tarime

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyashuhudia Gongolamboto leo hakika nitawashangaa sana wapiga kura wa Tarime kama watamchagua Mwita Waitara

    Kiukweli Mwita Waitara hafai kabisa kuwa mwakilishi wa wananchi popote pale Tanzania na duniani kwa ujumla. Mwita Waitara ambaye ni Naibu waziri tena Ofisi ya Rais amewatelekeza wapiga kura wake na sasa wanakufa hovyo kwa mafuriko baada ya madaraja karibia yote kubomoka jimboni kwake Ukonga...
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime ahamia Chama Cha Mapinduzi leo

    Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50. Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu. Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tarime: Mbunge aamua kupambana na Corona kwa vitendo, asambaza Sanitizer na vifaa vya kunawia Jimbo zima

    Huu ndio uongozi , Tukisubiri vya ALIBABA tutakwama
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wana Tarime mmenifurahisha sana

  5. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Haya mashamba ya bangi DC wa Tarime anajua?

    Kuna vijiji ukipita huko tarime unaweza hisi awako tanzania wako na nchi yao Hivi vijiji kuna mashamba mengi na kwa pembeni mtaona miwaa imezunguka Ukibahatika kuingia ndani unaweza dondoka gafla n bangi za kufa mtu Siohilo wananchi wamefikia hata kuvuna bila uwoga na kupeleka mzigo mpaka...
  6. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Tarime raha sana, chai ya asubuhi ni zaidi ya chakula cha mchana

    Mambo ya Tarime Hayo!
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tarime Mjini nako moto unaendelea

    Chadema sasa inashambulia kama kansa ya damu inavyoshambulia wahanga
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya ujenzi wa soko la Tarime mjini

    Wafanyabiashara walipewa notisi na Halmashauri ya Mji wa Tarime juu ya kuvunjwa vibanda vyao ili kupisha ujenzi wa soko la kisasa. Pamoja na hayo walitakiwa kulipwa fidia ya vibanda vyao kitu ambacho Halmashauri ya mji wa Tarime hakikufanya. Wenzao wa Geita walipovunja mabanda katika mji wa...
  9. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania WanaCCM wote Tarime waliohamia CHADEMA na kupokelewa na Heche warudi tena CCM!

    Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM. Thread...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa halmashauri watii agizo la Rais Magufuli

    Rais Magufuli alitoa agizo la kuwataka DEDs wa halmashauri zilizo vijijini lakini wenyewe wanaishi mjini kuhamia maeneo yao ya kazi ndani ya siku 30 na mwisho ni tarehe 07/11/2019. DED wa Tarime vijijini ameshafungasha virago na tayari yuko kijijini na amewataka watumishi wote kuwa wamehamia...
  11. Samantha Cole

    JamiiForums Tanzania Water everywhere, but no water for the residents of Tarime, Tanzania

    An open letter to His Excellency, President John P. Magufuli, President of Tanzania WATER, WATER EVERYWHERE - BUT NO WATER FOR THE RESIDENTS OF TARIME, TANZANIA? In our Holy Bible: Ecclesiastes 1:9 That which has been, is that which will be, And that which has been done, is that which will be...
Back
Top Bottom