Kila nikijiuliza sipati jibu, juzi hapa nimekutana na ndugu yangu hatujaonana kitambo sana. Katika kupiga stori akaniambia kati ya sigara au bangi kuna kimoja unatumia. Nikamuuliza umejuaje? Akasema nimeona tu mdomo mweusi.
Sasa hawa wenzetu kina Bob Marley, Snoop Dogg, Wiz khalifa, Obama, Lil...