tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwigizaji Maggie Smith afariki akiwa na umri wa miaka 89

    NBC News wametangaza kifo cha Dame Maggie Smith, kilichothibitishwa na watoto wake na mratibu wa habari. Wanawe, Chris Larkin na Toby Stephens, walitoa taarifa ya pamoja wakisema: "Kwa huzuni kubwa tunatangaza kifo cha Dame Maggie Smith. Alifariki kwa amani hospitalini mapema leo asubuhi."...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz

    Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema. Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa. JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho. Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yule mwizi wa darajani Kawe alifariki dunia na kuzikwa

    HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA AMEFARIKI NA MAZIKO YAMESHAFANYIKA KIJANA ALIPELEKWA SHAMBA HOSPT KAWE WAKAMPELEKA MUHIMBILI HATIMAE...
  4. Musoma Yetu

    JamiiForums Tanzania Uelekeo wetu, viongozi wetu na tulipofikia: Tanzania au TANZIA?

    Ndugu zangu habarini za hapa jamvini....! Musoma yetu niliwamisi sana hapa jamvini. Ni takribani miaka 4 sikuwa active humu, mara ya mwisho ilikuwa 2021! Ni mengi tumepitia hii nchi toka 2015_2024! Nilichogundua 1) Wananchi wanaipenda nchi yao, ila viongozi wengi hawana mlengo huo! Wapo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ted Kalanda Harrison, Mtunzi wa wimbo wa 'Jambo Bwana' au 'Hakuna Matata'afariki Dunia

    Msanii wa muziki na Mtunzi wa wimbo wa 'Jambo Bwana' maarufu kama 'Hakuna Matata' kutoka Kenya Ted Kalanda Harrison amefariki Dunia Septemba 17, 2024 Taarifa ya kifo cha Msanii huyo imethibitishwa na ndugu yake, John Katana akisema Ted amefariki baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu. Ted...
  6. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu afariki dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Juliana Mahongo amefariki dunia leo Septemba 15, saa 1:00 asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa ya CCM iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa, Lumen Ngunda imeeleza kuwa mwenyekiti huyo amefariki wakati akipatiwa...
  7. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua afariki akipokea matibabu jijini Nairobi

    Wadau hamjamboni nyote? Msiba mzito huko kenya Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua afariki akipokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi, Katibu wa Kaunti Balozi Abass Ali athibitisha. Lamu Deputy Governor Raphael Munyua dies while receiving treatment at a hospital in Nairobi, County...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rapa Rich Homie Quan afariki dunia

    Rapa Rich Homie Quan (34) amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 5, 2024 na taarifa za kifo cha msanii huyo zilianza kusambaa mtandaoni, huku wasanii wenzake kama Boosie Badazz na wengine wakituma salamu za pole katika kurasa zao za mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tovuti ya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

    Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya. Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania TANZIA MOZART MBENA AMEFARIKI DUNIA. ALIKUWA DJ MAARUFU MBEYA.

    Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ! Tutaonana baadae.
  11. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwimbaji maarufu kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za msiba mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana usiku akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Shemeji wa marehemu, Tecla...
  12. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Doga amefariki Dunia

    SHEIKH DOGA AMEFARIKI DUNIA Kutoka ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam إنا لله وإنا إليه راجعون INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN Mmoja wa Masheikh Maarufu na bobezi mno katika fani ya Shariah Sheikh Muharram Juma Doga amefariki usiku wa kuamkia leo Jumanne na kuzikwa wakati wa Adhuhuri...
  13. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Binadamu Mzee Zaidi Duniani Afariki Dunia

    Mtu mzee zaidi duniani, Maria Branyas Morera wa Uhispania, ambaye alizaliwa nchini Marekani na kuishi katika Vita ya Pili Dunia, amefariki akiwa na umri wa miaka 117, familia yake ilisema Jumanne. "Maria Branyas ametuacha. Alikufa kama alivyotaka: usingizini, kwa amani na bila maumivu," familia...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mtuhumiwa afariki kwa kujinyonga katika Mahabusu ya Mahakama

    Tarehe 13.08.2024 majira ya 12:20hrs huko katika Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, Seleman Mzirai Kibiki, Miaka 49, Fundi magari na Mkazi wa Kiluvya, Kisarawe alijinyonga akiwa mahabusu ya Mahakama akisubiri kupelekwa gerezani mara baada ya kutiwa hatiani. Marehemu alihukumiwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Umbwe boys afariki dunia akifanya mazoezi

    Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi shuleni hapo. Mwanafunzi huyo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma, anadaiwa kufariki dunia juzi...
  16. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa. === Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma. Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea...
  17. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Kavana (alishiriki Maasi ya 1964) afariki dunia!

    Mzee Kavana, aliyekuwa Captain Kavana mwaka 1964 na aliyechagulia na askari wa Tanganyika Rifles walioasi ili awe kiongozi wao badala ya wazungu, amefariki jana 9/8/2024. Captain Kavana wakati huo alikuwa hana hili wala lile huku askari waasi wakishinikiza kuwa kwa vile tumepata uhuru, lazima...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Issa Hayatou, Rais wa zamani wa CAF afariki dunia

    Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou wa Cameroon, amefariki dunia mjini Paris siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77. Kulingana na Afrik-foot, kifo cha Hayatou kimethibitishwa na vyanzo kadhaa vya kuaminika, akiwemo mwenzake wa zamani Gerard Dreyfus na mwandishi...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TANZIA Connie Chiume: South African TV star dies aged 72

    Connie Chiume, a veteran South African actor who appeared in Marvel film Black Panther, has died at the age of 72, her family has announced. The multi-award-winning actress starred in several South African TV shows including Rhythm City, Zone 14 and most recently, Gomora. Chiume was a trained...
  20. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

    Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury. Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na...
Back
Top Bottom