Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime adaiwa kubaka na kumlawiti binti wa miaka 16

SCOOBY DOO

Member
Dec 16, 2013
76
69


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, kambaka Binti mwenye umri wa miaka 16 ambaye alikuwa akifanya kazi ya kukusanya mapato katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime Kama kibarua.

Inasemekana siku ya tukio Mkurugenzi alimchukua binti huyo waende naye Musoma akidai Baba yake yuko Musoma anahitaji kuonana naye.

Walipofika Musoma akampeleka Guest moja (jina kapuni) akimdaganya Kwamba Baba wa huyu Binti atakuja hapo, matokeo yake akamwingilia kwa nguvu mbele na nyuma hivyo kusababisha kumpasua pasua vibaya.

Kwa sababu ya maaumivu makali Binti huyo alipiga kelele Sana ndipo mlinzi wa Guest alikuja kuokoa jahazi. Inasemekana Binti alikuwa bikra.

Siku ya ijumaa vyombo vya dola vilionekana Ofisi za Halmashauri ya Mji vikiwa busy na mafaili mbalimbali. Takukuru na TISS walishinda kwenye Ofisi hizo.

Hata hivyo inasemekana Mkurugenzi huyo amefanikiwa kuwatuliza waandishi wa habari wasiandike chochote kuhusu tukio hilo, wamepewa kiasi cha shilingi milioni mbili mbili na mpaka Sasa hakuna chombo chochote cha habari kilicho report tukio hilo pamoja na kuwa taarifa zimesambaa mji mzima.

Hii sio mara ya kwanza kwa Mkurugenzi kukatwa na case Kama hii. Akiwa DAS Wilaya moja mkoa wa Arusha alikamatwa kwa nyakati tofauti akifanya ngono Ofisini hatimaye alisimamishwa kazi, aliporejeshwa Kazini alipandishwa cheo na kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime.

Huko Tarime tukio hilo si la kwanza pia, kaishakamatwa mara nyingi ugoni, na tukio kubwa kabla ya hili la huyu Binti ni kuwa alikamatwa na mke wake usiku wa manane akiwa amehama chumbani kwake na kwenda kwa Binti wa kazi akambaka.

Kazi anayofanya kwa sasa ni kuhakikisha anafuta ushahidi kwa kugawa pesa kwa Sehemu anayofikiri inaweza kumsaidia.

Kaimu Mkurugenzi aliyepo, anafanya kazi ya kufoji taarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na mikataba ya kazi ya vibarua wakishilikiana na Kaimu Afisa Utumishi.

Taarifa za ndani zinaonesha ametongoza na amefanikiwa kutembea na watumishi wanawake wengi walio makao Makuu ya Halmashauri na wanao Mkataa hupewa adhabu ikiwa ni pamoja na barua Kali, kusikamishwa kazi au kuhamishwa na wengi wao huamuwa kujihamisha.

Watetezi wa Wamama, Taasisi mbalimbali mnaombwa mjitokeze kumsaidia huyu Binti aliyeharibiwa
 
Duh yaani ahonge milioni milioni wote hao tena 2 au 4! Waandishi wote kahonga, madaktari duh! Ana hela nyingi hivyo anambakaje binti wa 16?!!! Hii case inatakiwa isikilizwe na upande wa pili pia, hatuwezi jaji.
 
Duuh hizi tuhuma ni kubwa kwelikweli.
Jinsi Haya(paragraph) tatu za mwisho zilivyo andikwa zinaleta hisia hapa kuna vita nyingine kubwa tofauti na tuhuma za kumnajisi huyo binti.

On another note, ilikuwaje binti wa miaka 16 aruhusiwe kufanya hiyo kazi?
Hiyo si ajira ya watoto kinyume na sheria za nchi na za kimataifa za kulinda watoto?
Wazazi na watoa ajira/kibarua wana shitaka la kujibu pia.

Watetezi wa haki za watoto angalieni maslahi na haki za mtoto huyo, kuhusu kunajisiwa na kuhusu ajira.
 
Kama ni kweli, na ni ngumu sana kujua ukweli, ni hatari sana!
Kama ni kweli, JF imeanza kuimarika, japo headless ni wengi na wanaongezeka.
 
Back
Top Bottom