Ni msiba mkubwa sana, kwa takribani miaka 20 tunapata simanzi kubwa ya kitaifa. Benjamini kamwambie Mwalimu Tanzania inakwenda vizuri kutimiza ndoto alizokuwa nazo Mwalimu,
Hatutakukumbuka kwa kibinafsisha mashirika, kwa hotuba zako nzuri za kisomi na mpangilio nadhifu, hatutakukumbuka...