tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ni nini faida ya vyama vya ushirika kwa wakulima Tanzania?

    Habari wakuu. Naomba kujua faida za vyama vya ushirika kwa wakulima hapa Tanzania.
  2. JamiiForums Tanzania Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza

    Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza. Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje? Kama tunapenda maendeleo ya kiuchumi kupitia elimu yetu tunapaswa kufanya jambo katika elimu yetu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania mwenye PhD ya ukweli aliyesomea akasota anatakiwa alipwe kiasi gani kama mshahara?

    Mimi napata tabu sana na wenye hizi shahada, Ninamaana ya kwamba Mtu ana PhD lakini anapambania kitu kidogo sana, hadi najiuliza huyu PhD yake kweli ni ya Ukweli na aliipambania kwenye tafiti na mengineyo ili aipate au ni feki, ni vile tu hawaja mkamata. Mara nyingi nimewaona wenye PhD...
  4. JamiiForums Tanzania Google Earth itasaidia kuishangaza dunia juu ya kazi za Rais Samia

    Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haiishi changamoto, NBAA sasa wameamua kuuza mitihani ya CPA

    Jana nilikuwa naongea na bwana mdogo anafanya mitihani ya wahasibu ya CPA mbayo inaanza jumanne. Bwana mdogo amefanya hii mitihani muda mrefu sasa jana namuuliza unamaliza lini mbona kila mara unarudia rudia, dogo akajitetea kwamba kutokana na shughuli zake huwa anakosa muda wa maandalizi vizuri...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali ya Tanzania tunaombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO wanavyofanya?

    Habarini za wakati huu viongozi mbalimbali wa serikali, ndugu zangu, kaka zangu, baba zangu, marafiki zangu kwa ujumla. Siku ya leo nimekuja na swali muhimu sana. Swali langu nalielekeza EWURA. "Naombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kwa kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO...
  7. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Mbowe kisiasa ni worst ever seen in Tanzania

    Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema? Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake? Kwa nini mlishindwa kusoma Pyschology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kinara katika usalama wa chakula Afrika

    Ni jambo la heshima sana kwa nchi kufikia hatua hii. USALAMA wa CHAKULA ni suala linaloangaziwa duniani kote. Nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. KAZI IENDELEE. ===== Nairobi. African countries are becoming food-secure by lowering food prices, improving...
  9. JamiiForums Tanzania Nani kati ya Marais wa Tanzania angeibuka kidedea/mshindi kwa vigezo hivi?

    Tanzania ni moja Kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeshafanikiwa kuwa na awamu tofauti tofauti za uongozi wa ngazi ya juu kabisa(URAISI) na ni miongoni mwa nchi chache kabisa ambazo hazijawahi kuwa na matukio makubwa yaumwagaji damu, vita vya wenyewe kwa wenyew na mapinduzi ya kijeshi...
  10. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

    Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania imerudi nyuma miaka 50

    Tanzania ya leo kila maskini anavojaribu kupambana anarudishwa nyuma kwa ngumi na mateke. Leo hii vigezo vya kupata mkopo havieleweki, mtoto amesoma kayumba, kaenda sekondari ya kata, kaenda A level ya kata iliyopandishwa daraja. Kafaulu kwenda chuo, ananyimwa mkopo eti kwa sababu wazazi wake...
  12. JamiiForums Tanzania Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu

    Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu hivyo kuweni na amani, " Hakuna kama Rais Samia " Deni la Serikali kwa mujibu wa Ripoti ya Hali ya Uchumi ya Taifa iliyotolewa mwezi Jun 2021 na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26). Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia...
  14. JamiiForums Tanzania Uingereza kutambua Vyeti vya Chanjo ya Corona vya Tanzania kuanzia Novemba 1

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kusafiri Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga...
  15. JamiiForums Tanzania Deputy ERM at Plan International

    Deputy ERM Posted Date: 27-Oct-2021 Location: Kibondo, Tanzania Company: Plan International The Organisation Plan International is an independent development and humanitarian organisation that advances children’s rights and equality for girls. We believe in the power and potential of...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu ujao Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya maana

    Nimejaribu kuichunguza Nchi yetu inavyoongozwa na mikakati tuliyonayo najiridhisha kuwa ni vigumu sana kupata maendeleo ya maana hata kwa miongo mitatu ijayo yaani comes 2050! Sababu zangu ni hizi; 1. Elimu yetu ni duni sana kwa maana ya maudhui (contents) na inazalisha watu wenye maarifa...
  17. JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita, Tanzania ilifanya Uchaguzi Mkuu, Unakumbuka nini siku hiyo?

    Leo ni mwaka mmoja kamili tangu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 ufanyike. Unakumbuka nini katika uchaguzi huu?
  18. JamiiForums Tanzania Serikali iunde Taasisi ya kutunga na kusahihisha Mitihani ya Vyuo vya elimu ya Juu, Rushwa ya Ngono Imeshika kasi

    Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake. Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima. Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili...
  19. JamiiForums Tanzania Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

    UTANGULIZI: Nimiaka zaidi ya arobaini (40) sasa tangu kugunduliwa kwa uwepo wa gesi Asilia huko Likong'o-Mchinga Lindi Pembezoni mwa bahari ya Hindi yenye futi za ujazo trilioni 57.7, Gesi hii baada ya kuchimbwa na kupoozwa kwa nyuzi Joto -260`F au -162'C nakuwa gasi miminika ndio inaitwa...
  20. JamiiForums Tanzania Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

    Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi. Uwazi wangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…