tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Berlin set to name street after Tanzania independence heroine Lucky Lameck

    A street in Berlin, Germany, is to be renamed at the beginning of 2021 after Tanzanian politician and leading female activist Lucy Lameck. Councilors in the German capital voted on Wednesday to replace the street name — Wissmannstraße — which honors colonialist Hermann von Wissmann. Wissmann was...
  2. JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna biashara zenye mfumo wa chain?

    Kwanini hatuna biashara ambayo unaweza ikuta imeenea nchi nzima? Mfano biashara za wenzetu kama walmart au unakuta kuna pharmacy zimejaa nchi nzima kama Walgreens au CVS. Unakuta kuna maduka ya electronics, vinywwji. nguo au spare parts yamesambaa nchi nzima. Yanatumia brand moja na quality ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda lakabiliwa na changamoto za kisheria

    Wataalamu wa sheria hebu tasaidieni ===== Bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania lakabiliwa na changamoto ya kisheria. Mashirika manne yasiyo ya kiserikali yamekwenda kwenye mahakama ya Afrika Mashariki ili kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki EACOP uliofanywa na Uganda na...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania tumepiga hatua kwenye masoko ya dhahabu bado katika Gold reserve

    Itakuwa vema sana kwa awamu hii ya mwisho ya Rais Magufuli akaanzisha Gold reserve ili ziwe zinanunua dhahabu na gamestone na kuzihifadhi kama ilivyo kwa wenzetu mabeberu walioendelea faida zipo sitaweka hapa list of gold reserve in the world...
  6. JamiiForums Tanzania Barabara ya Ujerumani kupewa jina la mwanaharakati wa Tanzania, Lucy Lameck. Alikuwa Waziri wa 1 mwanamke wa Tanzania

    Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana mmoja wa nyakati za ukoloni katika eneo la Afrika mashariki aliyeshutumiwa kwa kuagiza mauaji na...
  7. JamiiForums Tanzania Bagonza: Tanzania ina tatizo la mmomonyoko wa Maadili. Watu wanaheshimu matokeo kuliko mchakato uliotumika kupata matokeo husika

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, alipohojiwa na MwanaHALISI Online juu ya maoni yake kuhusu sakata la CHADEMA. Sakata hilo liliibuka baada ya wanachama 19 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa Elimu Tanzania

    Habari ndugu zangu. Kwa machozi mengi naandika juu ya jambo hili. Mimi Ni mmoja kati ya wahitimu katika kozi ya "DIPLOMA IN TECHNICAL EDUCATION" 2019 katika chuo Cha Ualimu Kleruu. Nia yangu ilikuwa Ni kuendelea katika ngazi ya juu Zaidi ya Elimu, lakini , nimepambana kwa nguvu zote nikaomba...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya mishahara kwa Watumishi Tanzania

    Yafuatayo ni mapendekezo yangu kwa serikali kuhusu viwango vya mishahara vya watumishi wa umma. 1. Watumishi wenye stashahada/diploma basic salary iwe 1,200,000/= 2. Watumishi wote wenye shahada ya kwanza\degree basic iwe 1,700,000/= 3. Masters na PH D, hizi ziachwe tu kwenye vyuo vikuu na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KCB signs deal to buy two banks in Rwanda, Tanzania

    KCB Group has signed a deal with London-listed financial services firm Atlas Mara Limited to buy stakes in it's banking units in Rwanda and Tanzania, its chief executive Joshua Oigara announced on Thursday. The proposed transaction will see Kenya’s biggest lender by assets acquire Banque...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB Group to acquire more banks in Tanzania and Rwanda

    KCB Group CEO Joshua Oigara NAIROBI, KENYA: KCB Group Plc (KCB) and Atlas Mara (ATMA) have signed a definitive agreement which will see the bank increase its footprint within the region. This is through the acquisition of a 62.06 per cent stake in Banque Populaire du Rwanda Plc (BPR) and a 100...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (African Court on Human and Peoples' Rights) ni Mahakama ya Kibara iliyoanzishwa na nchi za Afrika ili kulindaHaki za Binadamu na za mataifa barani humo. Uamuzi huo ulichukuliwa naOAU huko Burkina Faso, mnamo Juni 1998 ukapata nguvu ya kisheria tarehe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavyotaka kuingia kwenye chumba kinachokimbiwa na Wakenya

    Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na Tanzania, lakini ipo kubwa zaidi. Moja ya agenda ambazo zilibebwa ili kuzitafutia ufumbuzi ni...
  14. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020?

    Kuna vitu vinatufanya sisi wananchi tufanye hitimisho kuwa viongozi wakuu wa upinzani ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Twende kwenye swali husika ambalo linavijiswali vidogo ndani yake; - Kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020...
  15. JamiiForums Tanzania MMB kinaweza kikawa ndiyo chama kikuu cha upinzani Tanzania 2025

    Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake! Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Katika wanasiasa kumi wa Tanzania ya leo, wanasiasa wa enzi za kina Nyerere ni wangapi katika hao kumi?

    Naomba tufanye tathimini kupitia mtandao huu wa JamiiForums juu ya namna gani wananchi wanawachukulia wanasiasa wa kizazi cha leo kuwalinganisha na wale wa kiza cha Mwalimu Nyerere,mtu alieacha kazi ya ualimu na kwenda kupigania uhuru wa Taifa hili kazi ambayo kama sikosei haikuwa na masilahi...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu CIA na Mossad kuifanya Tanzania iwe tatu bora kwa upelelezi Duniani enzi za mwalimu

    Habari Wanajamvi, Enzi za mwalimu kulikuwa na Uzalendo uliotukuka. Watanzania walikuwa makini na waadilifu katika shughulu zao. Majasusi wawili kutoka Marekani na Israel CIA na Mossad walikuja nchini kupeleleza kwa kisingizio cha utalii na kuomba tour guide in advance. Walipofika tu Dar Int...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan? Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kwenye demokrasia tanzania tuna safari ndefu sana!

    Mwalimu wangu wa Sayansi ya Siasa na Utawala Prof .Horace Camble alikuwa anatumbia kuwa ili DEMOKRASIA imee Ni lazima kuwe na Civic competence' yaani misingi ya DEMOKRASIA inafaa tu pale ambapo wa raia wa jamii huisika wanjitambua! Kinachoendelea hapa nchini kinashihirisha hhaya! Ukweli Ni...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

    Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021 Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wote wa kamati hiyo. Tarehe 23 Novemba 2020...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…