Unadhani kutakuwa na msisimko tena wa kisiasa hapa Tanzania?

Cyangungu

Member
Nov 7, 2019
45
54
CCM na Magufuli hatimaye wameshinda!

Kama kuna kosa kubwa wapinzani walifanya ni kususia Uchaguzi wa Viongozi ngazi ya Serikali za mitaa unaofanyika hii leo wakidhani wanaikomoa CCM na Serikali pasina kufahamu kwa kufanya hivyo wanawasaidia Watanzania kutokuwa na morali tena wa kushiriki siasa.

Madhara ya uamuzi wao ni mabaya hasa kwa upande wao kwasababu tayari wamewasaidia wananchi kuvunjika moyo na hata kwa siku za usoni itakuwa ni vigumu kuwarejeshea tena ile amsha amsha iliyokuwa tayari imeanza kuwajaa ndani ya vichwa vyao.

Binafsi, siamini tena endapo kutakuwa na msisimko tena wa kisiasa hapa Tanzania.
 
CCM na Magufuli hatimaye wameshinda!

Kama kuna kosa kubwa wapinzani walifanya ni kususia Uchaguzi wa Viongozi ngazi ya Serikali za mitaa unaofanyika hii leo wakidhani wanaikomoa CCM na Serikali pasina kufahamu kwa kufanya hivyo wanawasaidia waTanzania kutokuwa na morali tena wa kushiriki siasa.

Madhara ya uamuzi wao ni mabaya hasa kwa upande wao kwasababu tayari wamewasaidia wananchi kuvunjika moyo na hata kwa siku za usoni itakuwa ni vigumu kuwarejeshea tena ile amsha amsha iliyokuwa tayari imeanza kuwajaa ndani ya vichwa vyao.

Binafsi,siamini tena endapo kutakuwa na msisimko tena wa kisiasa hapa Tanzania.
kwani wewe unasimamia nini upinzani au ccm au huna upande kama ni ccm si ufurahi sasa
 
Wapinzani hawakujitoa bali waliengiliwa nchi nzima. Wao walitimiza wajibu tu wa kukaa pembeni wasije wakaambiwa walishiriki wakashindwa.
 
.
CCM na Magufuli hatimaye wameshinda!

Kama kuna kosa kubwa wapinzani walifanya ni kususia Uchaguzi wa Viongozi ngazi ya Serikali za mitaa unaofanyika hii leo wakidhani wanaikomoa CCM na Serikali pasina kufahamu kwa kufanya hivyo wanawasaidia Watanzania kutokuwa na morali tena wa kushiriki siasa.

Madhara ya uamuzi wao ni mabaya hasa kwa upande wao kwasababu tayari wamewasaidia wananchi kuvunjika moyo na hata kwa siku za usoni itakuwa ni vigumu kuwarejeshea tena ile amsha amsha iliyokuwa tayari imeanza kuwajaa ndani ya vichwa vyao.

Binafsi, siamini tena endapo kutakuwa na msisimko tena wa kisiasa hapa Tanzania.
IMG-20191124-WA0093.jpeg
 
Back
Top Bottom