tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Uhuru Kenyatta: Ungetatua kwanza mgogoro na Wananchi wako si Tanzania

    Ndugu yangu Uhuru aka Kamwana, Kuna mambo umeyafanya ambayo yameleta ghadhabu wa wakenya sasa unataka kutupia lawama mataifa jirani kama ambavyo Trump anavyolaumu China kwa matatizo yake ya ndani. Ushauri wangu tulia jifunze kutatua matatizo wa wanakenya kwa kutumia mikakati ya kimagharibi...
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

    Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa. Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuona tuna msimamo imara suala la Corona lakini mwishoni gharama yake inaweza kuwa Tanzania kukosa heshima na kupoteza urafiki na nchi jirani

    Sikatai kwa nchi hata Tanzania kutokuwa na msimamo na kukubali kuyumbishwa ndani na nje ya nchi. Ninachowaambia ni kwamba katika masuala ya mahusiano, ndani na nje ya nchi, tunapaswa tujue namna ya ku balance kati ya kuwa na msimamo, kutoyumbishwa na udiplomasia. Kuwa na msimamo haina maana...
  4. JamiiForums Tanzania Uturuki yarudisha raia wake nyumbani kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania kutokana na maambukizi ya Corona

    Raia wa Uturuki wamehamishwa kutoka Ujerumani na Tanzania mapema Jumapili na kuwekwa chini ya kizuizi(karantin) cha siku 14 ili kupunguza kuenea kwa virusi vya corona. Jumla ya Waturuki 157 kutoka Ujerumani wamepelekwa mkoa wa Kayseri na baadaye kupelekwa katika mabweni ya wanafunzi kwa ajili...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Mungu wetu, dunia na taharuki zake

    Wananzengo uzi huu ni maalumu kwa maelezo ya picha bila maneno mengi. Kama una habari yoyote katika picha, tupia hapa bila kuandika maneno mengi. Comments ziwe fupi kama za Bujibuji
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

    HOTUBA YA MBUNGE FREEMAN MBOWE KWA UFUPI Nimezungumza na Rais kwenye simu nimemuambia tafadhali shirikisha Jamii pana ya Watanzania ili jambo tulibebe wote, huu ni msiba na msiba haachiwi Mtu mmoja, kwa nia njema kabisa, tushirikiane kwa pamoja kwenye mapambano haya dhidi ya virusi vya corona...
  7. JamiiForums Tanzania Kila baya wanaloliombea Taifa letu hawafanikiwi. Mungu yuko pamoja na Tanzania

    Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani. Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

    Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili 17 Mei 2020 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili. Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
  9. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa

    Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi a
  10. JamiiForums Tanzania Je, nini hasa huvutia wageni kwenda kuuona mlima Kilimanjaro kwa upande wa Kenya badala ya Tanzania?

    Kuna baadhi ya wadau walifikia hatua ya kusema tuweke pazia kubwa mlima Kilimanjaro kama la dirisha ili kuzuia usionekane bali tu kwa kutokea upande wa Tanzania, ila hicho kitakua kituko. Sasa tutafakari, kama ni ndege kubwa za kuketa watalii kwa direct flights tumeshanunua, kama ni kiwanja...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuaje leo kama Oscar S. Kambona angewahi kuwa Rais wa Jamhuri? Tutafakari kwa Jicho Pevu

    Ndugu zangu, Ni kweli historia ndio mhimili wa usuli wa taifa lolote. Tumesoma na kufunzwa mengi kuhusu, Nyerere, lakini pia tumechokonoa mengi kuhusu Kambona. Je, hivi leo, najiuliza, kama Kambona angelipewa nafasi ya juu. Nchi yetu ingekuwa na picha gani?
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Though the blame of COVID19 spread is on Tanzania, Nairobi has no water for weeks now

    MY TAKE Majirani muache husda malipo yapo hapahapa duniani! Msipoangalia hili suala la ukosekanaji wa maji, infection itaongezeka kupita maelezo!
  13. JamiiForums Tanzania An open letter to my President, Dr. John Magufuli of Tanzania

    OFISI YA RAIS, IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA, 11400 DAR ES SALAAM, TANZANIA Dear Mr. President, First of all I would like to thank the god for the life he has given us. Allow me to congratulate you personally and on behalf of the citizens from Tanga Region and Tanzanian as whole on your...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Uchumi wa Tanzania kuporomoka kuna haja ya maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba kufanyika mwaka huu?

    Kabla ya yote naomba kukiri kwamba mimi na makampuni yangu tumeshiriki maonesho ya kibiashara ya kimataifa kwa zaidi ya miaka 10 , tukijikita zaidi kwenye local products kwa ajili ya export ( yaani bidhaa za kitanzania za kuuza nje ya nchi ), 90 % ya bidhaa zetu tunauza Ulaya na Marekani...
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia atoa amri ya kufunga mpaka wa Tanzania na Zambia

    Leo tarehe 10/05/2020 Rais wa Zambia Edgar Chagwa lungu ametoa amri ya kufunga mpaka wa Zambia na Tanzania (Nakonde) na kupiga marufuku mtu yeyote pamoja na magari au treni kuingia na kutoka Mji wa nakonde. Mji wa nakonde umepakana na mji wa tunduma ambapo ndo mpaka wa Tanzania na zambia ulipo...
  16. JamiiForums Tanzania A country called "Little Tanzania Republic"

    There is a country which is known as " Little Tanzania Republic" To Tanzania, this country is like what Toto Africans Football Club is to Dar Es Salaam Young Africans". They love us so much. To them we are what the Europeans are to us. Ukienda kwenye mji mkuu wao ni kama upo Kariakoo. Hata...
  17. JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

    Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufiwa na ndugu yangu ndiyo nimegundua Tanzania tunachemka

    Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali. Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni nini mkakati wa Tanzania kuhusu COVID-19?

    Leo nimewiwa niandike machache kuhusu hili janga la COVID-19. Ni ukweli usiopingika kwamba huu ugonjwa umelipuka kukiwa hakuna maandalizi makubwa ya kukabiliana nao duniani. Mambo mengi hayajulikani na hata jinsi ya kukabiliana nao bado ni mtihani mkubwa. Nchi nyingi duniani zimeanza kupata...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya classifies Namanga border town with Tanzania as COVID-19 high-risk area

    FILE PHOTO: Children walk past a signage at the border crossing point between Kenya and Tanzania in Namanga, Tanzania. REUTERS/Njeri Mwangi/File Photo The Kenyan government on Wednesday classified Namanga, the border town with Tanzania, as a COVID-19 high-risk area following a surge in numbers...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…