tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe? Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Miaka 57 Rais Samia avunja ukimya wa Urusi na Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya Tanzania katika Migogoro unaoendelea Mashariki ya Kati?

    Inajulikana kuwa nchi za Mashariki ya Kati zimejengewa misingi ya Ustaarabu wa kidini tangu enzi na tunapozungumzia dini tunajumuisha Ustawi na utulivu wa Mwanadamu. Migogoro ya kihistoria hususani inahusisha ardhi ya israel-Palestina imeendelea kuwa nadharia kuu ya Kutoweka kwa Amani katika...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Air tanzania yapingwa marufuku kuruka anga za ulaya

    Kama mnakumbuka mama samia alikuwa ziarani hapo urusi baada ya muda kidogo wakatoa taarifa kwamba air tanzani itaanza safari za moja kwa moja hadi urusi Kumbe kilichojificha ni kwamba air tanzania walipewa notes na kupigwa ban ya kuruka anga za ulaya just why wakaamua kuhamia anga za urusi Haya...
  5. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tudumishe amani Tanzania video

    https://youtube.com/shorts/iz-L9D8Tvug?si=Hj5zabg1oScnBzUu
  6. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Utaratibu wa Life Insurance uangaliwe tena, nimepata ugumu kwenye maisha ila wamegoma kunipa hata hela kidogo

    Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 40 katika bima ya maisha (life insurance) kupitia Jubilee Insurance, kwa matumaini ya kuwa na usalama wa kifedha wa baadaye. Hata hivyo, kwa sasa sina ajira na sina uwezo wa kuendelea kulipa malipo ya mara kwa mara ya mpango huo. Nimewasiliana nao ili kupata...
  7. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Tathimini ya uchumi wa Tanzania 2026 - 2030

    Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu". Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama Taifa Sio sahihi Hasa Kuegemea Zaidi Upande wa China na Urusi kwasababu 1.China Ni Wazee Wa Loans Na...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sera ya Kutokuwa Upande: Nguvu ya Tanzania Kimataifa

    👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. 👉 Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Rais Samia wafanya Viongozi Duniani Kote Kupigana vikumbo na Kung'ang'ania Kufika Tanzania. Rais wa Singapore kuja Tanzania Jumatatu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kugonga vichwa vya magazeti Dunia kote, Tanzania inaendelea Kuwa Kivutio cha Dunia, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuwa kama Sumaku ya Kuvuta watu mbalimbali kuanzia viongozi, wafanyabiashara, wawekezaji, Watalii, wanamichezo na watu...
  10. The introvert

    JamiiForums Tanzania Remote Work Tanzania: Mwenye Uzoefu Atuongoze

    Wakuu, naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wadau wenye uzoefu wa remote work au work from home nikiwa hapa Tz. Nina hamu ya kuanza kujifunza na kuanza kufanya kazi za online kama njia ya kuongeza kipato kiasi cha pembeni ya shughuli zangu za kawaida. Niningepend kusikia uzoefu halisi kutoka kwa...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tharman Shanmugaratnam kuwasili Tanzania kwa Ziara ya Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa (State Visit) itakayofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 10 ya mwezi huu. Ziara hiyo itakuwa ya kwanza kufanywa na Rais wa Singapore nchini tangu Tanzania na Singapore zilipoanzisha rasmi mahusiano...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa

    Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa. Ni ujinga na maono yasiyo na tija kufikiria Urusi ambayo imetekeleza marafiki zake hata wale waliokuwa wana nunua silaha kutoka kwake akija USA Urusi inawatekeleza. Sasa Samia anapoteza muda kwenye kujipendeleza na nchi yenye...
  13. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza Wa kuoa hapa Tanzania.

    Mimi ni mzee kijana wa miaka 41.Natafuta mwanamke wa kuja kuoa awe na miaka 30 mpaka 39.Dini yoyote. mengine yote ni sawa.Naishi Mkoa wa Arusha vijijini. Home town ni Kilimanjaro. Namba zangu 0679383475
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

    Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania. Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akutana na balozi wa uingereza nchini Tanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RUDN Yatambua Tanzania: Uhusiano Imara wa Kielimu

    RUDN University inajulikana kimataifa kama Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi. Kilianzishwa kwa lengo la kusomesha wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea duniani kote. Kwa Tanzania kutambuliwa na chuo hiki kikuu ni ishara ya nguvu ya uhusiano wetu wa kielimu na Urusi uliojengwa kwa miongo...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Strait of Hormuz ya Afrika Mashariki ni Tanzania

    Tanzania inaweza kuhusishwa na mfano wa Strait of Hormuz kwa sababu ya umuhimu wake wa kiuchumi na kijeshi kama njia kuu ya usafirishaji wa mafuta na bidhaa nyingine muhimu. Strait of Hormuz ni ghuba nyembamba inayounganisha Bahari ya Hormuz na Ghuba ya Uajemi, na ni muhimu kwa usafiri wa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Samia anajali familia na marafiki zake tu sio Tanzania!

    1. Angalieni safari ya Urusi kajaza ndugu zake na watoto. Hakuna hata kitu kimoja cha kunufaisha 2. Ni mkataba gani wa maana tumepewa au uwekezaji gani wa maana!!! 3. Yaani tukio kubwa eti ni kupewa PHD ya heshima!!!! Haya mambo yote ni ya kufurahisha nafsi yake lakini manufaa kwa nchi hakuna
  19. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laachia kisago kwa Seikkali ya Tanzania

    Muda si mrefu ulio pita, Bunge la Ulaya limeaachia kisago kikali kwa kuondoa misaada kwa nchi ya Tanzania kwa mwaka 2026/27 kwa miradi yote. Bunge limepiga kura na wabunge 81 wakikubali kuweka vikwazo, mmoja kukataa na wanne kujitoa kwenye kura hizo. Hivyo misaada hiyooo imeyoyoma. Sababu nyuma...
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Je Russia alikogeukia Mama inapendezwa na staili ya siasa za Tanzania...

    Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kusimamisha msaada wa maendeleo wa takriban Euro 156M (zaidi ya TZS bilioni 440) kutokana na masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana kwa utawala bora, kukandamizwa kwa demokrasia na uhuru wa maoni. Uamuzi huu ulitangazwa jana Mei 03, 2026...
Back
Top Bottom