tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. somji

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la Vanila Tanzania

  2. H

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli ndiye Rais aliyefaa kuiongoza Tanzania

    Habari wanaJamiiForums Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti...
  3. Sijali

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Tanzania itaendelea katika uhai wetu

    Maendeleo ni ya watu, na si vitu. Maana hiyo ni mpaka hapo asilimia 80+ ya Watanzania watakapomudu kula milo mitatu ya wastani, kuwa na makazi yanayofaa binadamu kuishi, kuwa na huduma za elimu bora, afya, maji na usafiri wa kukidhi kwa wastani. Zaidi ya hayo, kuwa na uhuru wa kutonyanyaswa na...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maoni: Haya ndiyo makundi/makabila yenye maendeleo Tanzania

    Nipo tayari kusahishwa, Naomba nieleweke, hizi ni tathmini na sio ukabila, Tanzania hatuna ukabila 1. Wazanzibari - kuna mgao katika madaraka, vyeo, ajira, n.k kati ya bara na znz kwasababu ya muungano. kwa hio usidhani wanapendelewa ukiwakuta vyeo vya juu polisi, jwtz, usalama , ubalozi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania Bara: Waliotangulia na baiskeli ya miti wanajifahamu, hata mwaka jana ilikuwa hivyo hivyo!!

    Hata mwaka jana walitangulia na baiskeli ya mbao na hawakufika popote!! Wakisikia gari kubwa huko nyuma linapiga lesi kiwewe tayari!!! Hiyo mliyosikia kilichompata Namungo ni lesi tu!!! Gari kubwa karibu lishaanza kuchanganya na hakuna namna ni suala la muda tu baiskeli ya miti lazima ipishe...
  6. Prophet of Nations

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani za kisasa zinauzwa Tanzania

    TUNACHORA RAMANI ZA NYUMBA ZA KISASA TANZANIA NZIMA KWA BEI NAFUU SANA WASILIANA NASI LEO KWA WHATSAPP +255 717 040 837/ 0767 267664 UANZE UJENZI.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Habarini!. Anayefahamu makato ya kuhamisha pesa kutoka paypal kwenda benk iliopo Tanzania anifahamishe please,
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dk. Mpango: Tanzania haijawahi kujitoa Mahakama ya Afrika

    Serikali ya Tanzania November4 2021 ilikanusha madai yalionezwa kuwa serikali ya Tanzania imejiondoa katika mahakama ya Afrika aya haki za Binadamu na Watu. Akizungumza katika Mdahalo wa Tano wa Mahakama ya Afrika, mkutano uliowakutanisha wadau wa sheria na mahakama kutoka nchi mbalimbali za...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Request for Proposal (RFP) for Conducting Preliminary Feasibility Study on Composting Plant at Dar Es Salaam in Tanzania

    An example of a composting plant to be built in Dar es Salaam and neighboring townships 1. Introduction Kibanga Vision Health Services Limited (KVHSL) is a private company registered in Tanzania since 2019. It now intends to implement Kibanga Organic Manure Plant (KOMP) Project. A...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kila nikizunguka Tanzania naiona legacy ya hayati Magufuli ambayo haitafutika kirahisi

    Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu. Vipi kuhusu Mfugale Flyover na Kijazi interchange! Leo hii Kibaha mpaka Mbezi foleni ni story iliyosahaulika. Stand ya kisasa ya ya...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nchi wanachama wa UN waishauri Tanzania kuondoa sheria kandamizi na tozo

    Nchi wanachaama wa Umoja wa Mataifa (UN) zimeishauri Tanzania kubadili sheria kandamizi ikiwemo Sheria ya Ndoa ambapo wametaka umri wa mtu kuingia kwenye ndoa uanzie miaka 18 kama ilivyo mataifa mengine. Kuondoa adhabu ya kifo na kuwa na adhabu mbadala, pia kuruhusu Haki ya Kusanyika ili kukuza...
  12. Jesusie

    JamiiForums Tanzania The Financial Times laipigia debe Tanzania kwenye Utali, nini kimetokea?

    Financial Times gazeti maarufu duniani linalosomwa na watu milioni 26 kwa mwezi kwa mara ya kwanza nimeona likianza kuisemea vizuri Tanzania baada ya kutuchafua sana miaka mitano iliyopita hasa kuhusu hali yetu ya Uchumi, Kwahatua hii Tanzania tumepiga bao sana hasa kwenye sekta ya Utalii...
  13. Jesusie

    JamiiForums Tanzania How Chumbe -Zanzibar baffling tourists " The Finincial Times " aggrandizing Tanzania tourism | Viva Samia Viva

    The effects of H. E. Samia Suluhu Hassan Royal Tour has started rapidly showing an extraordinary impacts on tourism sector and tourists attractions all over the country, The World biggest Newspaper " Finicial Times " has started aggrandizing our tourism sector all over the world and...
  14. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Tuna hadhi na uchumi wa kati?

    Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu Tanzania kuingia kwenye uchumi wa Kati kwa kutumia vigezo mbalimbali vya kidunia. Swali (Money Maker): Tuna idadi ya watu takribani milioni 56 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ma ISP wa Tanzania hawatoi SLA kwa wateja wao

    Ina kuwaje una chukua alama za videlo, majina yangu, anuwani ya ninapoishi wakati huo huo mdawote unajua nikowapi nafanya nini alafu mimi kama mteja nini ninacho pata? Kibaya zaidi nikwamba Hizo tarifa unazo zichukua wala huniambi utazitumiaje zaidi yakuniambia nikwajili ya usalama wangu mhh...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

    Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha. Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sioi Solomon awaburuza Mahakamani, ICBC Standard Bank, Stanbic Bank Tanzania Ltd, Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu

  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Customer Privacy: JF itaheshimika daima Vs tiGO Tanzania

    Sizungumzii ukubwa wa kipato, wala silinganishi wingi wa wateja, nazungumzia suala la kulinda Privacy ya Mteja wako! JamiiForums kwa kupitia Mkurugenzi wake Maxence Melo walikua tayari kufungwa jela na alishawekwa mahabusu ila SIO kutii AGIZO fake na kutoa taarifa za Wateja wake. Tigo Tanzania...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Tanzania wafukua Kaburi la Albino na Kutokomea na Mguu Mmoja wa Kulia

    Majirani mtaacha lini haya mambo, halafu dunia yote yapo kwenu tu, nyie pekee yenu ndio wenye sifa hizi za kusaka viungo vya albino. ========= Jeshi la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualibino, Heri Kijangwa (45)...
  20. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Patents right ambazo zimeshatolewa au bado zipo hai Tanzania

    Wakuu habari zenu, Nauliza kua ni wapi naweza pata orodha ya patents rights ambazo zimeshatolewa bongo mpaka siku ya leo. Nawasilisha
Back
Top Bottom