tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tabia ya marafiki kukutafuta tarehe ya mshahara

    Kuna watu hawana aibu yaani siku zote hakupigii simu eti ikifika tarehe 23 ndo unaona missed call zake hio NI ujinga aibu Sana afu unakuta ni mtu mkubwa tu.sisi tunakula bata kila siku tunapojisikia kama unadhani tunaishi kwa mshahara pole Sana.
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania 21st to remember. Tarehe 21 ya kukumbukwa.. A count down!

    Bwana Humphrey Polepole keshatuandaa vema kumsikiliza leo tar 21. O8. 2025.. Ni tangazo lenye hamasa kwamba litatokea jambo kubwa.. Kwa maneno yake ya siku za nyuma aliwahi kusema wasipomsikiliza basi ataongea ambayo hawatapenda kuyasikia Kwa tafsiri ya haraka ni kwamba leo tarehe 21. O8.2025...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya RITA Temeke huduma za kutoa vyeti vya kuzaliwa kuna changamoto kubwa

    Nimetuma maombi ya cheti cha kuzaliwa toka tarehe 2.8.2025 na maombi yameshalipiwa lakini watu wanaokaa kwenye mfumo wa kupitisha hivyo vyetu hawafanyi kazi Yao ipasawavyo
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Tarehe yako ya kuzaliwa na maana yake

    TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE. Hizi ni tabia za kilamtu kulingana na tarehe aliyo zaliwa kuanzia tarehe moja hadi 30. Terehe 31 tunaihesabu sawa na tarehe moja. 01. Mtu alie zaliwa tarehe 1 atakua ni mtu wa bahati sana na maisha yake ni marefu. 02. Mtu alie zaliwa tarehe 2...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea tarehe 23.08.2025

    Tarehe 23.08.2025 ni siku iliyotangazwa na Kanisa Katoliki Tanzania kuwa itakuwa ni kilele cha maombi makuu kuhusu HAKI na AMANI katika Nchi yetu. Naomba kuwaalika Watanzania wote wenye mapenzi mema, watu wa Dini zote na imani zote za Makabila yote na wanaokerwa na vitendo vya uvunjifu wa haki...
  7. Sajo

    JamiiForums Tanzania Foleni Kimara Stop Over mpaka Suka - tarehe 16.08.2025

    Habari za jioni wakuu. Nimepita mida hii jioni leo tar 16.08.2025 mitaa hiyo ya Kimara Stop Over kuelekea Suka na kukuta kamba ndefu kiaina, lakini sababu leo ni gari dogo kuungua likiwa barabarani. Sijajua chanzo cha gari hilo aina ya Toyota Premio New Model kuwaka moto.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

    Hamjambo wote! Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

    Wanaukumbi. No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM. Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia. Rais Samia anachangiwa na kila...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya kupokea tarehe 8/8 (nanenane) je, inalipwa tarehe hiohio au inasogezwa mbele?

    Habari za majukumu na heri ya sikukuu ya wakulima ya nanenane wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kila taasisi,shirika na kampuni mbalimbali huwa na tarehe maalumu ya kuwalipa wafanyakazi wake. Je kwa wale ambao tarehe yao ya mshahara ina angukia tarehe nane(8),maana yake kwa mwezi wa...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Amini tu kama unavyo amini tarehe yako ya kuzaliwa wakati uliikuta imeandikwa tu na wazazi wako. Kila kitu ni Historia

    Amini tu. Kama unavyokubali tarehe yako ya kuzaliwa bila kuhoji. Uliikuta tu imeandikwa kwenye cheti, ikisimuliwa na wazazi au walezi wako, na ukaikubali kuwa ndiyo siku uliyotangulia kuja duniani. Hujawahi kuikumbuka wewe mwenyewe, lakini unaishi kuiamini kwa moyo wako wote. Hujawahi kuhoji...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

    Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Tarehe 1-7 Agosti, NCHI itasimama! Chawa Watashangazwa. Kwa Sasa MIOYO yao imefanywa kuwa Migumu ili washangazwe

    Wakuu Kwa Ufupi naendelea kurudia kile kile nilichokisema Jana !! Hamna Uchaguzi Oktoba 2025. LISSU anaachiwa. Reforms zitafanyika. Ili haya yote yatimie, Kuanzia tarehe 1-7 ya mwezi ya Nane Kuna matukio yanaenda Kuwashangaza Machawa kwelikweli !! Oyaa Machawa wa Mama, Narudia, Mwisho wenu...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye Link ya Mkutano Mkuu wa CCM unaofanyika online Leo tarehe 26.8.2025 Tafadhali!

    Ninaomba atupatie!
  15. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Tutasogeza tarehe mpaka uchaguzi uwe mdomoni. Game itakuwa Over

    Halula! Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Makala: Kamati kuu ya CCM na Halmashauri kuu Zitakaa tarehe 26/07/2025

    Kamati kuu ya CCM itakaa 26/7/2025 na Uteuzi wa wagombea utafanyika28/7/2025 Source Channel ten
  17. Griss

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

    Sasa ni rasmi yupo mtu kati Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa Hakuna mtu ataweza kumteka tena Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi Hakuna kitu atakipanga kisivuje Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua. Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo. Tanganyika...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hautapigwa Penalty Tena Kama Utazikumbuka Hizi Tarehe

    Wewe kama mfanya biashara mara kadhaa unaweza kuchelewa au kusahau ku file taxes zako kutokana na sababu kadha wa kadha. Lakini vipi kama nikikwambia Kuna tarehe 3 tuu ambazo ukizishika hauta Chelewa tena ku file taxes? Yes ni tarehe 7, 20 na 28 Ngoja nikuvunjie hapa chini ili ujue ni tarehe...
  19. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Namsihi Humphrey Polepole asitishe press ya tarehe 17, tafadhali sana

    Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Ewe CEO wa kampuni hakikisha unafanya haya kabla ya tarehe 30/6/2025 kuepuka faini ya TZS 300,000

    • Kulingana na Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Kodi ya Mapato ya mwaka 2004, pamoja na kifungu cha 39 na 48 ya Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya mwaka 2015, kila kampuni iliyosajiliwa, biashara ya ubia, na biashara binafsi yenye mauzo ya kuanzia TZS milioni 100 kwa mwaka, inatakiwa kuandaa na...
Back
Top Bottom