tarime

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tarime: Polisi watumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi waliotaka kumshushia kipigo ajuza

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakitaka kumshushia kipigo ajuza ambaye jina lake halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 60, wakimtuhumu kuhusika na kupotea kwa watoto watatu kwa njia za...
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Tarime: Mwalimu wa Madrasa akamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo

    Mwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo. Soma mwenyewe hapa chini. ====== MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Cowiti anusurika kuuawa Tarime na genge la wauaji, wadhurumati, wafanya magendo wakishirikiana na baadhi ya maafisa, asota mahabusu

    Mnamo Tarehe 30 Desember 2022, Majira ya saa 6 usiku, maofisa wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa walifika katika Hotel ya PKM Tarime Mjini na kumkamata Ndugu Lameck Cowiti. Operation ambayo ilionekana ya siri maana walimdaka nje ya uzio kabla hajaingia hotelini. Alikuwa akitokea katika...
  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Nimesikia Tarime iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania

    Kutoka Radio One asubuhi hii saa 12:50 kipindi cha Nipashe, Nimemsikia msoma risala ya kumuaga Kiongozi mmoja wa JWTZ akisema Chacha Suguti alizaliwa wilaya ya Tarime - mkoa wa Mara uliopo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania!!! Hivi reference point huwa iko wapi tunapotaja hizi locations? Je, ni...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dkt. Dorothy Gwajima, Ukeketaji wa mabinti wadogo washika kasi TARIME na DAR mwaka 2022

    Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda? Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti? TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari. Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa...
  6. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Nipeni location nzuri ya kulala kwa Tarime Mjini

    Wakuu, habarini za Jioni humu ndani. Nipo njiani kulekea Tarime mjini naomba kupewa msaada wa hotel nzuri ya kupumzikia kwa budget ya Tsh.100,000/=kushuka chini yenye manthari mazuri ila kusiwe na bar humo ndani na palipotulia sana, now nipo maeneo ya nyumbani kwao na Kichele hapa. Kukiwa na...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Serikali inaua wananchi wangu wa Tarime vijijini. Tume zinaundwa na hakuna majibu

    Namsikiliza mbunge wa Tarime vijijini ana hoja nzito juu ya raia ambao ni wananchi wa jimbo la Tarime vijijini anatoa ushahidi wa majina na ya raia waliopigwa risasi na waliouwawa na waliojeruhiwa. Blah blah za George Simbachawene zikataka kumziba Waitara. Spika akaomba ushahidi juu ya tuhuma...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara ashiriki uchaguzi wa ndani ngazi ya shina Tarime. Mahudhurio ni hafifu kabisa dah!

    "Wenyeviti wa mashina na wajumbe wake ni watu muhimu sana kwa sababu wanakaa na wananchi, ndiyo wanaopokea changamoto na kutupa sisi taarifa kama viongozi wao hivyo tuendelee kushirikiana ili tuweze kuwaleta wananchi maendeleo" Mwita Waitara, mbunge wa himbo la Tarime vijijini.
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania TARIME: Kada wa CCM auawa kwa kisu katika ubishi wa kisiasa kati ya CCM na CHADEMA

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Sokoni Kata ya Sirari Wilayaní Tarime Mkoaní Mara, Moshi Sayi Maduhu, ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kifuani karibu na shingoni baada ya kutokea ubishi wa kisiasa kati yake na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tarime: Wasimulia kuwashwa, kuharisha, kutapika, kuhara damu, mifugo kufa kisa maji ya Mto Mara

    Baada ya tetesi na hatimaye matamko rasmi kutolewa mara kadhaa kuhusu madhila yanayotokana na maji ya Mto Mara, ripoti zaidi zimeendelea kutolewa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kinachoendelea katika mto huo. Awali ilidaiwa kuwa kuna kimikali zenye sumu katika Mto Mara ambazo nyingi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Mbunge huyu, Tarime Mjini tumepigwa

    Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake. Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime. Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani. Hata...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Katibu Mkuu UVCCM maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa CCM kwa UVCCM kitaifa Wilaya ya Tarime mkoa wa Mara

    KISHINDO CHA KATIBU MKUU UVCCM KENANI KIHONGOSI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KUZALIWA CCM KWA UVCCM KITAIFA WILAYA YA TARIME MKOA WA MARA Tarehe 3 Februari 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndug: Kenani Labani Kihongosi ameambatana na Mwenyekiti wa Chipukizi UVCCM Taifa...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

    Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wana Chadema chuki dhidi ya Waitara zitawasaidia nini? Kuisambaratisha ngome yenu tarime isiwe nongwa, kama katoswa muacheni kivyake.

    Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya? Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Tarime Mjini akiwasaidia watoto wa mtaani kubeba makopo

    Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee Jamaa anajali sana , ana utu kupita kiasi
  16. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mkutano wa Injili Mubashara Kutoka Nyamongo Tarime Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja

    Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

    Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa . Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa yaingia Tarime, wazee na wajane hatarini

    13 August 2021 Tarime, Mara Tanzania BOMOABOMOA YAINGIA TARIME, WAZEE NA WAJANE HATARINI Wakaazi washangaa kwanini TARURA wanataka kubomoa nyumba ambazo zipo ktk mji wa Tarime wakati kuna option / mbadala wa kutengeneza by-pass / barabara kupita nje kidogo na kuziacha nyumba hizo kama kuna...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jembe kiboko lilimaliza CHADEMA likifundisha watoto wa wapiga kura Tarime

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni. #NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini anayekabiliwa na kesi ya mauaji aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Simon K pamoja na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya mauaji namba PI RM (MURDER) CASE NO. 4/2021 wameachiwa kwa dhamana hapo jana mjini Musoma. Jambo ambalo limewashangaza watu wengi kwani inajulikana wazi kuwa kesi hiyo haina dhamana. Hata hivyo mke...
Back
Top Bottom