Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kuanzia Nyerere mpaka awamu hii, chama cha CCM, watawala na raia wengi huwa wanawachukulia kwa mtazamo hasi sana watu wanaoutuka urais wa Tanzania.
Kwa nini inaonekana ni vibaya kuutaka urais wa Tanzania wakati wowote ule ikiwa tunasema hii ni nchi ya kidemokrasia na kila mtu ana haki ya kuwa...
Nchi watu wamechoka mbaya lakini misafara ya magari kibao bila sababu. Yaani viongozi badala ya kufanya kazi ni kunzuka zunguka tu kama machawa na wakubwa
https://youtube.com/shorts/CetGAOZ6Qs4?is=dRy7WAtOIgpbKAAG
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Serbia kuongeza uwekezaji nchini Tanzania, akisisitiza kuwa wakati umefika kwa urafiki wa muda mrefu wa zaidi ya miongo sita kati ya Tanzania na Serbia kutafsiriwa...
Nimeota ndoto kubwa sana kwamba namba nne Hana makucha Tena
Ndoto ilienda mbali zaidi kuwa nguvu zimebaki kwa mtoto wa namba sita.
Ndoto ikaenda mbali zaidi kuwa namba nne alitaka aweke mtoto wake pale kwenye namba mbili na amegonga mwamba.
Kibaya zaidi mtoto wa namba sita ndiye mkuu wa idara...
Wana-Jamii,
Jana tarehe 31 Agosti 2026, Innovation Week Tanzania (IWTz2026) ilifunguliwa rasmi pale JNICC Dar es Salaam chini ya kaulimbiu: "From Aspirations to Transformation: Innovating Tanzania's Path to Inclusive Prosperity."
Uzinduzi wa jana umeonyesha nia kubwa ya kuunganisha ubunifu wa...
Kwa kweli hali ya baadhi ya barabara za Mbeya inakera. Mashimo yamekuwa mengi kiasi kwamba kuendesha gari au pikipiki katika baadhi ya maeneo ni kama kufanya mtihani wa kila siku.
Sasa tuwaulize wananchi:
Ni jiji gani Tanzania mnaona lina barabara mbovu kuliko Mbeya?
Kwa Mbeya, ni barabara au...
Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), tunawaomba angalau mtupunguzie mojawapo ya kero nyingi sana katika nchi hii, kwamba unapopiga namba yeyote ya Customer Service, iwe ni kampuni za simu, mashirika ya umma, biashara, NGO nk, ili mradi iwe ni customer service, basi...
Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443
Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
Wadau mnakumbuka lile andiko la kuhusu Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania) kulalamika kuwa uamuzi wa chuo hicho kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40 waliokuwa kwenye marudio (Supplementary) warudie tena mtihani wa Written Practical Assessment (WPA)...
Anonymous
Thread
kukagua
law
law school
law school of tanzania
mitihani
school
tanzania
utaratibu
vifaa
wakati
Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa taarifa rasmi ikithibitisha kukamatwa kwa Denise Dusauchoy nchini Tanzania tarehe 30 Agosti 2026 kupitia ushirikiano wa kisheria wa kimataifa.
Muhtasari wa Taarifa Rasmi ya Wizara:
Eneo na Tarehe: Mtuhumiwa alikamatwa tarehe...
Kuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa...
Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
Mahitaji ya vyakula vyenye virutubisho yanaendelea kuongezeka, huku watu wengi wakitafuta bidhaa zinazoweza kuwasaidia kupata lishe bora. Hali hii inafanya biashara ya unga wa lishe kuwa fursa nzuri kwa mjasiriamali anayetaka kuanza kwa kiwango kidogo na kuikuza hatua kwa hatua.
Hata hivyo...
Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida.
Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
Nyota wa Tanzania Alphonce Mabula amejiunga rasmi na klabu ya JS Kabylie ya Algeria.
Mabula awali alihusishwa na kujiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Young Africans SC (Yanga SC) katika dirisha kubwa la usajili, lakini hatimaye ameibukia JS Kabylie.
Usajili huo unamuweka Mabula katika...
Ukiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20
Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch
Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo
Itatumika kwenye scientific study kama weather...
Katibu Mkuu wa Chadema anaendelea kutoa ushahidi wake.
Mahakama imerejea muda huu saa tisa kasoro alasiri.
Majaji wameingia tayari na Ajuaye Zengeli anasema wako tayari.
Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika anapanda kizimbani.
Anasimama KATUGA anasema atakuwa na maswali machache labda kama...
UZALENDO HAUNA VIPANDE
Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri.
Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imetawazwa tena kuwa Bodi Bora ya Utalii Afrika kwa mwaka 2026 (Africa’s Leading Tourist Board 2026), na hivyo kuifanya kuwa mara ya tano mfululizo Tanzania kushinda tuzo hiyo katika World Travel Awards.
Kwa ujumla, Tanzania imeibuka mshindi katika vipengele vitano...
Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi:
Mimi sipingi maandamano. Ninaunga mkono haki ya wananchi kuandamana kwa amani.
Maandamano ni sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.