CONSULT
Senior Member
- May 8, 2011
- 194
- 199
WHO ARE THEY ? Educated, Skilled, Experienced Corporate CEO's In Tanzania compare to our neighbors ?
Moja ya changamoto kubwa tulionayo kwenye maendeleo ya ujasriamali hatimaye uchumi ni kukosekana kwa hawa watu muhimu (local content)kwa ngazi ya kitaifa na wawe kama role models kwa jamii nzima na vizazi vifuatavyo.
Hoja yangu kubwa hapa kama mnakubaliana na mimi ni nini au mikakati gani ifanyike kuokoa jahazi, kuukomboa uchumi wetu ambao uko hatarini kuendelea kwa kasi kumilikiwa na wageni ?
Bahati mbaya sana hivi majuzi tumewapoteza hao wachache na muhimu sana kwa taifa (Mzee MENGI, Mzee MAFURUKI n.k)
Tunawahitaji wote Employed(Intrapreneurs)Wajasriakazi kama Bob collymore aliyekuwa CEO wa Safaricom and Self employed(Entreprenuers) Wajasriamali kama mzee Mengi.
Tuendelee ! !