Kwa mtazamo wangu nadhani maamuzi mengine yanahitaji fikra yakinifu na si msukumo wa wadau.
Ikiwa wametangaza siku ya sensa kuwa siku ya mapumziko, na kwa nijuavyo si rahisi karani kuzifikia kaya zote kwa siku moja.
Labda kama mapumziko hayo yangekuwa ya wiki nzima. Ama sivyo, watumishi...
Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana
Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000?
Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi...
Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma.
Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko.
Je, na...
Afisi ya Rais
Harambee House
Nairobi, Kenya
Mkuu wa Utumishi wa Umma, kufuatia uchaguzi mkuu anatoa mwongozo unaoainishwa kikatiba jinsi mambo ya kukabidhiana ofisi ya Urais mara IEBC itapotangaza mshindi wa kiti cha Urais.
Ulinzi kwa Rais Mpya, shughuli ya Uapishwaji Rais na jinsi kamati...
12 Agosti 2022
Vyombo vya kimataifa vilivyoalikwa na IEBC kuwa waangalizi wa mchakato mzima wa uchaguzi Kenya 2022, vimetoa pongezi kwa jinsi mchakato mzima kuwa kuelekea uchaguzi na zoezi la upigaji kura, utangazaji matokeo pia vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza wajibu wao bila...
Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu!
Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo?
Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote.
Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha...
Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu.
===
Aliyoyazungumza waziri Mkuu.
Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
Habari ndugu wanajukwaa..
Kiukweli inashangaza kwamba Leo tarehe 25 July ni Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wa Nchi hii lakini hakuna hata mtu anaefahamu zaidi ya kuwaona Viongozi wa Serikali Wakijikosha kwenye majukwaa..
Kiukweli kwa Heshima ya Watu waliomwaga damu,jasho zao na nguvu Lai...
Abdallah Kibadeni akaishia kupiga zake hat trick ya kwanza na ya pekee katika derby ya kariakoo. Utopolo mpaka leo wameshindwa kulipa kichapo hiki.
Naambiwa baada ya mechi hii, bakora za kutosha zilitembea sana jangwani!
Kwahyo sio mbaya wakati tunaenda mbele tusisahau na tulikotoka, Utopolo...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo.
Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
Leo ni July 15, Ni kumbukukizi ya siku ya kuzaliwa kwangu.
Naomba Nichukue sekunde zako chache Tuwatakie wote waliozaliwa terehe kama ya leo kheri na fanaka tele katika maisha yao!
Mimi hupenda kusoma magazeti kwa sababu mbalimbali. Katika magazeti ya nyumbani Gazeti la mwananchi halikosikani katika menu yangu pale inapowezekeana
Mada
Leo nimesoma article inayosema "Harufu kali machinjio ya Vingunguti yaleta kilio". Kilichonifanya kuandika humu si harufu wala kilio, ni...
Salaamm Wakuu,
Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo wanaohofu kwamba Watahamishwa. Tuisome kwa Pamoja na tutafakari, je kulikuwa na Lazima ya kutokukaa meza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.