tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM. Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  3. JamiiForums Tanzania Mlitudharau na Kutupuuza sana pale tuliposhauri kwa nia njema tu kuwa 'Mwamba' asirejee sasa nchini Tanzania

    Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampa maagizo Mmarekani: Kawaambie wenzako Tanzania imeweza kwa nguvu ya Mungu

    Mapema leo Rais Magufuli akizungumza na TAG, alimwaga kimombo kwa Mmarekani aliyekuwepo ukumbini akimpa ujumbe wa kuupeleka kwao huko Marekani. Siku za hivi karibuni wale waliokuwa wanayatumia hayo mafua ya Corona kama silaha ya kisiasa dhidi ya Rais Magufuli, siku hizi wamekuwa wapole sana...
  5. JamiiForums Tanzania UHAKIKI VYETI: Tanzania tunaendeleza baadhi ya itifaki na michakato iliyopitwa na wakati tunapoteza muda bila sababu

    Kuna baadhi ya michakato (processes) na itifaki (protocols) ambazo tulirithi toka kwa wakoloni na awamu zilizopita ilikuwa muhimu wakati ule sababu office automation haikuwepo. Kwa sasa hali ni tofauti baada ya maendeleo makubwa ya teknolojia ya mawasiliano. Kuwadai watu wanao omba kazi au...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu Shambulizi na utekaji wa Bandari ya Msumbiji na IS

    ...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Sababu zinazoifanya Tanzania Itambe na kutembea kifua mbele dhidi ya majirani zake

    MOSI Makampuni mengi ya kusafisha madini yalikuwa nchi jirani na yameajiri watu wengi. Mfano wa makampuni hayo ni makampuni ya kukata Tanzanite waliyokuwa wanaitegemea kutoka Tanzania. Hivi sasa Tanzania imedhibiti utorashaji wa madini ya Tanzanite, hivyo ukidhibiti utoroshaji na ukaanza...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Lissu Mzalendo anayepigania maslahi ya Tanzania na Watanzania

    Tanzanian authorities attempt to silence activists on Bulyanhulu case 17 JANUARY 2002 Tanzanian authorities have arrested Rugemeleza Nshala, President of the Lawyers Environmental Action Team (LEAT), and raided the house of another LEAT lawyer, Tundu Lissu in connection with their...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu wa Tanzania; Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti (Mfano: Msukuma Vs Mzaramo) kisha ukaumia nafsi yako...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ikishutumiwa kufanya upendeleo kwa vyombo vya Habari itaonewa?

    Mada inahusika. Kumekuwa na wimbi shutuma la kuminywa kwa habari kwa vyombo mbali mbali lakini vile vile kumeonekana upendeleo wa wazi. Kuna haya magazeti likwemo la "TIMES OBSERVER" "JAMVI LA HABARI", "LA JIJI" na mengineyo yamekuwa yakikiuka taratibu za uandishi na hatujaona hatua za wazi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kusindika nyama chazinduliwa Tanzania

    Tanzania inazindua kiwanda kikubwa cha kusindika nyama katika EAC. TanChoice itakuwa na uwezo wa kuchinjia na kusindika ng'ombe 1,000 na mbuzi 4,500 na kondoo kwa siku kwa kutumia vifaa vya hali ya juu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uhamiaji: Wagombea kwenye uchaguzi mkuu ni lazima awe raia wa Tanzania vinginevyo atatenguliwa!

    Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu. Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Umati mikutano ya wadhamini wa Tundu Lissu inaitangaza Tanzania kimataifa, watalii njooni Tanzania hakuna corona

    Tangu aanze kuzunguka kutafuta wadhamini Tundu Lissu amekuwa akipokewa na umati mkubwa sana wa watu tena hawajavaa hata mabarakoa. Vyombo vya habari vya nje mnaofuatilia harakati za Tundu Lissu kusaka Urais wasiishie tu kutaka kumhoji Lissu bali pia watende haki kwa kuutangazia ulimwengu kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Album ya Tanzania ndani ya awamu ya tano 2015-2020

    Tulipitia mabadiliko katika pesa ya kikokotoo. TRA akawa msiba wa samaki katika koo kwenye biashara zetu. Speaker alivyotaharuki baadaya Zitto kuzuia mkopo wa elimu usije Tanzania. Bunge letu lilikosa meno kabisa. Serikali ya CCM na ripoti ya CAG hatimae CAG aliachia ofisi.
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tulimkataa Mkenye kuwa Mkurugenzi wa Vodacom lakini tukaruhusu Egyptian!

    Watu weusi wengi tuna jichukia/self hate. Serikali ilimkataa Mkenya kuwa CEO wa Vodacom Tanzania kwa kisingizio tunahitaji mkurugenzi Mtanzania. Cha kushangaza mkurugenzi wa Voda Tanzania sio Mtanzania ni Egyptian. Sasa ni kwanini tumkatalie Mkenya lakini tumruhusu Egyptian!!. Hata wataalamu...
  17. JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu? Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC) -- Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Lipumba kupokelewa kesho Agosti 13,2020 jijini Dar es Salaam

    Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof.Ibrahim Haruna Lipumba atapokelewa kesho agosti 13,2020 akitokea jijini dodoma kuchukua fomu ya NEC.atapokelewa ubungo na viongozi wakuu wa chama,wanachama na wapenz kwa ujumla.
  20. JamiiForums Tanzania China - Tanzania Security wameshindwa kuilinda miundombinu ya UDART (Mwendokasi)

    CT Security ndiyo waliopewa jukumu la kulinda miundombinu ya Mradi wa mabasi ya mwendokasi: Kimara hadi Kivukoni, Morocco hadi Gerezani, Depot yao pale Jangwani na feeder stops kama zile za Shekilango, Kinondoni. Katika feeder posts sasa hivi kumeshaanza kufunguliwa bolt na nuts zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…