Ndege nyingine ya Tanzania yazuiliwa Canada.

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,542
3,451
Waziri wa mambo ya nje ameonesha kusikitishwa na zaidi ya hapo kukasirishwa na kitendo kinachofanywa na Canada kila ndege ya Tanzania inapotaka kutoka hapo.
Kwa maneno yake...."siyo Canada peke yao ndiyo wanaotengeneza ndege".
Natamani tufukue hili kaburi tujaribu kuona kulikoni Canada?
 
Mimi shule ni shida Sana,lakini nijiuliza tatizo ni Canada ? Au Kuna mtu anadai? Sina shaka hata tukienda kutengenezea ndege Vietnam bado huyu mkulima atakwenda.Kwa sababu tatu 1..,,,Anadai haki yake
2......Ana nia ya kudai
3......Ana uwezo wa kudai
Mimi niliyekimbia darasa naona si busara kutafuta political credit Kwa watanzania.Jadili kilicho chake apewe .Tutafanikiwa kumzungusha lakini atatutesa sana.CANADA HAISUKIIIIIII .Salaam kutoka Kapalangamgese Katavi
 
Wasalime Ibindi mkuu kuna mgodi wangu huko soon nakuja
 
Back
Top Bottom