tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
  2. JamiiForums Tanzania Kifuatacho baada ya Magufuli!

    KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa. Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ubadhirifu wa Fedha wa Shilingi Bilioni 3.93 katika Mamlaka ya Bandari Tanzania

  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo

    Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili/ wanasheria wa Tanzania sikilize questioning ya Pulmonologist by prosection kuhusu kesi ya George Floyd, kuna knowledge kubwa ya kujifunza

    Kuna live prosecution, very interesting kuna maarifa makubwa mtayapata katika kesi za mauaji. Jebra, Lisu, na wengine fuatilia.
  6. JamiiForums Tanzania Yasemwayo na hali hali halisi: uchumi awamu za Utawala Tanzania

    Mengi yanasemwa na yanaendelea kusemwa kuhusu hali ya uchumi kabla na wakati wa utawala wa awamu ya tano. Hasa kuhusu uvurugaji wa uchumi na mengine kedekede. Kabla sijatoa maoni kuhusu kampeni hasi inayoendelea hivi sasa hebu tupitie kumbukumbu na takwimu tangu uhuru kisha ndio turudi kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania 2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031? Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila nimeona Waganda hatunaga nao mivutano sana ukilinganisha na Kenya. Uganda imetupa dili la bomba la...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania After vaccination back home, 140 tourists from Israel to jet into Tanzania in May

    140 tourists from Israel to jet into Tanzania in May THURSDAY APRIL 08 2021 ADVERTISEMENT By Zephania Ubwani More by this Author Arusha. In a renewed bid to woo back visitors after the devastating impact of Covid-19, 140 tourists from Israel will jet into the country next month. The...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania imejiandaa kupokea dawa za Astra Zeneca zilizokataliwa huko kwingine? Pia tutakubali dawa za COVAX kama mkopo au tutagharamia wenyewe?

    Hadi sasa dawa ya chanjo ya Astra Zeneca imezuiwa kutumia katika nchi mbalimbali duniani. Dawa hii ambayo yatengenezwa nchini Uingereza imedaiwa kusababisha mgando wa damu na hatimae muathirika kufariki kwa moyo kukosa hewa kutoka mwenye mishipa ya damu. Uingereza iliiweka Tanzania kwenye ya...
  10. JamiiForums Tanzania New Job At FHI 360 Tanzania, April 2021- Administrative Assistant

    JOB TITLE: Administrative Assistant Location: Mwanza, Tanzania Currently, we are seeking suitably qualified candidates to fill in a Administrative Assistant – Mwanza for USAID Tulonge Afya Project. The project seeks to improve health status, especially of women and youth, through the...
  11. JamiiForums Tanzania Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

    Mahakama yasisitiza wagombea binafsi na Happiness Katabazi | Tanzania Daima Mahakama ya Rufaa Tanzania, imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na serikali, ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuruhusu kuwepo kwa mgombea binafsi katika chaguzi za Tanzania. Uamuzi huo...
  12. JamiiForums Tanzania Makampuni 49 ya Tanzania yaruhusiwa kuuza maharage soya China

    Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China. Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika.
  13. JamiiForums Tanzania Tuinyooshe Katiba kabla ya kunyoosha maslahi Tanzania, Zanzibar na Tanganyika ndani ya Muungano

    Ili kuyafafanua masilahi ya Zanzibar ndani ya Muungano lazima kwanza useme kweli tupu ni kwanini Tanganyika haipo Tanzania lakini Zanzibar ipo Tanzania. Pili, useme kweli tupu kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ama ni nchi. Katiba lazima inyooshe kuhusu maswali haya maana ndiyo yatakayotumika...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kesho nafungua kesi dhidi ya Tigo Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Kesho natalajia kufungua kesi dhidi ya Tigo Tanzania kwa kukiuka haki za mlaji/mteja wake. Tokea jana tarehe 6/04/2021 saa 11.15 jioni miamala ya tigo ilikuwa haitoki wala huwezi kuangalia salio niliwapigia simu 3.30 usiku wakasema ndani ya masaa 24 huduma itakuwa imerudi, Leo...
  15. JamiiForums Tanzania Pana chuo Tanzania kinatumia mfumo wa Semester wanafunzi kujiunga?

    Pana chuo tanzania kinatumia mfumo wa Semester? Yaani kila semester pana wanafunzi wanaojiunga, na wanafunzi wanaohitimu. Masharti ya kuhitimu ni kukamilisha masomo fulani. GPA ni ya masomo, siyo kwa mwaka. Hakuna kusema huyu ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wala wa ngapi. Mwanafunzi akitimiza...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) ana mtihani mkubwa sana akifanikisha hili anastahili tuzo

    Upande mmoja anatakiwa atumie akili na hekima kukusanya kukusanya kodi kwa maelekezo ya Rais. Upande wa pili ni lengo la trilioni 2 kwa mwezi kwa maelekezo ya Makamu wa Rais. My take: Siku zote mfanyabiashara lengo lake ni kutengeneza faida kubwa hapa naongelea "Big potatoes" au...
  17. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  18. JamiiForums Tanzania Lupita Nyong'o awajibu wakenya wanaomponda kwa kuipenda Tanzania zaidi ya Kenya

    Muigizaji wa filamu ya ’12 years a Slave’ na mshindi wa tuzo za Oscar Lupita Nyong’o, ameonekana kuwajibu waliomponda kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kwa kuposti picha akiwa katika hifadhi ya taifa ya Serengeti Tanzania. Wengi walionekana kumkosoa kwa kulitangaza na kulisifia taifa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania Mama yangu

    Kuna watu kwa akili zao timamu wanafikili wanalidai sana taifa lao "Tanzania" kuliko jinsi taifa linavyowadai wao. Tanzania tangu enzi za ukoloni mpaka inajipatia uhuru wake kuna watu wamejitoa kwa jasho na damu mpaka kutufikisha hapa tulipo. Rejea harakati za kudai uhuru, azimio la Arusha, vita...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali AAR msichukue Maamuzi haya kwani Tanzania ya sasa tuna Rais mzuri Mama Samia Suluhu Hassan ( Mrejesha Tabasamu ) kwa Wananchi

    Nami Generalist nawaombeni AAR badilisheni upesi haya Maamuzi yenu kwani Tanzania ya sasa inaongozwa na Rais mzuri, mwelewa, mkarimu na makini Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. ------- AAR Healthcare Ltd is set to exit Tanzania on reduced visitor numbers to its eight clinics and financial...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…