tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Marekani: Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti yataka Uchaguzi wa Tanzania uwe na uwazi, mchakato huru, wenye haki na amani

    Kuelekea uchaguzi baadae mwezi huu nchini Tanzania, kumekuwa na mashambulizi dhidi ya upinzani na sauti za kiraia, kizuizi kwenye vyombo vya habari na mapungufu kwenye uhuru wa wananchi. Kunatakiwa kuwepo uwazi, mchakato huru, wenye haki na amani kuendelea mbele. ===== Updates from The U.S...
  2. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu kilema cha maisha kwa vijana wa Tanzania

    FAHAMU KIDOGO KUHUSU LOAN BOARD NDUGU! Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao. Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA, yaani watoto wa maskini. Sheria...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wanafanya kazi kwa uhuru Tanzania

    Serikali ya Tanzania inaendelea kuheshimu na kulinda tasnia ya habari na wanahabari kuweka misingi imara ya sheria inayofanya watendaji wake kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mhimili mwingine wa Nchi. Tasnia na wanatasnia wa Tanzania wapo huru na wanaendelea kulindwa na kuheshimiwa, ili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania "Rationality" ya wapiga kura Tanzania inashangaza

    Hivi karibuni katika mazungumzo yangu na marafiki zangu ambao ni watumishi wa umma niliwauliza kuhusu mtazamo wao kuhusu mambo yafuatayo ndani ya muktadha wa kampeni za uchaguzi mkuu. Mambo hayo ni (a) Umuhimu wa katiba mpya (b) Maslahi ya watumishi wa umma. Jamaa hao wote walikiri kwamba...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania Elections Watch yaiandikia barua NEC kutokana na kongezeka kwa uvunjifu wa amani

  6. JamiiForums Tanzania Cybercrime Alert: Vijana watukutu, kuwavalisha barakoa bibi na bwana katika nembo ya taifa (Tanzania Coat of Arms) pia ni kosa la kimtandao. Usijaribu

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Bado sijaona mtanzania aliyefanya kitendo hiki lakini ninatoa tu tahadhari kwa ndugu zangu hawa wa Graphics Designing pamoja na wale wazee wa Photoshop. Kucheza na nembo za taifa sio jambo nzuri kupitia sanaa ya picha. Barakoa zilivuma sana...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Kwamba Tanzania inawahitaji wote, Tundu Lissu na Magufuli. Mmoja akishinda mwingine awe PM

    Moja kwa moja kwenye mada... Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda. Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona. Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hasemi ukweli kuhusu wazee Tanzania

    Jana tarehe 01 Oktoba ilikuwa ni Siku ya Wazee duniani. Tumemsikia Magufuli kwenye Kampeni akiwalaghai Wazee na watanzania kwa ujumla wao ati Serikali yake ya CCM inawajali Wazee na inawalinda kwa nguvu zote! Huo ni urongo na Unafiki mkubwa na pengine ni lugha tu ya kuombea kura! Kuna matatizo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

    Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Fomunyo aitaja Tanzania kama miongoni mwa nchi ambayo demokrasia yake imeteteleka

    Dkt. Christopher Fomunyoh, ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa shirika la National Democratic Institute (NDI) ambalo linafanya kazi kusaidia na kuimarisha taasisi za kidemokrasia ulimwenguni kupitia ushiriki wa raia, uwazi na uwajibikaji serikalini, ameelezea hali ya kudhorota na kurudi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni mfano unaokatisha tamaa ya Afrika kunyanyuka

    Sera ya Magufuli kuwasakama wapinzani na kubinya haki za kiraia na kidemokrasia pia mipango mibaya ya kiuchumi kuiangamiza nchi hiyo iliyokuwa mfano wa kuigwa Afrika Kulikuwa na dalili Africa imeanza kuvunja mwiko au tuseme baadhi ya nchi za bara hili zinataka kujikwamua na Tanzania ilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania. Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF. =======
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania mabingwa wa kutetea Haki nchi za nie na kulinda Amani. Na Uchaguzi uwe huru, uwazi na haki

    Tangu tupate Uhuru na tangu zama za Mwalimu Nyerere Tanzania ilijitoa kupigania Haki kwa nchi zote zilizokua zikionewa hapa duniani. Sio tu nchi kuonewa bali hata jamii yoyote kuonewa Tanzania iliitetea jamii hiyo. Sio tu nchi na au jamii, bali pia hata mtu binafsi alipokua akionewa huko kwao...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa jibu la mmoja wa wagombea Urais nchini kwetu Tanzania, hivi Katiba ya nchi inasemaje haswa juu ya uhuru wa faragha (privacy)?

    Kuna mgombea mmoja wa kiti cha Urais amekuwa akinukuu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (toleo la 20 Juni, 2005) ibara ya 16 mara anapojibu swali la waandishi wa habari akiwemo yule wa BBC wakati wa hardtalk kuhusu masuala ya ushoga. Ibara hiyo inahusu haki ya faragha na...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Yeremia Maganja: Tanzania ni nchi yenye maziwa na asali

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini viwanja vya Bitale Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania nipeni 'Rukhsa' ya 'Kuwashikisha' Adabu Wanaume 'Dhaifu' na 'Wazembe' kama hawa kwani Wanatutia mno Aibu

    Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Alfayo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumkata mke wake kiganja cha mkono wa kulia kwa sime kwa madai ya wivu wa kimapenzi. Nipashe Ukiona Mwanaume yoyote anafanya 'Upumbavu' na 'Ushamba' huu jua...
  18. JamiiForums Tanzania Félicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa yaamuru mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda ashtakiwe Tanzania

    Mahakama moja ya kukata rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka msukiwa a mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein kabuga kushitakiwa nchini Tanzania. Bwana kabuga alikamatawa nyumbani kwake nje ya mji wa Paris baada ya miaka 26 kama mtoro. Takriban watu 800,000 waliauwa nchini Rwanda katika...
  19. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchache wa abiria na mizigo wafanya SGR nchini Kenya kuendeshwa kwa hasara. Je, Tanzania tutakwepa hali hii?

    Hi ni habari katika mtandao wa The Africareport.com ambapo imeripoti kuwa, uchache wa abiria na volume mdogo ya mizigo plus madhara ya COVID19, kumesababisha reli hiyo kuendesheshwa kwa hasara na sasa wanashindwa kulipa mkopo uliotumika kujenga reli hiyo. Habari hii inaeleza kuwa, tatizo...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UPO KIHALALI Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofunguliwa na baadhi ya wanaharakati. Mapema leo Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata ameeleza kuwa mahakama hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…