomwa lote na hakikusalia kitu hata kimoja na wamachinga wapo hoi bin taaban yaani "they are devastated big time".
Soko la Kariakoo nalo liliunguzwa na sasa lipo kwenye matengenezo.
Yapo masoko mengine ambayo yamechomwa moto yote na kutekeketea kama lile soko maarufu ya...
Na Kelly Ogome
Kwa kipindi cha miaka minne iliyopita, mataifa ya Afrika Mashariki yameshuhudia mabadiliko makubwa katika uchumi na miundombinu. Haya ni kulingana na ripoti ya tathmini ya miradi ya Ukanda Mmoja,Njia Moja(BRI) iliyotolewa na Taasisi ya Sera ya Africa API.
Kenya ni miongoni mwa...
Alisikika Jaji Mkuu kwenye hafla ya kuapishwa Jaji Siyani:
"Hukumu zenu zizingatie mitizamo ya mihimili mingine."
Tulipo sasa tumemalizana na shahidi ambaye ushahidi wake umepokelewa kama ulivyo. Hii ni pamoja na kukutwa akiwa na maandiko ya chabo yaliyo batili kizimbani.
Huyu ni shahidi...
Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru.
Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome.
Utu
Demokrasia
Haki na usawa
Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililobeba mwili wa marehemu " funeral car"
Suluhisho ni nini?
Kufanya maombi mazito kama ni mkristo...
Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu
Kufanya tambiko Zito la...
Mtu yeyote mwenye kujua sheria anapoona tu kichwa cha thread hii, atasema sio sahihi, Rais Samia hapaswi kuingilia kati suala la mashitaka ya Mbowe ya Ugaidi kwa kuwa hapaswi kuingilia kati mhimili wa Mahakama. Ni kweli.
Lakini pia, Watanzania wengi sana wanaamini kwa dhati kwamba kesi ya...
Wapinzani wa Tanzania wanakasumba mbaya sana. Wao kila jambo ni kukosoa tu.
Wakiona serikali inajenga shule, hospital, barabara au stendi ya mabasi wao ni kukosoa tu.
Nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye miji yetu tangu JPM awe rais. Naweka baadhi ya mifano. Nilishuhudia mkoa wa Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.