Tanzania Portal Trade iko tayari

Tanzania Portal Trade iko tayari

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,193
Reaction score
915
Karibuni wadau kwenye link hiyo hapo juu..Mfumo wa Taarifa za Biashara.

Kupitia mfumo huu utaweza kupunguza muda wa kupata vibalimbalimbali, kupata masoko yalipo ndani na nje,kukutanishwa kwa wanunuzi na wauzaji wa bidhaa mbalimbali.Wengi wenu huwa mnataka kufanya biashara za nje ila hamjui unapataje connection.

Karibuni sana.

20210708_155820.jpg
 
Safi sana nitaanza kupitia huko, thanks for sharing.
 
Laiti wanaotafuta ajira wangejua hii kitu inaweza kumaliza matatizo yao kwa kiasi gani wasingehangaika na mabishano ya siasa.

Unatumia utanzania wako tu kuleta mwekezaji kwa gharama zake na unakula shares kwa kampuni hata kama utakuwa na asilimia ndogo.

Mengine unapambana kuwa smart kwa kichwa.
 
Back
Top Bottom