tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Padre Dkt Fidelis Mgimwa kuzikwa leo jumatatu Julai 29,2024

    Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Roho ya Marehemu ilale mahala pema peponi
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

    Mfanyabiashara Maarufu mjini Njombe bwana Godfrey Ndambo amevamiwa na kujeruhiwa vibaya na watu Wasiojulikana usiku wakati akirenea nyumbani kwake ambapo baadae alifariki kutokana na majeraha hayo,Polisi wamethibitisha. Baada ya kuvamiwa walimpora pesa kiasai Cha Milioni 47 na kutokea...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Waziri wa Elimu Mstaafu Mzee Nazar Nyoni afariki dunia

    Naibu Waziri wa Elimu wa zamani wa Serikali ya Tanzania wa Awamu ya Kwanza, Mzee Nazar Nyoni, amefariki dunia jana tarehe 19/07/2024 majira ya saa 3 asubuhi nyumbani kwake Morogoro baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mzee Nyoni amefariki akiwa na miaka 92. Marehemu aliwahi kuwa Naibu Waziri wa...
  4. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje mtu kama majambo alikufa masikini huku akiwa katelekezwa?

    Niaje waungwana, Kwa wale wakongwe wenzang wa enzi zile za miaka ya 80s kurudi nyuma, na hasa wazawa halisi wa mkoa wa Dar es salaam nafikiri mnamjua au kumkumbuka mzee fulani kwa jina mzee Majambo aliekuwa anazunguka mkoa wote wa Dar es salaam na marimba yake akiimba nyimbo zake za kitamaduni...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

    Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano. Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Said Nyange afariki akihiji Mecca na kuzikwa hukohuko

    Sheikh Said Nyange amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 48 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa Makka nchini Saudi Arabia alipokwenda kuhiji na tayari ameshazikwa hukohuko baada ya kupata ridhaa kutoka kwa familia. Kazaliwa Machame,kazikwa Mecca Saudi Arabia
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

    Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni mkoani humo. Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo. Picha kutoka eneo ilipotokea...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi. Spika Tulia ametangaza kifo hicho leo Alhamisi June 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 46 cha mkutano wa 15 wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mhasibu jiji la Mwanza afariki ajalini akiwahi kwenye mazishi

    Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika leo wilayani Kwimba mkoani hapa. Akizungumza na Mwananchi kwa simu Jumanne Juni 4, 2024, Kamanda...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RPC Ruvuma asema Mtuhumiwa aliyejeruhiwa kwa risasi ya mguu wakati kitoroka amefariki Dunia

    Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Elinaike O. Ulomi amefariki Dunia.

    Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mmoja afariki kwenye msafara wa Rais Ghana

    ACCRA, Ghana - Mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya msafara wa Rais Akufo-Addo kupata ajali, akirejea Ikulu ya Accra baada ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Ejisu John Kumah. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Makutano ya Bunso, Mkoa wa Mashariki. Taarifa ya Jeshi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dereva pikipiki afariki baada ya kugonga Bundi Tanga

    Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Swedy Mwinyi wa TBC afariki Dunia

    Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua. Apumzike kwa Amani
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo mwenye...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TANZIA Director Khalfani afariki Dunia

    Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye Ubongo lililomsababishia kupata Kiharusi (Stroke) upande wake wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki akijaribu kuogelea

    #HABARI Kijana mmoja anayefahamika kama Boaz Sanga ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza, amefariki baada ya kuzama wakati akijaribu kuogelea kwenye ziwa Viktoria. Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Jeshi la zimamoto Mwanza Kamila Laban, amesema kijana...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanafunzi SAUT afariki akiwa ameenda kuogelea ziwani

    Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach. Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao walikuwa wameenda Nao kuogolea katika Maeneo hayo ya Kando kando ya Ziwa Na Na Kifo hicho kimetokea...
  19. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  20. itakiamo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji Bi. Ubwa afariki Dunia

    Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea. ======= Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia ya "ZAHANATI YA KIJIJI" wengi walimfahamu kwa jina la BI UBWA amefariki dunia leo...
Back
Top Bottom