tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Akili za kukariri na kuhariri katika siasa za Tanzania

    Matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania yameanza kutoka tangu tarehe 29/10/2020 na Chama cha CCM kwa asimilia kubwa kinadalili ya kushinda ushindi wa kishindo. Vyama vya upinzani wakiwa wanabeza na kukariri kwamba CCM imepata ushindi kwa kuiba kura, kuendelea kukariri hivi ni makosa makubwa sana pia...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

    Kwanini upinzani umeanguka vibaya: 1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote. 2) Hakuna...
  3. JamiiForums Tanzania Magufuli kuwa Rais wa kwanza Tanzania utawala wake chuki kutawala katika jamii?

    Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa! Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale. CCM kitakua ndicho chama kitakachochukiwa na watu wote katika jamii na hata wao watachukua na wenyewe...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani huko Tanzania mjilaumu wenyewe, mliingia kichinjioni mkiona

    Upinzani wa Tanzania mjilaumu wenyewe tu, maana chaguzi za serikali za mitaa mligomea na kuona kilichotendeka, CCM walizoa kila kitu bila kupepesa macho, maana kwamba walikua tayari kuwafuta kwenye historia ya nchi, walikua tayari kufanya chochote na lolote bila aibu. Sasa mmekuwa mkilaumu...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo BRT ya Tanzania wenzangu

  6. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuuita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina ya Kiingereza?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuiita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina yake ya Kiingereza? (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Kongo...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

    Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
  8. JamiiForums Tanzania Joe Biden akichaguliwa anaweza kusaidia kuleta mageuzi ya kisiasa Tanzania baada ya "uchaguzi"

    Tofauti na Donald Trump Joe Biden anaamini kuwa Marekani inatakiwa kuhamasisha dunia kwenye mambo mbalimbali ikiwepo mambo ya mazingira na demokrasia. Baada ya huu "uchaguzi" nategemea "rais" atajaribu kuwarubuni wapinzani kwa kuwapa ajira ili wahamie CCM. Hiyo itakuwa ni propaganda kuwa yeye...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

  10. JamiiForums Tanzania Marekani yakosoa na kutilia mashaka mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu 2020 Tanzania

    Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka. Tamko rasmi (Kiswahili na kiingereza)...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi: tamu na chungu ya Tanzania

    Kwa ufupi tumeiona kwa mwelekeo huu Zanzibar Maalim ameongoza lakini huenda akatangazwa Mwinyi (CCM itashangilia na ACT wazalendo na kambi ya upinzani watabaki wenye huzuni). Upande wa Madiwani na Wabunge hali inaonyesha asilimia 98% watatoka CCM bila kujali walipita bila kupingwa, wameshinda...
  12. JamiiForums Tanzania Makosa makubwa kwa viongozi wanaoomba ridhaa ya uongozi wa kisiasa kwa Watanzania

    #Upandachondichouvunacho: Makosa makubwa kwa viongozi wanaoomba kura kutoka kwa wananchi wa Tanzania kupewa uongozi wa kisiasa ni haya. 1. Kumshambulia mgombea mshindani kwa tuhuma zisizothibitishwa na chuki dhahiri za binafsi; 2. Kulazimisha wananchi wakatae kukiri wanachokiona kimetendwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania na Siasa zetu: Miaka 25 ya uchaguzi wa vyama Vingi. Wapinzani awamu hii Mmekuja na lipi?

    Nilitamani sana kufikia hatua ya kuwa na nchi ambayo Chama kinachoshindwa kinasema "tunawashukuru wananchi kwa kura mlizotupa,hazikutosha tunajipanga upya kwa uchaguzi ujao" Sidhani kama nitafanikiwa kuiona nchi hiyo hasa nikiwa bado ni raia wa Tanzania na Mwafrika ninaye ishi Africa. Sidhani...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania imefika kiwango cha North Korea

    https://qz.com/africa/1923616/tanzanias-magufuli-blocks-twitter-facebook-sms-on-election-eve/ an
  15. JamiiForums Tanzania DW inaeleza yanayoendelea Tanzania katika uchaguzi mkuu huu

  16. JamiiForums Tanzania What is a place to go for Students forums in Tanzania?

    Hello, Do you know any good forum site for students in tanzania to discuss and share notes, ideas?
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anasisitiza amani Tanzania

    Umoja wa Mataifa watoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wafuasi wao kujiepusha na visa vya vurugu nchini Tanzania Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Tanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 unafanyika kwa njia ya amani. Katika taarifa siku ya Jumatatu iliyotolewa kwa niaba ya Bw. Antonio...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Umoja wa Afrika watoa wito wa Uchaguzi wa Amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania

    MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat, ametoa wito wa uchaguzi wa amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania. Ametoa wito kwa washikadau wengine, Vyama vya Kisiasa na wafuasi wake kushiriki uchaguzi kwa amani na kujizuia kufanya vitendo vyovyote vya ghasia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

    Ahead of tomorrow's election in #Tanzania, we're seeing some blocking and throttling of Twitter. #TanzaniaDecides2020 Internet shutdowns are hugely harmful, and violate basic human rights and the principles of the #OpenInternet #KeepItOn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…