tarime

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini anayekabiliwa na kesi ya mauaji aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Simon K pamoja na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya mauaji namba PI RM (MURDER) CASE NO. 4/2021 wameachiwa kwa dhamana hapo jana mjini Musoma. Jambo ambalo limewashangaza watu wengi kwani inajulikana wazi kuwa kesi hiyo haina dhamana. Hata hivyo mke...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba Wakuu wa Wilaya wa Tarime na Rorya watoke vyombo vya ulinzi na usalama

    Mh Rais kwa asili ya watu wa haya maeneo fujo, ubabe na kulindana pia hizi wilaya kuna baadhi ya wakulima wa bangi ,watumiaji na wasafirishaji na wizi wa mifugo, uvamizi na unyang'anyi wa kutumia silaha na ikizangatia haya mambo yanahusisha na nchi jirani (mpakani) Naomba ubadilishe mkuu wa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ukarimu Tuliopewa na Wakwe zetu kutokea Tarime tulipoenda peleka posa ni wakutukuka sana

    Wadau wa JF Hivi karibuni tulitembelea Tarime kwa ziara maalumu ya kutoa posa Nafurahi kuwajulisha Mchakato wote umekamilika ipasavyo na wahusika wanafurahia ndoa yao Niwashukuru kwa dhati Wakwe zetu kwa ukarimu mkubwa waliotuonyesha hususani kwa upande wa chakula Tulikula kila aina ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Kiongozi Mshamba wa UVCCM Tarime atangaza kipigo kwa wapinzani, wala hajaguswa na Polisi

    Ushahidi huu hapa .
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

    MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI. Tarime, 16 May 2021 Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sirari-Tarime: Inadaiwa Askari wa Kenya Wamewashambulia Wafanyabiashara wa Mahindi, baadhi wamejeruhiwa kwa Risasi

    Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo. Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital. Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara apokelewa na maelfu ya wapiga kura wake, hii ni uthibitisho kuwa aliiangusha ngome ya CHADEMA Tarime

    Mbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema. Hii ni uthibitisho kuwa ushawishi wake na nguvu zake kisiasa ziliisambaratisha ngome...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwita Waitara akagua kazi za ujenzi mkoani Mara

    Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua. Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kazi
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Watatu wafariki baada ya kutumbukia mtoni Tarime

    Watu watatu wamefariki dunia wilayani Tarime mkoani Mara kufuatia daraja la mto Msati uliopo katika barabara kuu ya Sirari - Mwanza kuvunjika na kisha kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani hapa. Akizungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
  11. School face

    JamiiForums Tanzania Tarime kama Tarime

    Habari wana Jf, Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Nimetembelea tarime mjini na vijijini kwa muda sasa lakini nimestaajabishwa kuona kila hotel kubwa au ndogo ya mjini au vijijini. Unapokua umeagiza msosi unaletewa kwenye sahani za plastic mwanzo niliona kama kitu cha kawaida...
  12. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Uhamiaji Tarime mnajua kuhusu hili?

    Wasalaam, Niende kwenye hoja moja kwa moja. Watumishi karibia wote wa shule ya msingi HEAGTON iliyoko sirari hawana vyeti vinavyotambulika? Watumishi 11 kati ya 13 wanadaiwa sio Watanzania na hawana nyaraka za kufanya kazi Tanzania. Je, uhamiaji Tarime mnalijua hilo au hizo ndizo posho zenu...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

  14. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

    Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi Yassini...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mara una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni Bunda Mjini: Robert Maboto(CCM) - Kura 31,129...
  16. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
  17. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania NECTA Kuweni makini na usimamizi wa mitihani wilayani Tarime

    Baraza la mitihani NECTA ongezeni macho katika usimamizi wa mitihani ya darasa la Saba wilayani TARIME. Kuna mbinu chafu zimebainika zitatumiwa na baadhi ya wamiliki wa shule za binafsi ili kufaulisha kwa kiwango kisicho Cha kawaida ili mwakani wapate wanafunzi wengi. Baadhi ya shule hizo ziko...
  18. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni. Hii...
  19. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi . Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya...
Back
Top Bottom