Wazalishaji wa bidhaa wa Kenya na Tanzania kufanya mazungumzo ili kuwezesha masoko ya bidhaa zao

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
673
1,000
1625671535159.png

Wazalishaji wa bidhaa wa Kenya na Tanzania wamefanya mazungumzo ili kujadili juu ya kukuza biashara ya pamoja na upatikanaji wa soko kati ya nchi hizo mbili.

Mkutano umeanza Jumatano hii na unataraji kuendelea mpaka Ijumaa ambpo utawahusisha wawakilishi wa Serikali.

Upande wa kenya Kenya utaongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wazalishaji wa Kenya (KAM) Mucai Kunyiha ambaye anaamini kuwa mazungumzo hayo yatachochea na kuongeza ushindani wa bidhaa na huduma zinazotolewa kutoka nchi zote mbili.

Zaidi Soma
Manufacturers from Kenya and Tanzania have staged talks to deliberate on joint trade promotion and market access between the pair of countries.

The convention which commences on Wednesday shall run through to Friday and will include government representatives.

The Kenyan delegation will be lead by the Kenya Association of Manufacturers (KAM) Chairman Mucai Kunyiha who expects the deliberations to lead in increased competitiveness of products and services on offer from both countries.

“Kenya and Tanzania have the capability and capacity to add value to the wide array of resources that both countries have for export markets. However, achieving this is hindered every time the business community encounters impediments to trade, consequently, impacting on the benefits of trade to the entire region,” he said.

Chairman to the Confederation of Tanzania Industries (CTI) Paul Makanza has asked delegates in the meeting to uphold a rule-based trade relationship as a way to reduce the imposition on non-tariff barriers (NTBs) on cross border trade.

The talks will also comprise of business-to-business sessions which are geared at identifying export and import products, investment opportunities, and on best business practices in the two markets.


Chanzo: Citizen Kenya
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,985
2,000
Bidhaa za Kenya zinazotesa sokoni tz
Sabuni ya jamaa tz hakuna
Sabuni ya whitewash
Sabuni ya omo
Sabuni ya Ariel
Sabuni ya toss
Sabuni ya sunlight
Steel wire sokoni

Mafuta ya kupaka
Vaseline

Vyakula
Blueband
Prestige
Roico
Tropical beef masala ,chicken,fish,tea,pilau masala
Big gee
Pipi Kali
Pk
Malindi salt
Cow boy
Kimbo
Frymate
Zesta icing sugar
Baking powder chapa mandaz
Biscuit manjis ,golden etc

Maziwa magufuli aliwanyoosha so far hakuna labda formula lactogen

Naombeni list ya bidhaa za tz zinazotesa sokoni kenya
 

Kachengcheng

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
1,144
2,000
Bidhaa za Kenya zinazotesa sokoni tz
Sabuni ya jamaa tz hakuna
Sabuni ya whitewash
Sabuni ya omo
Sabuni ya Ariel
Sabuni ya toss
Sabuni ya sunlight
Steel wire sokoni

Mafuta ya kupaka
Vaseline

Vyakula
Blueband
Prestige
Roico
Tropical beef masala ,chicken,fish,tea,pilau masala
Big gee
Pipi Kali
Pk
Malindi salt
Cow boy
Kimbo
Frymate
Zesta icing sugar
Baking powder chapa mandaz
Biscuit manjis ,golden etc

Maziwa magufuli aliwanyoosha so far hakuna labda formula lactogen

Naombeni list ya bidhaa za tz zinazotesa sokoni kenya
Maziwa itarudi Tena,Kwanza Uhuru akona Kampuni ya Brookside it is eagerly waiting
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
12,309
2,000
Bidhaa za Kenya zinazotesa sokoni tz
Sabuni ya jamaa tz hakuna
Sabuni ya whitewash
Sabuni ya omo
Sabuni ya Ariel
Sabuni ya toss
Sabuni ya sunlight
Steel wire sokoni

Mafuta ya kupaka
Vaseline

Vyakula
Blueband
Prestige
Roico
Tropical beef masala ,chicken,fish,tea,pilau masala
Big gee
Pipi Kali
Pk
Malindi salt
Cow boy
Kimbo
Frymate
Zesta icing sugar
Baking powder chapa mandaz
Biscuit manjis ,golden etc

Maziwa magufuli aliwanyoosha so far hakuna labda formula lactogen

Naombeni list ya bidhaa za tz zinazotesa sokoni kenya
Nyang'au kashaona fursa hapo, sisi daima ni soko la kenya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom