Kenya Police Special Forces waangamiza gaidi huko Mandera

KDF-BabaYao

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
221
500
SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border.

Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh.

Njooni tuwape mafunzo,waliopigana vita vya Kagera wamestaafu.

FB_IMG_1611479583797.jpg
 
Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
2,247
2,000
SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border.

Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh...

Njooni tuwape mafunzo,waliopigana vita vya Kagera wamestaafu View attachment 1684885 View attachment 1684886 View attachment 1684887
SEEING THE FACE OF AFRICAN DIED BECAUSE OF FOREIGN RELIGION
 
Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
1,739
2,000
Njooni mtusaidie, nyie wavunja matofali ndio mababe wa kivita🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hmuoni aibu..kuwa na sehemu ya nchi ambayo haitawaliki. Jeshi mnalo, polisi mnao, na wapiga selfie wote mnao if mna jeshi imara embu lipelekeni likarestore order huko KAPEDO. Mkiweza ndo muende Somalia.
 
Kachengcheng

Member
Dec 21, 2020
50
95
Hmuoni aibu kuwa na sehemu ya nchi ambayo haitawaliki. Jeshi mnalo, polisi mnao, na wapiga selfie wote mnao if mnajeshi imara embu lipelekeni likarestore order huko KAPEDO. Mkiweza ndo muende Somalia.
Inatawalika the problem is just because of some small sponsored goons who are highly Informed by Govt snitches to cause problems.
 
Kachengcheng

Member
Dec 21, 2020
50
95
Alafu Tena So Ati Kenya wameshindwa kuwatuliza Ni venye Raia hawataki kufanyiwa force na Itatupea picha mbaya ka Ile ya Tigray
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
5,263
2,000
SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border.

Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh.

Njooni tuwape mafunzo,waliopigana vita vya Kagera wamestaafu.

View attachment 1684886
Hii kikundi cha wezi wa mikate na blue band kama kimechanganyikiwa, yaani special force kwenda kuvamia walevi wa kisomali wanaochemsha gongo maporini humo! Nilitarajia nione vifaa vya kivita vilivyokamatwa ila tunaona madumu ya maji na matairi afu watuhumiwa wamekimbi. Huku kwetu wahalifu wa namna hii huzibitiwa na walinzi wa kijiji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom