Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,651
- 5,122
Jana wakati Prof.Makulilo anawahudhurisha wahitimu kuna dada amekabidhiwa PhD ya matumizi ya Vipodozi kama sikosei ,"The case of Bongo Movies"
Nilisikiliza topics za PhD zilizotolewa jana na UDOM kwa kweli naona hata mimi soon na enroll PhD pale UDOM.
Nilisikiliza topics za PhD zilizotolewa jana na UDOM kwa kweli naona hata mimi soon na enroll PhD pale UDOM.