Ndugu zanguni ni wasalimu na niende moja Kwa moja kwenye mada. Mada yangu nikuhusu vyeti vya kuzaliwa. Mwanangu alizaliwa Mkoani Arusha mwezi wa 7 mwaka 2002, Leo ni miongoni mwa wale wanaosubiri matokeo ya kidato sita. Baada ya kuwa amezaliwa nilifuata taritibu zote za kupata Cheti ndani ya miezi 3 baada ya Mtoto kuzaliwa.
Nililipiwa Cheti ofisi ya wilaya ya Arusha kitendo cha usajili wa vizazi na Vifo nikapewa Cheti. Taratibu zote za kufuatilia na kupewa Cheti nilizifanya Mimi mwenyewe na siku naenda kuchukuwa Cheti nilisaini kwenye kitabu Chao kinachoonyesha nimepokea document halali ya serikali.
Maajabu yamekuja pale mwezi June nilipohakiki Cheti na kuambiwa hakitambuliki na nifike ofisi za Rita makao makuu.
Mke wangu ameenda Rita makao makuu Cheti kimeangaliwa hawana majibu ikiwa ni halali au si halali, anaambiwa aanze process upya.
Nimeamua kuanza process upya lakini endapo sitopata Cheti Kwa wakati na ikasababisha Mtoto wangu kukosa mkopo nitaishitaki ofisi ya katibu tawala Arusha Kwa kunipatia document fake, kujioatia fedha Kwa njia ya udanganifu na kumkosesha mwanangu mkopo ambayo ni haki yake ya msingi.
Wito nawashauri wazazi wote ambao mko humu na mliwahi kuchukuwa vyeti vya kuzaliwa Arusha kuanzia miaka ya 2000, vile vyeti virefu vilivoandikwa Kwa type writer hakiki hicho Cheti mapema yasije kukuta yaliyonikuta.
Mwisho ni aibu ofisi ya serikali kutumika kutoa document fake Kwa wananchi hususani nyaraka mhimu kama vyeti vya kuzaliwa.
Natafuta mwanasheria niwaburuze mahakamani ili huyu mama aliyesaini hiki Cheti hata kama anestaafu aje ajibu matumizi mabaya ya ofisi.
Nawasilisha.