Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,514
4,001
Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Taarifa ya kifo chake imetolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman, imeeleza kuwa Gumsani alikuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
1730707190355.png
 
إنا لله وإنا إليه راجعون
Mungu ajalie akutane na mola wake pasina shari
 
Back
Top Bottom