tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Mkongwe, Boniface Kikumbi Mwanza Mpango (King Kikii) amefariki dunia

    Kwema Wakuu? Niko mahali hapa nasikia taarifa zisizo njema kuhusu huyu Mzee, zina ukweli wowote? ===== Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza Mpango maarufu King Kikii amefariki dunia. Amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fundi Ujenzi afariki dunia kwa kukosa Huduma ya Kwanza ndani ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki – EACLC, Ubungo

    Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora. Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
  3. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

    Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amefariki Dunia leo Novemba 9, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India. Rais Samia Suluhu Hassan ameandika katika Mitandao yake ya Kijamii kuhusu Kifo cha Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, "Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa kiongozi wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Selemani Kissoki afariki, azikwa Dar

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtayarishaji nguli na mtunzi wa muziki Quincy Jones afariki dunia

    Quincy Jones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alifariki usiku wa Jumapili nyumbani kwake Bel Air, Los Angeles, akiwa amezungukwa na familia yake. Quincy Jones alikuwa mtayarishaji maarufu wa muziki, mtunzi, na mpiga ala, anayejulikana kwa kazi zake na wasanii kama Michael Jackson na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kigogo ACT Wazalendo afariki dunia

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya kifo chake imetolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman, imeeleza kuwa Gumsani...
  7. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Msumbiji(SISE) Bernardo Lidimba afariki kwa ajali ya gari

    Kifo cha ghafla cha Bernardo Lidimba, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Msumbiji (SISE), katika ajali ya gari iliyotokea jana kimetikisa sekta ya kisiasa na kiusalama ya nchi. Tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna maandamano makubwa yanayoendelea kufuatia matokeo ya...
  8. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

    Mwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

    Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania [JWTZ], amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake, Butiama mkoani Mara. ===== WASIFU Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Narada Muni

    LOKAPALA SABHAKHYANA PARVA Vaisampayana said, "While the splendid Pandavas sit in that sabha with the great Gandharvas, O Bhaarata, the Devarishi Narada arrives in that assembly, he who is a master of the Vedas and the Upanishads, he whom the Devas worship, he who knows the Itihasas and Puranas...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji Pembe afariki dunia

    Mzee Yusufu Kaimu mchekeshaji mkongwe maarufu kama Pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zimethibitishwa na Msanii wa Filamu, Vincent Kigosi “Ray” na taratibu za mazishi zinafuata. ===== Mwigizaji na Mchekeshaji Mkongwe Nchini Tanzania, Mzee Yusuph Kaimu maarufu...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tabora: Dereva wa lori la kuchanganyia mchanga afariki dunia

    Dereva wa gari kubwa ya kuchanganyia zege yenye namba za usajili T. 414 BPD ambaye jina lake halijafahamika kwa haraka, amefariki dunia, huku watu wengine watatu wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori hilo na gari ndogo lenye namba za usajili T. 531 ANP. Ajali hiyo imetokea katika mtaa wa...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge afariki dunia nchini India

    Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo October 12,2024 alfajiri akiwa Nchi India alipokuwa akipatiwa matibabu. August 02, 2024 Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 na aliagwa kwa kukagua gwaride rasmi la kijeshi katika Viwanja vya Mgulani...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afariki kwa kupondwa korodani na uume

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo...
  15. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa TATA GROUP (Ratan Tata) afariki dunia

    Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo usafirishaji, Vyakula, Usafiri wa anga. Ratan Tata Amefariki leo akiwa na umri w miaka 86, katika hospital...
  16. Huihui2

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachana wa Black Panther Dr. Ikaweba Bunting Afariki dunia

    Anaanfika Prof M. Martin Mhando Profesa Ikaweba Bunting ni mtu wa kukumbukwa kweli. 1. Kama mtengeneza filamu alikuwa katika crew iliyotengeneza filamu ya kwanza kubwa Tanzania, Fimbo ya Mnyonge (1972) 2. Alikuwa Soundman 3. Alikuwa Mmarekani Mweusi wa kwanza kufanya kazi katika studio...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

    Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

    Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili. Amefariki usiku wa leo. --- TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa leo Oktoba 4, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Muhimbili Kwa mujibu wa taarifa...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kwa wastaafu wa TBC waliokuwepo kazini miaka ya 60 na waliokuwa wapenzi wa kusikiliza TBC miaka ya 60, tanzia hii huenda inawahusu

    Miaka ya 60 alikuwepo mtangazaji maarufu jina lake Kwege Munthali, mtangazaji huyu alijipatia sifa sana kutokana na umahili anapokuwa studio kama ambavyo wenzake nao walijipatia sifa za aina hiyo tofauti na hawa tulionao sasa. Bahati mbaya yeye na wenzake walifariki mtaa wa Shaurimoyo Ilala Dar...
  20. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mcheza kikapu wa zamani wa NBA, Dikembe Mutombo afariki dunia akiwa na miaka 58

    Mchezaji mstaafu na maarufu wa Basketball wa ligi NBA nchi Marekani Dikembe Mutombo amefariki leo akiwa na miaka 58. RIP the greatest shot blocker in NBA history. ============== Basketball Hall of Famer Dikembe Mutombo – known for his shot-blocking and famed finger wave after denying...
Back
Top Bottom