Kwa haya Malengo yetu Yanga 2022-2023. Simba mtavurugana sana. Kuanzia tarehe 13/08/22 ni kilio mpaka tarehe x/08/23.Natoa tamko Rasmi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,355
11,500
Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa wanyonge vichochoroni. Yaani mtanyongeka kinyama. Siyo kidogo.

Yanga tunaanza kwa mbwembwe. Tunachukua ngao ya jamii. Then tunaanza kukaa pale juu kileleni kwenye ligi. Kwa kushinda match ya kwanza bao za kutosha tu. Hapo ndo msahau. Simba na azam mtagombea nafasi ya pili.... Hamna chenu tena mwaka huu. Hii team ina mikakati ya hali ya juu sana . Nasema nyie acheni tu mtanyongeka kinyama... Ndo mjue hili ni bonge la team. Na mtaumia kinyama maana tunapiga mguu ndani tunapiga mguu nje. Yaani ni mwendo wa kusambaza vipigo tu.

Nasema hivi kama tarehe 13/08 tusipomfunga simba nipewe ban ya siku 7.
 
Hakika kinye Fc.mmepagawishwa
simba mtalia sana mwaka huu.. mtalia kinyama .. mtalia ndani mtalia nje. mtalia ofisini mtalia nyumbani. kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa wanyonge vichochoroni. yaani mtanyongeka kinyama. siyo kidogo.

yanga tunaanza kwa mbwembwe. tunachukua Ngao ya jamii. then tunaanza kukaa pale juu kileleni kwenye Ligi. kwa kushinda match ya kwanza bao za kutosha tu. hapo ndo msahau. simba na azam mtagombea nafasi ya pili.... hamna chenu tena mwaka huu. hii team ina mikakati ya hali ya juu sana . nasema nyie acheni tu mtanyongeka kinyama... ndo mjue hili ni bonge la team. na mtaumia kinyama maana tunapiga mguu ndani tunapiga mguu nje. yaani ni mwendo wa kusambaza vipigo tu.

NASEMA HIVI KAMA TAREHE 13/08 TUSIPOMFUNGA SIMBA NIPEWE BAN YA SIKU 7.
 
Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa wanyonge vichochoroni. Yaani mtanyongeka kinyama. Siyo kidogo.

Yanga tunaanza kwa mbwembwe. Tunachukua ngao ya jamii. Then tunaanza kukaa pale juu kileleni kwenye ligi. Kwa kushinda match ya kwanza bao za kutosha tu. Hapo ndo msahau. Simba na azam mtagombea nafasi ya pili.... Hamna chenu tena mwaka huu. Hii team ina mikakati ya hali ya juu sana . Nasema nyie acheni tu mtanyongeka kinyama... Ndo mjue hili ni bonge la team. Na mtaumia kinyama maana tunapiga mguu ndani tunapiga mguu nje. Yaani ni mwendo wa kusambaza vipigo tu.

Nasema hivi kama tarehe 13/08 tusipomfunga simba nipewe ban ya siku 7.
Sawa mandonga
 
Attachments

  • 20220807_140206.jpg
    20220807_140206.jpg
    95 KB · Views: 5

Bahati mbaya mmeanza msimu vibaya tayari. Bila Manara, Yanga si lolote. Manara hoyeee!
 
Ya pili singida big nyota, ya Tatu azam, ya pale juu simba. Wanaobaki Sina takwimu zao
 
Back
Top Bottom