Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema kampuni kubwa za kimataifa za Moody’s na Fitch Ratings zilifanya tathmini ya awamu ya kwanza ya uwezo wa nchi kukopa na kulipa madeni kwa mwaka 2026.
Matokeo ya tathmini yalionesha kuwa Tanzania inakopesheka na ina uwezo mzuri wa kulipa madeni...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha umaskini wa mahitaji ya msingi Nchini Tanzania Bara kimeendelea kupungua kwa miaka ya hivi karibuni kutoka asilimia 34.4 (mwaka 2007) hadi asilimia 25.1 (mwaka 2025).
Akiwasilisha Bungeni taarifa...
Soko la hisa ni system inayowawezesha wadau wengine kumiliki kuwa na umiliki wa kampuni.
Wakati shirika la Precious Air limeweka kampuni yake kwenye soko la hisa, shirika kongwe zaidi halionekani likisogea wala kuthubutu kufanya hivyo!
Swali linabaki KWANINI?
Ni linahofia nini?
Linaogopa nn sasa?
Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
Relationship between Tanzania and Singapore has significant strategic potential, even though it is not yet as deep or visible as Tanzania's relationships with countries such as China, India, or United Arab Emirates.
From an economic and development perspective, Singapore offers several lessons...
DeletedMember281674
Thread
economic
investment
relationship
singapore
tanzania
trade
Jamani nawapenda sana.. Nimeamua kuwapa mbinu ya kishinda cheo chochote Tanzania..
Fuata hatua hizi... Msiache kunitumia alkasusu☕ ☕
KAMA UNATAKA KUWA MWANASIASA WA CCM, FUATA HIZI HATUA
Hatua ya kwanza:
Jibadilishe na ujionyeshe kama mtumishi wa wananchi.
Vaa nguo za kawaida, nenda sokoni...
Wanabodi,
Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea.
Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
There has been recently post circulation on lines, especially Facebook articulating that the president of the United Republic of Tanzania has been arrested because of crimes against humanity
The post further alledgy that This woman killed thousands of innocent Tanzanians during their elections...
Karibuni wanajamii,
Nimefungua thread hii kwa ajili ya kukusanya na kushirikishana taarifa za Tender, Zabuni, RFQ, RFP na fursa mbalimbali zinazohusiana na:
• Usafi (Cleaning Services)
• Maintenance za Majengo na Miundombinu
• Fumigation & Pest Control Services
Thread hii ni kwa ajili ya...
House for sale Kibada Kigamboni
8 rooms and only 2 rooms are self contained.
Plot size Sqm 1460.
Price is TSH 520m/- negotiable.
Just 500 meters from the tarmac road.
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#houseforsale..
Mengine ni magumu kusema .Maana mpaka kuna watu wametengenezewa studio na ofisi wanaweza kucomment mtandao wa meta au TCRA ukafungiwa au kupotezwa kwa ushenzi wa watawala hawa wizi nje nje kisha muwazomee wakiwa na polisi nyie na mawe.
BBc ijataka kuweka wazi Urusi na miamala ya kupeleka...
Nimesikiliza hili kauli hadi nikatokwa na machozi, i can't imagine kwamba hawa ndo watengeneza dira ya 2050?
Kwamba we are too slow in such way miaka 10 ni sawa na mwaka mmoja? kwani huyu watoto wake wanasoma wapi?
Kuwa na wabunge kama hawa ni hasara kubwa sana kwa taifa.
Nawasikiliza sana wanasiasa wanavyo hadaa Wadanganyika kwamba wajiandae sana na Afcon na hata Mahoteli hayatatosha na wlmashabiku wengine watalala majumhani mwa watu. Hizi ni propaganda.
Hizi ni propaganda za kijinga sana.
Tujiulize swali rahisi sana Tanzania ilipeleka mashabiki kiasi gani...
Ukitazama kiundani kuna mambo yanafikirisha.
Mfano Waislamu wote wanaipinga Israel na wanawajali sana Wapalestina wa Gaza ila hakuna Waislamu wanaojali Ukraine kuvamiwa na mauaji ya raia huko, je huu sio udini?
Wagalatia wengi wako upande wa Israel, je huu sio udini?
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zenye madeni makubwa katika Bara la Afrika ikishika nafasi ya nane kwa kuwa na deni kubwa la nje, huku nchi ya Misri ikiongoza kwa kuwa na deni la zaidi ya dola bilioni 7.2 (Sh 18.76 trilioni).
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza...
Mitandao ya kijamii imefungua milango mikubwa kwa mawasiliano na uhuru wa kujieleza, lakini Tanzania inakabiliwa na hatari halisi inapoteza udhibiti wa jinsi vijana wanavyotumia jukwaa hili. Tatizo kubwa si mitandao yenyewe, bali ni matumizi yasiyowajibika yanayoweza kulipua amani tuliyoijenga...
Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye sekta kama vile viwanda, madini, kilimo, na utalii.
Orodha kamili ya nchi 10 zenye uwekezaji mkubwa...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema kuwa kukosoa ni haki ya msingi katika jamii ya kidemokrasia, lakini ukosoaji huo unapaswa kufanywa kwa kuzingatia maadili, heshima na ukweli.
Akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na...
Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine?
Kwa mfano,
Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto...
Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa
Kuna wakina mama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.